Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uchunguzi upi Sasa unataka wewe? Unajua Kuna watu akili zenu Zina shida sana.

Kama huamini hizi taarifa za Jumla si nenda tuu hapo Halmashauri Yako au Kwa diwani wako mwambie akupe Bajeti ya Tarura mwaka 2021 na Sasa.

Yaani hakuna mnachojua ila ubishi tuu wa kijinga.Kabla ya Samia Tarura ilikuwa Cha source Moja tuu ya hela ya Road Fund (30%) ndio ikawa hiyo Bilioni 272 Sasa hivi Kuna Tozo Bil.322 ,Jimbo (Central Government) Bil.153 na Hiyi Road Fund hapo unapata Jumla ngapi?

Yaani hiyi hapo Juu ni Bajeti tmrasmi Kila mwaka ila On top of that Kuna program kibao za Tarura eg RISE, TACTIC,DMDP 2 (WB),,Agri-Connect,Own Source (Halmashauri) nk

Ukweli ni kwamba mama ameleta mapinduzi ya miundombinu ya Mjini na Vijijini via Tarura haihitaji tochi huko huko mtaani kwako au Vijijini unaona au uliza wanavijiji nyie wa mjini hakuna kitu Wala shida mnajua walizokuwa wanapitia watu wa Vijijini

View: https://www.instagram.com/p/DC9zF_bt3Ol/?igsh=bDVzNnN4d292cHdi
 
How much AID does Tanzania get kutoka nje? Kwa taarifa Yako more than 3 percent? How does mama Samia anasaidia Wamama wajawazito? Program hizi zimekuwepo kabla yake na magufuli ndio alifungua huo Mlango Kwa kutoa exemption wewe unaongea Nini?
Through Budget allocation and by sourcing external funds from donors.

Mwisho hao Wahisani walikuwa Wanamsubiria Samia tuu na sio wengine Ili kufanya yafuatayo?
-Kununua CT Scans,MRIs nk Mikoa yote.
-Kujenga Wodi maalumu za Watoto Njiti
-Kununua Vifaa tiba Mikoa yote
-Kutia maelfu ya Ajira za Afya Kila mwaka
-Kujenga zaidi ya Vituo vya Afya 400 kata zote na Sasa vituo 150 vinaendelea na ujenzi
-Kujenga Hospitals zote za Wilaya na Kufanya Upanuzi wa Hospitals za Mikoa,Rufaa. Na Taifa?

Hata ukimchukia Samia ila historia imeshaandikwa ,Hakuna Rais wa kabla yake ambae amewahi fanya revolution ya Afya ,Elimu, miundombinu Vijijini,maji,Kilimo, biashara na uwekezaji na Ajira kumzidi Samia ,hayupo.
 
Hapo kwenye List miradi ya Magufuli ni kama upi? Nitajie 2

Nitajie maandalizi yaliyofanywa na Mwendazake Hadi kuchangia ukuaji wa sekta zifuatazo
-Kilimo
-Miundombinu Vijijini
-Biashara na Uwekezaji
-Utalii
-Afya na Elimu
-Ajira
-Banking Sector na Bima
-Ardhi na Nyumba.

Eleza Magufuli alichofanya maandalizi hapo.Kwa Ubunifu wa Samia aisee Bado hamjasema kitu hii Mpya inakuja πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DC9jWLpt-3N/?igsh=cWo5b3ZyMGlpbWRu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…