The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Uchunguzi upi Sasa unataka wewe? Unajua Kuna watu akili zenu Zina shida sana.Hapa kuna muhtasari wa taarifa ulizotoa, ukionyesha kwamba kuna mwelekeo wa upotoshaji:
1. TanRoads:
- Inadai kwamba wamekamilisha zaidi ya kilomita 1,000 za lami.
- Inasema kuwa zaidi ya kilomita 3,700 zinaendelea na ujenzi, lakini hii inaweza kuwa na upotoshaji kuhusu kiwango halisi cha maendeleo.
2. Tarura:
- Inadai kujenga zaidi ya kilomita 800 za lami.
- Inasema kuwa zaidi ya kilomita 500 zinaendelea na ujenzi, lakini kunaweza kuwa na mashaka kuhusu usahihi wa takwimu hizi.
- Inatoa taarifa kwamba wamefungua maelfu ya vijiji kupitia barabara mpya za changarawe na madaraja.
- Bajeti ya Tarura inadaiwa kuongezeka kutoka bilioni 270 hadi bilioni 800, ambayo inaweza kuhitaji uthibitisho zaidi.
Taarifa hizi zinapaswa kufanyiwa uchunguzi ili kubaini ukweli wake.
Kama huamini hizi taarifa za Jumla si nenda tuu hapo Halmashauri Yako au Kwa diwani wako mwambie akupe Bajeti ya Tarura mwaka 2021 na Sasa.
Yaani hakuna mnachojua ila ubishi tuu wa kijinga.Kabla ya Samia Tarura ilikuwa Cha source Moja tuu ya hela ya Road Fund (30%) ndio ikawa hiyo Bilioni 272 Sasa hivi Kuna Tozo Bil.322 ,Jimbo (Central Government) Bil.153 na Hiyi Road Fund hapo unapata Jumla ngapi?
Yaani hiyi hapo Juu ni Bajeti tmrasmi Kila mwaka ila On top of that Kuna program kibao za Tarura eg RISE, TACTIC,DMDP 2 (WB),,Agri-Connect,Own Source (Halmashauri) nk
Ukweli ni kwamba mama ameleta mapinduzi ya miundombinu ya Mjini na Vijijini via Tarura haihitaji tochi huko huko mtaani kwako au Vijijini unaona au uliza wanavijiji nyie wa mjini hakuna kitu Wala shida mnajua walizokuwa wanapitia watu wa Vijijini
View: https://www.instagram.com/p/DC9zF_bt3Ol/?igsh=bDVzNnN4d292cHdi