Mungu wa haki akulepe kwa uliyo kusudiaNchi inaongozwa na Mapaka๐๐๐View attachment 2264650View attachment 2264651View attachment 2264652
Makanisa ya kilokole yana majina mengi Mkuu...Mlokole wa kanisa GANI anasali?
Kwa uelewa wangu wanao stahili kusindikizwa na "motorcade" ya namna hii Rais, Makamu wa Rais pamoja na Waziri Mkuu kwa upande huu wa Tanzania Bara. Sijui kama mawaziri nao katika mazingira fulani hustahili kupewa hiyo heshima.Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.
Ama kweli tumepata Waziri wa Fedha wa aina yake.View attachment 2264594View attachment 2264595View attachment 2264597
๐So huu Ni uchambuzi wa kitaalamuUkiondoa sababu za kidini (mlokole)
Mwigulu is a very Smart person kutokea Tanzania...na ana sifa za urais pengine kushinda rais yeyote tokea uhuru...tatizo ni Hilo moja tu la dini yake (mlokole)
NB Ili uwe rais wa Tanzania lazima uwe na sifa muhimu zifuatazo
a.mkristo(RC)
b.muslim(bakwata)
Ukiondoa sababu za kidini (mlokole)

Jamaa ana tamani sana ukubwa.Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.
Ama kweli tumepata Waziri wa Fedha wa aina yake.View attachment 2264594View attachment 2264595View attachment 2264597
halafu kwenye hotuba anaongelea kupunguza gharama kwa kubana matumizi ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.
Ama kweli tumepata Waziri wa Fedha wa aina yake.View attachment 2264594View attachment 2264595View attachment 2264597
Aiseeee !!!Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.
Ama kweli tumepata Waziri wa Fedha wa aina yake.View attachment 2264594View attachment 2264595View attachment 2264597
[emoji38][emoji38][emoji38]Huyu jamaa anatufaa kuwa Raisi
Huu ni ushahidi tosha hii nchi ina Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika zaidi mmoja!Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.
Ama kweli tumepata Waziri wa Fedha wa aina yake.
View attachment 2264594View attachment 2264595View attachment 2264597
Ukiondoa sababu za kidini (mlokole)
Mwigulu is a very Smart person kutokea Tanzania...na ana sifa za urais pengine kushinda rais yeyote tokea uhuru...tatizo ni Hilo moja tu la dini yake (mlokole)
NB Ili uwe rais wa Tanzania lazima uwe na kumbe ni mlokole
Huwezi kumsafusha mwigulu..mikoni yake imejaa damuUkiondoa sababu za kidini (mlokole)
Mwigulu is a very Smart person kutokea Tanzania...na ana sifa za urais pengine kushinda rais yeyote tokea uhuru...tatizo ni Hilo moja tu la dini yake (mlokole)
NB Ili uwe rais wa Tanzania lazima uwe na sifa muhimu zifuatazo
a.mkristo(RC)
b.muslim(bakwata)
Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.[emoji23]Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.
Ama kweli tumepata Waziri wa Fedha wa aina yake.
View attachment 2264594View attachment 2264595View attachment 2264597
Uyo jamaa mchawi mchaawiii!!!Ukiondoa sababu za kidini (mlokole)
Mwigulu is a very Smart person kutokea Tanzania...na ana sifa za urais pengine kushinda rais yeyote tokea uhuru...tatizo ni Hilo moja tu la dini yake (mlokole)
NB Ili uwe rais wa Tanzania lazima uwe na sifa muhimu zifuatazo
a.mkristo(RC)
b.muslim(bakwata)
Huyu jamaa anatufaa kuwa Raisi
Wengi wa wanaotumia nguvu za Darkness huwa wanajifichia huko !!!Uyo jamaa mchawi mchaawiii!!!
Usiwachafue WALIOOKOKA.
Kuokoka na tunguli wap na wap. Amen