Emmanuel Robinson
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,856
- 1,793
Ana uwezo mkubwa wa kiungozi pamoja na ukomavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado laana itawaandama sana. Ccm ndiyo wauwaji na huyo tu. Mmeua wengi na mtaendelea kuuwa wengi. Si kwenye vikao mnasema waziwazi. Tukiwapoteza polisi msiangaike?. Ccm kushinda Haina Mungu akipenda Bali ni lazima. Na ndipo mnapouwa watu sababu Haina Mungu akipenda. Kina Alfonse Mawazo. Zote ni damu zinanuka mbele ya mapua yenu. Uzuri Mungu amesema.amefanya kila Jambo kwa kusudi. Naamuhata wabaya kwa siku ya Ubaya. Hizi damu mtaulizwa tu take mistake na hakuna wakuzuia msiulizwe Wana wa IBILISI nyinyiHakika 🐼
Kumuuwa Mwanajeshi aliyepigana Vita ni laana
Tangazo la mamaako?. Wananchi watachukua Sheria mkononi siku zinakuja. Kama ZAKAKIA wa Tarime alivyomnyoosha kibwengo wenu. Na mlimjua mbona akumshitaki wale waliotaka kumteka na kumuua Zakalia? Au nao hamkuwafahamu na mlimpeleka Africa kusini kutibiwaLakini kuna tangazo lilikuwa linaomba ushirikiano kwa yeyote anaewafahamu..
Kwahiyo chadema ndio jeshi la polisi lililotakiwa kufanya uchunguzi.au umekuja kuonyesha ujinga wako hadharani.Hakuna mwenye mamlaka yakufanya uhalifu nchi hii ndio maana kuna jeshi la polisi na ni wajibu wao kuja na majibu ya uhalifu wowote ili hatua zichukuliwe.sasa wewe kwa ujinga wako unatuletea ngonjera za chadema.jinga kabisa.Mjane wa Marehemu Chacha Wangwe aliomba uchunguzi ufanyike juu ya kifo cha mume wake, alidai kuna viongozi wa Chadema walihusika kuratibu ajali hiyo na Kisha kusabqbisha kifo cha mpambanaji huyo.
matokeo yake yalitoka?
Viongozi wa Chadema wajitafakari, wananuka damu.
Nina? HuyoooSasa yakomeshwe vp na mtu wameshamjuwa na hatuoni hatua hatua kwanza ichukuliwe hata ya kunyonga hao watu ndo iwe fundisho kwa wengine
Uzalendo ndiyo unawafanya muuwe watu mpaka Sasa na utawafanya muendelee kuuwa. Nakupa mfano watu walienda kumteka na kutaka kumuua Zakalia akampiga risasi mtekaji na mkampeleka Africa kusini kutibiwa kwanini msinge mshitaki Hawa watu ccm mnawaagaiza. Hata huyo MAFWELE KAMA KWELI NDIYO ANAEUWA SABABU ANAAGIZWA NA CCM. Hakuna Cha uchunguzi Wala nini hapo. Mnamtia laana tu za damu za watu mkihisi nyinyi hazitawafikia.ila Kama Mungu aishivyo hizi damu zitawahusu tu. (Yesu alimwambia Pilato aliyenitia mikonono mwako ana dhambi zaidi). Mnaomuagiza huyu mtu kuua mna dhambi zaidi yake na mkono yenu imejaa laanani muhimu sana kama Taifa kuwa wastahimilivu na wenye subra wakati maagizo ya Mkuu wa nchi Dr. Samia Suluhu Hassan kuhusu uchunguzi wa kifo tata cha marehemu kamanda Ally Mohamed Kibao kiongozi mwandamizi wa chadema kilichotokea hivi karibuni pamoja na matukio mengine ya kihalifu....
Ni muhimu zaid tukawa wazalendo 🐒
Mbona matusi tena mkuu?Tangazo la mamaako?. Wananchi watachukua Sheria mkononi siku zinakuja. Kama ZAKAKIA wa Tarime alivyomnyoosha kibwengo wenu. Na mlimjua mbona akumshitaki wale waliotaka kumteka na kumuua Zakalia? Au nao hamkuwafahamu na mlimpeleka Africa kusini kutibiwa
wewe sasa una malalamiko mengi, mihemko na makasiriko binafsi mengi sana moyoni, na ndio maana unajieleza bila utaratibu, umejaa chuki na hasira mno moyoni,Uzalendo ndiyo unawafanya muuwe watu mpaka Sasa na utawafanya muendelee kuuwa. Nakupa mfano watu walienda kumteka na kutaka kumuua Zakalia akampiga risasi mtekaji na mkampeleka Africa kusini kutibiwa kwanini msinge mshitaki Hawa watu ccm mnawaagaiza. Hata huyo MAFWELE KAMA KWELI NDIYO ANAEUWA SABABU ANAAGIZWA NA CCM. Hakuna Cha uchunguzi Wala nini hapo. Mnamtia laana tu za damu za watu mkihisi nyinyi hazitawafikia.ila Kama Mungu aishivyo hizi damu zitawahusu tu. (Yesu alimwambia Pilato aliyenitia mikonono mwako ana dhambi zaidi). Mnaomuagiza huyu mtu kuua mna dhambi zaidi yake na mkono yenu imejaa laana
Mkuu Kama unapenda mauwaji uwezi kunielewa. Haya mambo watu wanafurahia. Anajifanya tangazo mnafiki mkubwa huyo. Watu wanachukulia kirahisi haya mambo lakini ni mabaya sana Damu ya mwanadamu ni mbaya mkuu. Mungu atakuja kutuadhibu tukiyaruhusu yaendelee. Anakwambia uchunguzi. Zakakia alimpiga risasi mtekaji aliyetaka wamteke na kumuuwa. Nakuuliza swali ulisikia kakamatwa? Kashitakiwa?waliuliza ushirikiano?. Ndiyo kwanza akapelekwa kutibiwa na waliomtuma kumuua zakaliaMbona matusi tena mkuu?
Mkuu hapa duniani watu wataendelea kufa tu kwa sababu ndio mfumo wa dunia ulivyo kama Yesu na Mohammed walikufa itakuwa sisi mkuu!! Hata wewe jiandae siku moja utakufa tu.Mkuu Kama unapenda mauwaji uwezi kunielewa. Haya mambo watu wanafurahia. Anajifanya tangazo mnafiki mkubwa huyo. Watu wanachukulia kirahisi haya mambo lakini ni mabaya sana Damu ya mwanadamu ni mbaya mkuu. Mungu atakuja kutuadhibu tukiyaruhusu yaendelee. Anakwambia uchunguzi. Zakakia alimpiga risasi mtekaji aliyetaka wamteke na kumuuwa. Nakuuliza swali ulisikia kakamatwa? Kashitakiwa?waliuliza ushirikiano?. Ndiyo kwanza akapelekwa kutibiwa na waliomtuma kumuua zakalia
Nakubaliana na wewe. Kwahiyo kuuwana ndiyo mlivyoambiwa na Mungu. Kama ndiyo mfumo tuyasubili ya congo na sisi maana ni mfumo au siyo?. Hakuna Cha mfumo wa dunia mnatengeneza mjifiche kwenye mifumo. Mbona hamuwaui mama zenu na baba zenu? Wauweni na watoto zenu tujue mifumo imewakolea vizuri. Hakuna Cha mifumo.mbona umalaya ni mifumo na bado mnawakamata Malaya buguruni. Waacheni Kama ni mifumo. Maana unasema mifumo ili ubariki UOVU. ILI JAMBO NI CHUKIZO KWA MUNGUMkuu hapa duniani watu wataendelea kufa tu kwa sababu ndio mfumo wa dunia ulivyo kama Yesu na Mohammed walikufa itakuwa sisi mkuu!! Hata wewe jiandae siku moja utakufa tu.
OkayNakubaliana na wewe. Kwahiyo kuuwana ndiyo mlivyoambiwa na Mungu. Kama ndiyo mfumo tuyasubili ya congo na sisi maana ni mfumo au siyo?. Hakuna Cha mfumo wa dunia mnatengeneza mjifiche kwenye mifumo. Mbona hamuwaui mama zenu na baba zenu? Wauweni na watoto zenu tujue mifumo imewakolea vizuri. Hakuna Cha mifumo.mbona umalaya ni mifumo na bado mnawakamata Malaya buguruni. Waacheni Kama ni mifumo. Maana unasema mifumo ili ubariki UOVU. ILI JAMBO NI CHUKIZO KWA MUNGU
Polisi wanaolinda raia na Mali zao wako wapi?Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi ,amesema CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya aliyekuwa Mshauri wa CHADEMA Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe.
"Chama chetu kinaunga mkono kauli ya Rais wetu yakutaka uchunguzi wa haraka ufanyike, watuhumiwa wapatikane na hatua zichukuliwe. Rais ametoa kauli hile kwa ukali kabisa ameeleza wazi ambavyo amekerwa na jambo ambalo limetokea."Nchimbi
"Mimi binafsi ni waambieni tu nilipopata taarifa ya hule Msiba, Mbowe alinipigia simu zaidi ya mara tano najuwa atakacho niambia ni habari ya msiba imekuwaje najuwa kama chama tawala na wajibu anapo ongea hivyo ila ujasiri wa kupokea simu nilikosa"
"Na baadae nikamuandikia meseji nikamwambia nakuomba radhi jambo lile lilinivuruga sana nikashindwa kupokea simu yako"Nchimbi
Soma Pia:
Nchimbi aache unafiq.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi ,amesema CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya aliyekuwa Mshauri wa CHADEMA Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe.
"Chama chetu kinaunga mkono kauli ya Rais wetu yakutaka uchunguzi wa haraka ufanyike, watuhumiwa wapatikane na hatua zichukuliwe. Rais ametoa kauli hile kwa ukali kabisa ameeleza wazi ambavyo amekerwa na jambo ambalo limetokea."Nchimbi
"Mimi binafsi ni waambieni tu nilipopata taarifa ya hule Msiba, Mbowe alinipigia simu zaidi ya mara tano najuwa atakacho niambia ni habari ya msiba imekuwaje najuwa kama chama tawala na wajibu anapo ongea hivyo ila ujasiri wa kupokea simu nilikosa"
"Na baadae nikamuandikia meseji nikamwambia nakuomba radhi jambo lile lilinivuruga sana nikashindwa kupokea simu yako"Nchimbi
Soma Pia:
Mkuu, sahihisho; "Yesu Kristo hajafaa , yu hai," AminMkuu hapa duniani watu wataendelea kufa tu kwa sababu ndio mfumo wa dunia ulivyo kama Yesu na Mohammed walikufa itakuwa sisi mkuu!! Hata wewe jiandae siku moja utakufa tu.
Unaongea kama mmawi.a tarehe ya ku join JF inahusianaje na maudhui!?,,huna akili timamu.Joined 19 Apr 2020, posts 79; hizi ni zile zinazoitwa ID za kazi? Almaarufu ID za msaada?
Uliwahi kusikia wapi tukijiita ma thinker achilia mbali u great unaouongelea wewe?
Lockdown? Unajua walikufa wangapi mlipokuwa mnachuuza wajinga kwa nyungu?
Bure kabisa!
Kwa imani yako.Mkuu, sahihisho; "Yesu Kristo hajafaa , yu hai," Amin