Dkt. Mwigulu Nchemba awa Waziri wa Fedha wa kwanza kuingia na msafara huu Bungeni

Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.

Ama kweli tumepata Waziri wa Fedha wa aina yake.View attachment 2264594View attachment 2264595View attachment 2264597
Kwa uelewa wangu wanao stahili kusindikizwa na "motorcade" ya namna hii Rais, Makamu wa Rais pamoja na Waziri Mkuu kwa upande huu wa Tanzania Bara. Sijui kama mawaziri nao katika mazingira fulani hustahili kupewa hiyo heshima.
 
Ukiondoa sababu za kidini (mlokole)
Mwigulu is a very Smart person kutokea Tanzania...na ana sifa za urais pengine kushinda rais yeyote tokea uhuru...tatizo ni Hilo moja tu la dini yake (mlokole)
NB Ili uwe rais wa Tanzania lazima uwe na sifa muhimu zifuatazo
a.mkristo(RC)
b.muslim(bakwata)
😂So huu Ni uchambuzi wa kitaalamu
 
Ukiondoa sababu za kidini (mlokole)
Mwigulu is a very Smart person kutokea Tanzania...na ana sifa za urais pengine kushinda rais yeyote tokea uhuru...tatizo ni Hilo moja tu la dini yake (mlokole)
NB Ili uwe rais wa Tanzania lazima uwe na sifa muhimu zifuatazo
a.mkristo(RC)
b.muslim(bakwata)

Mwenyezi Mungu alituonesha rangi zake zote alipokuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi awamu ile !

Kwa hiyo tunamshukuru sana Mungu Kwa hilo.

Hayo mengine ni ya kwako!
 
Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.

Ama kweli tumepata Waziri wa Fedha wa aina yake.View attachment 2264594View attachment 2264595View attachment 2264597
Jamaa ana tamani sana ukubwa.
Halafu huyu ndie ana sema ana wapimia wenzake mafuta.
Useless person.
Kila kukicha ana waza kucjora mawe.
Rais wa mawe ya Singida
 
Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.

Ama kweli tumepata Waziri wa Fedha wa aina yake.View attachment 2264594View attachment 2264595View attachment 2264597
halafu kwenye hotuba anaongelea kupunguza gharama kwa kubana matumizi 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁
 
Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.

Ama kweli tumepata Waziri wa Fedha wa aina yake.

View attachment 2264594View attachment 2264595View attachment 2264597
Huu ni ushahidi tosha hii nchi ina Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika zaidi mmoja!
 
Kumbe ni mlokole
Ukiondoa sababu za kidini (mlokole)
Mwigulu is a very Smart person kutokea Tanzania...na ana sifa za urais pengine kushinda rais yeyote tokea uhuru...tatizo ni Hilo moja tu la dini yake (mlokole)
NB Ili uwe rais wa Tanzania lazima uwe na kumbe ni mlokole
 
Ukiondoa sababu za kidini (mlokole)
Mwigulu is a very Smart person kutokea Tanzania...na ana sifa za urais pengine kushinda rais yeyote tokea uhuru...tatizo ni Hilo moja tu la dini yake (mlokole)
NB Ili uwe rais wa Tanzania lazima uwe na sifa muhimu zifuatazo
a.mkristo(RC)
b.muslim(bakwata)
Huwezi kumsafusha mwigulu..mikoni yake imejaa damu
 
Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.

Ama kweli tumepata Waziri wa Fedha wa aina yake.

View attachment 2264594View attachment 2264595View attachment 2264597
Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.[emoji23]
 
Ukiondoa sababu za kidini (mlokole)
Mwigulu is a very Smart person kutokea Tanzania...na ana sifa za urais pengine kushinda rais yeyote tokea uhuru...tatizo ni Hilo moja tu la dini yake (mlokole)
NB Ili uwe rais wa Tanzania lazima uwe na sifa muhimu zifuatazo
a.mkristo(RC)
b.muslim(bakwata)
Uyo jamaa mchawi mchaawiii!!!

Usiwachafue WALIOOKOKA.
Kuokoka na tunguli wap na wap. Amen
 
Huyu jamaa anatufaa kuwa Raisi
C8FDD09E-F7B6-4B64-BD79-F7A3B2D51D6F.jpeg
 
Back
Top Bottom