Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukishakuwa chawa huwezi kutumia akili.

Hivi nchi zote duniani raisi anaabudiwa namna hii? Mbona tunakuwa watu wa namna hii, kusifu kila kitu, hatuwezi kuwa objective hata kidogo.

Mimi nina imani hata yeye mama anawashangaa mpaka anajishangaa
 
Piga swala /sala ndugu mkono tena usisahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…