ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida ya mama Huwa ni Kiongozi wa kutafuna mifupa iliyowashinda watangulizi wake Toka awamu ya kwanza.Amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuigeuza Tanganyika kuwa Zanzibar pia in terms of ajira na haki sawa .
View attachment 3250721
Kila mradi una gharama zake mfano Barabara 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGin-3sKFyI/?igsh=MXY1dzVuM29ldXBoNg==
Wewe kima,hizo ni hela zilizotumika kugharia miradi ya Barabara zilizojengwa Kwa miaka 4 iliyopita km 1366.What the minister has given here are estimated costs and not the actual costs that are incurred after the roads are completed!! It’s the cost overruns that raise eyebrows when the final invoice is submitted!!
It will interesting to get the actual costs of the mwalimu Nyerere dam, the SGR railway and the Busisi bridge once they’re completed !
Wewe Sokwe, kabla ya kujibu lazima uelewe swali!! Tunataka kujua MakadirioWewe kima,hizo ni hela zilizotumika kugharia miradi ya Barabara zilizojengwa Kwa miaka 4 iliyopita km 1366.
Tafuta Kila mradi jumlisha utapata for individuals
Wewe ni mbumbumbu wa mwisho,Kwa hiyo hizo gharama anazotaja Waziri anazitoa wapi?Wewe Sokwe, kabla ya kujibu lazima uelewe swali!! Tunataka kujua Makadirio
ya hiyo miradi na gharama zake halisi inapokamilika!! Hapo tunaweza kujua kama hizo cost overruns are justified au mnatuibia because of poor oversight.
Magufuli alikuwa mfuatiliaji mzuri sana wa utekelezaji wa miradi unlike mama Kizimkazi anayengojea kuja kukata utepe tu! Ufuatiliaji wake yeye mwenyewe Magufuli ukiwafanya contractors wafanye kazi za viwango badala ya kulipua. Ma shule na za Habari Kweli mmejenga lakini quality yake ni substandard ; we don’t get value for the money spent!
Wewe Sokwe , tukiwaambia Kweli mnaishia kituita haters! Hiyo haitawasaidia.
Wewe chawa, I don’t expect you to like it!Wewe Sokwe, kabla ya kujibu lazima uelewe swali!! Tunataka kujua Makadirio