ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishakuwa chawa huwezi kutumia akili.
Hivi nchi zote duniani raisi anaabudiwa namna hii? Mbona tunakuwa watu wa namna hii, kusifu kila kitu, hatuwezi kuwa objective hata kidogo.
Kwa nini?Mimi nina imani hata yeye mama anawashangaa mpaka anajishangaa
Sasa si wanamsifia mpaka anashangaa, wanafanya hivyo kwa lipi?Kwa nini?
Kwa sababu ya kazi yake njemaSasa si wanamsifia mpaka anashangaa, wanafanya hivyo kwa lipi?
Piga swala /sala ndugu mkono tena usisahau.Kama kumsifia Rais ni kumuabudu basi Wacha ibada iendelee., ukweli lazima usemwe na sifa azipate angali hai anaona kama anavyopata matusi.
Na wewe ukishakuwa punguani kazana kutukana.
Mwisho hoja hujibiwa Kwa hoja na sio matusi.Ukweli lazima usemwe.