Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sawa umesahau idadi ya PhD zilizovunwa
 
Upuuzi gani huu unatuorodheesha. Yote hayo mbona ni majukumu ya kawaida ya serikali. Et kutuambia makusanyo yameongezeka na huku thamani ya fedha imeshuka unafikiri wananchi wajinga. Fedha yenyewe haitumiki inagawiwa tu huko mikoani vigogo wagawane huku serikali inatoza wananchi huduma ya matibabu sawa na biashara ya hospitali binafsi. Halafu niulize; kama huduma ya usambazaji umeme ikifanyika na REA imefanikikiwa kwa kiasi kikubwa kwa nini serikali inataka kuwapa kampuni ya nje ya kihindi kusambaza umeme nchini. Hii si sawa na kusambaza juu ya kusambaza au wanataka kuwapa watu binafsi kufanya uwekezaji ambao tayari umefanyika ili wao wavune tu wasipokua wamewekeza. Hii serikali ya ccm wasifikiri wananchi ni wajinga hata kama wameshindwa kuwapa elimu ya kiwango.
 
Au siyo?

Mwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/E0DcZSEwtic?si=d47P7W13kkIDgzge
View: https://youtu.be/Aq7AGgVXaxQ?si=yWG5xyZEoVA5BvmI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…