Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe ni mbumbumbu wa mwisho,Kwa hiyo hizo gharama anazotaja Waziri anazitoa wapi?
Ndio maana nchi hii haiendelei kwasababu mnapeana vyeo kwa upendeleo! Wewe mshauri wa Rais Hujui tofauti kati ya actual and estimated costs?
 
Hata mimi sikutegemea kama angeweza yote hayo tena Rais, mwanamke. Anaweza kuwa Rais wangu wa 3 au 2 kwa ubora wa kwanza Nyerere. Kutegemea na atakavyo maliza kipindi cha pili. Kinacho mharibia ni mwendokasi sijui haambiwi.
 
Back
Top Bottom