Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unaelewa maana ya chawa au unaropoka Kwa sababu kasema ukweli unaomihusu usiyempenda?

Jadili hoja yake ,nimeweka orodha hapo eleza miradi ya Magufuli ni ipi?

Pili miradi ya Magufuli yenyewe sio kazi za kawaida za serikali? 😆😆

Mwisho huduma za serikali hususani Afya zingekuwa ghali watu si wangekimbia Hospital za Umma na kwenda private,Sasa mbona wanajaa pomoni kwenye hospital za Umma?👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBec9h8u8Ue/?igsh=MWxpeWRmbjY4eGJiZA==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…