Dkt. Mwigulu rudi tena useme vizuri kanusho la serikali "kufulia"

Dkt. Mwigulu rudi tena useme vizuri kanusho la serikali "kufulia"

Acha tumliipe jamaa wa Stiglers ili aondoke, keshamaliza kazi, tukilipa anawasha mitambo na kukabidhi mradi. Huo mradi ni mkubwa, huwezi linganishha ni vimiradi vya bilioni kumi au ishirini.

Stiglers yote imekamilika, mitambo iko tayari yote, ni kulipa tu! Nyi wengine mnaodai msubiri.
RIP Shujaa Magufuli
 
Stihlers imekamilika
Wakati nuo wahuni wa ccm wanaplan umeme wa stiglerr wataufaidi vipi ili wainyonye nchi

Badala ya kufikiria umme.utakuwa mwingi wapunguze bei ili kukuza uzalishaji nchi ipate mapato wao
Wako bize kuunda vikampuni ili wakauze umeme nchi jirani

Ccm mmelogwa si bure
 
Nchi imefirisika hii ukiona hazina inasubiria tumakusanya ya kodi ili kulipata mishahara ujue tayari

Tukisema mwanzoni mama Abdul alipomteua kada mwaminifu kuwa waziri wa fedha kuwa huyu hafai ni kibaraka hakusikia, wengine walishauri amateur kimei

Sasa anamzamisha na wanazama wote
 
Back
Top Bottom