Dkt Nchimbi: CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe

Hakika 🐼

Kumuuwa Mwanajeshi aliyepigana Vita ni laana
Na bado laana itawaandama sana. Ccm ndiyo wauwaji na huyo tu. Mmeua wengi na mtaendelea kuuwa wengi. Si kwenye vikao mnasema waziwazi. Tukiwapoteza polisi msiangaike?. Ccm kushinda Haina Mungu akipenda Bali ni lazima. Na ndipo mnapouwa watu sababu Haina Mungu akipenda. Kina Alfonse Mawazo. Zote ni damu zinanuka mbele ya mapua yenu. Uzuri Mungu amesema.amefanya kila Jambo kwa kusudi. Naamuhata wabaya kwa siku ya Ubaya. Hizi damu mtaulizwa tu take mistake na hakuna wakuzuia msiulizwe Wana wa IBILISI nyinyi
 
Lakini kuna tangazo lilikuwa linaomba ushirikiano kwa yeyote anaewafahamu..
Tangazo la mamaako?. Wananchi watachukua Sheria mkononi siku zinakuja. Kama ZAKAKIA wa Tarime alivyomnyoosha kibwengo wenu. Na mlimjua mbona akumshitaki wale waliotaka kumteka na kumuua Zakalia? Au nao hamkuwafahamu na mlimpeleka Africa kusini kutibiwa
 
Kwahiyo chadema ndio jeshi la polisi lililotakiwa kufanya uchunguzi.au umekuja kuonyesha ujinga wako hadharani.Hakuna mwenye mamlaka yakufanya uhalifu nchi hii ndio maana kuna jeshi la polisi na ni wajibu wao kuja na majibu ya uhalifu wowote ili hatua zichukuliwe.sasa wewe kwa ujinga wako unatuletea ngonjera za chadema.jinga kabisa.
 
Uzalendo ndiyo unawafanya muuwe watu mpaka Sasa na utawafanya muendelee kuuwa. Nakupa mfano watu walienda kumteka na kutaka kumuua Zakalia akampiga risasi mtekaji na mkampeleka Africa kusini kutibiwa kwanini msinge mshitaki Hawa watu ccm mnawaagaiza. Hata huyo MAFWELE KAMA KWELI NDIYO ANAEUWA SABABU ANAAGIZWA NA CCM. Hakuna Cha uchunguzi Wala nini hapo. Mnamtia laana tu za damu za watu mkihisi nyinyi hazitawafikia.ila Kama Mungu aishivyo hizi damu zitawahusu tu. (Yesu alimwambia Pilato aliyenitia mikonono mwako ana dhambi zaidi). Mnaomuagiza huyu mtu kuua mna dhambi zaidi yake na mkono yenu imejaa laana
 
Mbona matusi tena mkuu?
 
wewe sasa una malalamiko mengi, mihemko na makasiriko binafsi mengi sana moyoni, na ndio maana unajieleza bila utaratibu, umejaa chuki na hasira mno moyoni,

actually,
ni mbaya na ni hatari sana hatari kwa afya ya akili ya binadamu, pole sana gentleman ..

hata hivyo,
sina cha kuongeza kwa sasa zaidi ya nilichokieleza hapo juu, SG wa CCM ameeleza yote kwa kina zaid 🐒
 
Mbona matusi tena mkuu?
Mkuu Kama unapenda mauwaji uwezi kunielewa. Haya mambo watu wanafurahia. Anajifanya tangazo mnafiki mkubwa huyo. Watu wanachukulia kirahisi haya mambo lakini ni mabaya sana Damu ya mwanadamu ni mbaya mkuu. Mungu atakuja kutuadhibu tukiyaruhusu yaendelee. Anakwambia uchunguzi. Zakakia alimpiga risasi mtekaji aliyetaka wamteke na kumuuwa. Nakuuliza swali ulisikia kakamatwa? Kashitakiwa?waliuliza ushirikiano?. Ndiyo kwanza akapelekwa kutibiwa na waliomtuma kumuua zakalia
 
Uzuri hamtauwa siku zote tu na Mungu akakaa kimya siku zote Kama mnavyofikilia. Hupo wakati Mungu atasimama kusikia kilio Cha hizo Damu mlizoziua
 
Mkuu hapa duniani watu wataendelea kufa tu kwa sababu ndio mfumo wa dunia ulivyo kama Yesu na Mohammed walikufa itakuwa sisi mkuu!! Hata wewe jiandae siku moja utakufa tu.
 
Mkuu hapa duniani watu wataendelea kufa tu kwa sababu ndio mfumo wa dunia ulivyo kama Yesu na Mohammed walikufa itakuwa sisi mkuu!! Hata wewe jiandae siku moja utakufa tu.
Nakubaliana na wewe. Kwahiyo kuuwana ndiyo mlivyoambiwa na Mungu. Kama ndiyo mfumo tuyasubili ya congo na sisi maana ni mfumo au siyo?. Hakuna Cha mfumo wa dunia mnatengeneza mjifiche kwenye mifumo. Mbona hamuwaui mama zenu na baba zenu? Wauweni na watoto zenu tujue mifumo imewakolea vizuri. Hakuna Cha mifumo.mbona umalaya ni mifumo na bado mnawakamata Malaya buguruni. Waacheni Kama ni mifumo. Maana unasema mifumo ili ubariki UOVU. ILI JAMBO NI CHUKIZO KWA MUNGU
 
Okay
 
Polisi wanaolinda raia na Mali zao wako wapi?
 
Nchimbi aache unafiq.
 
Mkuu hapa duniani watu wataendelea kufa tu kwa sababu ndio mfumo wa dunia ulivyo kama Yesu na Mohammed walikufa itakuwa sisi mkuu!! Hata wewe jiandae siku moja utakufa tu.
Mkuu, sahihisho; "Yesu Kristo hajafaa , yu hai," Amin
 
Unaongea kama mmawi.a tarehe ya ku join JF inahusianaje na maudhui!?,,huna akili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…