Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa si wanamsifia mpaka anashangaa, wanafanya hivyo kwa lipi?
Umetujazia mapicha picha lakini huja jibu hoja ya msingi kuwa miradi kama reki ya SGR na Bwawa la mwalimu Nyerere ambayo Samia alirithi toka kwa Magu inamalizwa kwa gharama kubwa sana nje ya bajeti yake na imechukua muda mrefu tofauti na ilivyokadiriwa!! Yote hii sababu ya usimamizi mbovu na ndio maana hata viwango vya kazi nimekuwa compromised.
Acha kutuwekea mapicha weka data za budgeted cost za SGR na Bwawa la mwalimu against the actual costs so far incurred.
Hopefully, you will have the courage to do that Wewe chawa!
 
Mada Ina miradi chungu mzima,hiyo unayoita ya urithi na mingine countless.

Hater Bado hujasema hadi useme 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DGiFX6OtjGs/?img_index=3&igsh=MWozdng3eWRoYWY3Nw==

View: https://www.instagram.com/p/DGhy8nhtzsj/?igsh=OWhnMmVjYXpocm4x
 
Tunashukuru kwa kutuwekea picha za miradi iliyokwisha na inayoendelea. Makadilio ya gharama za hiyo miradi pia mmejitahidi kuweka. Kwa ile miradi iliyokamilika ingefaa kuweka gharama kamili za kila mradi ili tuweze kupima ufanisi wa kwenye kukamilisha utekelezaji wa hiyo miradi!
Mara nyingi emphasis inawekwa kwenye kukamilisha miradi at whatever cost na huko ndio kuna upigaji wa kutosha! Ndio maana kuna very high correlation kati ya miradi ya serikali kwisha na ujenzi wa nyumba za kifahari na civil servants huko Mbweni Dar. Na makao makuu Dodoma!
Samia amewaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao Huku mnawakamuo wakulima!
 
Kila mradi una gharama zake mfano Barabara 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DGin-3sKFyI/?igsh=MXY1dzVuM29ldXBoNg==
 
Back
Top Bottom