Dkt. Mwingulu Nchemba awataka Wabunge kujadili sheria wakati wa Utungwaji na Siyo Wakati wa utekelezaji Wake

Na huo ndio ukweri kabisa. Wakiona wananchi na wapiga kura wao wanakalalamikia hayo waliyoyapitisha huko wanapiga about- turn na kuanza kuyapinga yale yale waliyoyapitisha.
 
Mapungufu ya sheria huonekana wakati wa utekelezaji. Mwigulu katika nafasi yake analifahamu hilo na hakuna haja ya kuzuia watu hasa wabunge kujadili sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…