Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1.Wewe umeiba kiasi gani kutoka wa wafadhili?

2.Hakuna mahala nimetaja miradi ya Magufuli hapo Juu.Bwawa la Kidunda ni Samia ameanzisha.

3.Nyerere ndio alianzisha ila Samia amejenga Vituo vya Kutokea Huduma vingi kushinda wote waliotangulia kanunia na vifaa tiba Juu x rays,MRIs,CT scans,Magari nk

4.Hakuna mahala nimetaja Ikulu hapo Juu ila Nyerere ndio alianzisha na wengine waliofuata wakaendeleza.

5.Hakuna mahala nimetaja ndege hapo kwenye miradi ya Samia.

6.Kuhusu Barabara Samia ndio amefanya na anaendelea kufanya miradi Mingi ya Barabara.Kwa miaka hii 3 ,amejenga zaidi ya km 1500 za lami na miradi mingine 57 yenye zaidi ya km 3700 inaendelea.Kiufupi Kila Mkoa Kuna miradi mikubwa Magufuli alishindwa kwenye Urais wake.

View: https://www.instagram.com/reel/C5sjaPbLj8O/?igsh=dDdpcW14c2E2b2s4
7.Haijazinduliwa Kwa sababu kama kawaida ya Mwendazake kubadili design kuanzia ule msalaba wa ubungo Hadi hiyo.

Hapo wame design upya na mradi ukaonhezeka Kwa zaidi ya km 60 sa
O kazi Iko mwishoni.

8.Hakuna mahala nimezungumzia Rador na miradi yeyote ya Magufuli ambayo hakukamilisha hata mmja ila Samia ndio ameikamilisha, kiufupi alishindwa.

9.Mchakato ndio kujenga? Michakato ipo Toka Uhuru ila Samia anajenga viwanja Mikoa yote ambayo Haina viwanja,Mwendazake alishindwa alijenga Mikoa 3 tuu nayo hakumaliza hata mmja ila Samia ndio amemalizia.

View: https://www.instagram.com/p/C6Gl4RkoBaD/?igsh=MXNyNm9id29xdmJ2dA==
10.Ujenzi wa meli umeanza miaka Mingi tuu hapa Tanzania ndio maana MV Mwanza ilizama maana ilikuwpeo Mwisho hatutumii kina Songoro saizi maana ni mkandarasi wa mchongo,saizi wanajenga Wakorea kule Kigoma.

11.Mfumo.sahihi ndio mfumo gani? Onyesha pesa mlizokusanya miaka 5 vs Miaka 3 ya Samia.

12.Nitajie mwizi hata mmja ambae alifungwa awamu ya 5 nifunge Uzi.

13.Mbeya na Moro Mwendazake alijenga masoko yapi wewe mtumwa wa Mwendazake? Masoko mengine yaliyosalia Amemalizia Samia na anajenga mengine mapya eg New Kariakoo,Mbeya, Morogoro,Tabora,Dodoma,Tanga

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1782356608963490138?t=t87BDWlJipJ7JTmeSgnVJg&s=19

14.Kwani ujenzi wa Vituo vya Mabasi umeisha Nchi hii? Mama anajenga Vituo zaidi ya 20 Kupitia mradi wa TACTIC.

View: https://www.instagram.com/p/C524gFZtwVH/?igsh=aDF1YmQ2NGxjbnV1
 
Hoja ya nini sasa wakati nyie wenyewe mnajua kwamba Tangu aliyoyaacha JPM ndo anayoyamalizia huyu Mama,Jipya lipi kaleta zaidi ya yale ya DPW na la kwenye mbuga za Wamasai huko?
Hiyo orodha umeisoma? Kuna mradi wa Magufuli hapo? Nitajie hiyo miradi anayomalizia.

Mwendazake uchumi ulimshinda akawa anaimba JNHPP,Sgr na daraja daily.

Samia ana Utitiri wa miradi Kila Kona ya Nchi Kila sekta na humsikii akileta visingizio vya kijinga kama Mwendazake.πŸ‘‡πŸ‘‡


Huna hoja wewe Sukuma gang.
 
Na bado mpaka Wakenya wachukie!
 
Sasa soko si mradi wa manispaa na Jiji?,kwani lilivyoungua lile la karume mchikichini si wamejenga Wamachinga na manispaaa?.
Mradi alizindua ni wa kuwaamisha wamasai,DPW NA ile movie yake ya Royal Tour...huyu mama kafeli sana katika hawamu za hivyo tumewai pitia kama taifa ni ya huyu Mama na JMK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…