Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe ulipotaja miradi y Mwendazake kwamba alijenga masoko haikuwa mradi wa Halmashauri? 😁😁😁

Siwezi weka kwenye list hapo Juu vitu vidogo hivyo maana Kwa Samia ni vingi sana mfano kafufua mashamba ya mbegu Asa,kagawa viximba na Boti Kwa wavuvi,kaimarisha bei ya zao la kokoa,mbaazi,nyama Nje ya Nchi na mahindi.

Kiufupi Samia amepiga kila pointing unayoijua wewe Kwa mafanikio makubwa sana haijapata kutokea yet the so called miradi ya Mwendazake inaendelea vyema
 
Hana mradi kaanzisha bwana...sema ni bingwa wa kukopa tu,anakopa analeta watu wanapiga anarudi tena kukopa analeta watu wanapiga....alafu yeye yupo kimyaaaa...Ni ajabu kuwa Rais wa karba kama yake.
 
Kauli ya kinana tumemuelewa wanajpm. Alistaafu kuogopa moto wa jpm. Anafikiri kurudi chini ya mama amekuja kulipa kisasi na kumshusha jpm. Nyie wapinga maeneleo "reactionaries" mjue magufuli anaishi ndani ya mioyo ya watanzania na mwenyewe ni hatari kwenu kuliko alipokua hai. Endeleeni tu na uhaini kwa taifa.
 
Kisasa kipi wakati JPM ni mfu?

Kwani hutaki kuambiwa ukweli kwamba Mapato yameongezeka bila kubambikia mtu Kodi haramu au?

View: https://twitter.com/kabsjourno/status/1782781002064044078?t=eqmCsDDRvGwZJe0rh6-okQ&s=19
 
Mbagala Zakheem market na humsikii Makelele ya kipumbavu πŸ‘‡πŸ‘‡
 

View: https://www.instagram.com/p/C6Yso9ZKhhQ/?igsh=MWlqcXBiNHp1ZG10cA==
 
Kazi zinaongea πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C6n4-9Cqyrj/?igsh=MXhwM3pmYjZjOGNoNw==
 
Songea ni sehemu ya watu masikini haswa pamoja na kwamba wa-missionary waliishi huko lakini waliacha watu wajinga tofauti na Mbeya, Moshi, Bukoba na Mwanza
 
Hivi Mama haoni kuwa huu uchawa unapitiliza? Mimi sipendi mtu wa kunisifia hadi uongo. Huyo Ndie Adui Namba moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…