Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

View: https://www.instagram.com/p/DFg3i8zIhWT/?img_index=11&igsh=MTQycW1vb3pqZW0yNQ==
gersonmsigwa_1738377612552.jpg
gersonmsigwa_1738377614760.jpg
gersonmsigwa_1738377617331.jpg
gersonmsigwa_1738377616317.jpg
gersonmsigwa_1738377618056.jpg
gersonmsigwa_1738377619412.jpg
gersonmsigwa_1738377620856.jpg
 
Ukishakuwa chawa huwezi kutumia akili.

Hivi nchi zote duniani raisi anaabudiwa namna hii? Mbona tunakuwa watu wa namna hii, kusifu kila kitu, hatuwezi kuwa objective hata kidogo.

Mimi nina imani hata yeye mama anawashangaa mpaka anajishangaa
 
Kama kumsifia Rais ni kumuabudu basi Wacha ibada iendelee., ukweli lazima usemwe na sifa azipate angali hai anaona kama anavyopata matusi.

Na wewe ukishakuwa punguani kazana kutukana.

Mwisho hoja hujibiwa Kwa hoja na sio matusi.Ukweli lazima usemwe.
Piga swala /sala ndugu mkono tena usisahau.
 
Back
Top Bottom