Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
[emoji706][emoji706]Huyu jamaa anatufaa kuwa Raisi
Mtaalamu wa sifa za kijingaKila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.
Ama kweli tumepata Waziri wa Fedha wa aina yake.View attachment 2264594View attachment 2264595View attachment 2264597
Tangu hapo ni rais wa mawe!Huyu jamaa anatufaa kuwa Raisi
Duh!!Hizo ni salamu kwa Rais Samia kuwa 2025 kila kitu kitawezekana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi inaongozwa na Mapaka[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2264650View attachment 2264651View attachment 2264652
Mazoezi ya uraisKila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.
Ama kweli tumepata Waziri wa Fedha wa aina yake.View attachment 2264594View attachment 2264595View attachment 2264597
Kama Raisi sawa ila siyo RaisHuyu jamaa anatufaa kuwa Raisi