Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haohao ndio wamewaambia Polisi wapige Marufuku Maandamano.
ni muhimu sana kama Taifa kuwa wastahimilivu na wenye subra wakati maagizo ya Mkuu wa nchi Dr. Samia Suluhu Hassan kuhusu uchunguzi wa kifo tata cha marehemu kamanda Ally Mohamed Kibao kiongozi mwandamizi wa chadema kilichotokea hivi karibuni pamoja na matukio mengine ya kihalifu....Dk. Nchimbi ana hoja asikilizwe:
View attachment 3095065
Kwamba anakerwa mno na utekaji, huyu ni mwenzetu katika mapambano.
Tupeleke ujumbe (emissaries) kwake, 23 September tukawe timu kubwa.
Hoja tunayo:
"Uchunguzi huru ni kwa maslahi ya kila mtu wakiwamo CCM, Serikali na hata wanaotajwa tajwa kwa majina."
Hivi huwa kila post au thread mnaanzisha mnalipwa shilingi ngapi!?,Kuna muda nahisi hata mkikomenti mnashangaa komenti zenu zilivyokaa kichawachawa.. wewe, lukasi na choici.. pengine ni ID moja zote.ni muhimu sana kama Taifa kuwa wastahimilivu na wenye subra wakati maagizo ya Mkuu wa nchi Dr. Samia Suluhu Hassan kuhusu uchunguzi wa kifo tata cha marehemu kamanda Ally Mohamed Kibao kiongozi mwandamizi wa chadema kilichotokea hivi karibuni pamoja na matukio mengine ya kihalifu....
Ni muhimu zaid tukawa wazalendo 🐒
ni muhimu sana kama Taifa kuwa wastahimilivu na wenye subra wakati maagizo ya Mkuu wa nchi Dr. Samia Suluhu Hassan kuhusu uchunguzi wa kifo tata cha marehemu kamanda Ally Mohamed Kibao kiongozi mwandamizi wa chadema kilichotokea hivi karibuni pamoja na matukio mengine ya kihalifu....
Ni muhimu zaid tukawa wazalendo 🐒
udhalimu wa aina yoyote dhidi ya utu au uhai wa binadamu wengine hakubaliki hata kidogo...Kulikoni kuwasemea?
Kumsikia mtu anachosema ukakubali inakugharimu nini?
Apelekewe mwaliko Dk. Nchimbi wa shughuli 23 Sep.
binti kiziwi, Tlaatlaah, johnthebaptist, Zawadini kuukataa udhwalimu ni jukumu letu sote.
zingatia maelezo,Hivi huwa kila post au thread mnaanzisha mnalipwa shilingi ngapi!?,Kuna muda nahisi hata mkikomenti mnashangaa komenti zenu zilivyokaa kichawachawa.. wewe, lukasi na choici.. pengine ni ID moja zote.
Kwenye great thinkers haupo, unaamini maneno ya Nchimbi kirahisi rahisi tu!?,kabla ya yule mzee wa Tanga kuuawa juzi alikuwa wapi!?,uliwahi kumsikia!?,ndo maana kipindi cha COVID ulikuwa unalilia tuwekwe LOCKDOWN na thread zako zipo humu. Kama unamwamini Nchimbi na hizi ngonjera wahi kapimwe akili haraka sana..
Unataka atumbuliwe?!Apelekewe mwaliko Dk. Nchimbi wa shughuli 23 Sep.
acha mzaha kwenye mambo ya msingi na mazito kwa mustakabali wa umoja, amani na tulivu wa wananchi Tanzania..Tu wazalendo mno.
Ninaamini hata Dk. Nchimbi akipelekewa mwaliko kwa maumivu aliyo nayo hatasita kuja.
Nani asiyekerwa vilivyo na genge linalofanya haya?
Ni Lucas Mwashambwa au nani wandugu?
Unataka atumbuliwe?!
acha mzaha kwenye mambo ya msingi na mazito kwa mustakabali wa umoja, amani na tulivu wa wananchi Tanzania..
hapatakua na Maandamano ya aina yoyote nchini Tanzania mpka baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa Nov. 27,2024...
kuhusu unachozungumzia nadhani ni muhimu tu kuzingatia maelekezo ya vyombo vya ulinzi na usalama, waneeleza vizuri zaid na kwa kina zaid...
nachelea tu kuwaasa vijana kama wewe brazaj kujiepusha kurubuniwa na magenge ya kihalifu na ukajikuta umevunjika kiuno au taya na ukashindwa hata baadhi ya maneno kwa mfano CCM unasema thithiemu...
au nimeumizwa utasema nimeumidhwaa, kwasababu ukasema kwathababu na mambo mengine kama hayo..🐒
gentleman,Tlaatlaah Nakuona una wayawaya baada ya kusikia tamko la KM.
Umeshasahau kabisa uliyokuwa unayahubiri the other day kabla ya tamko.
Vipi, vile vimaswali vyako na Kawaida na mbumbumbu wenzio hamtaki tena vifanyiwe kazi na vitumike kama lead kwenye uchunguzi? Kama umesahau nikukumbushe Mlikuwa mnasema hivi “Kwanini mnyika na Boni ndio wamekuwa wa kwanza kupata taarifa za utekaji na upatikanaji wa mwili “
Bendera fuata upepo naona umesharuka, unahubiri completely different thing from what you have been saying earlier!!
Mwanaume unakosaje Integrity? I dare you with your fellow comrades muendeleze kampeni yenu ya CDM ni watekaji na Boni na Mnyika wakamatwe sababu ilikuwaje taarifa zote wanazipata wao mwanzo!
Will you?
Chama na serikaliHaohao ndio wamewaambia Polisi wapige Marufuku Maandamano.
Chama na serikali
Chama $
Shida inaanzia hapa
Wapinzani shuguli ipo
Ova