Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Mimi ni mtu wa misimamo, Utamaduni wa CCM unajulikana Rais anahudumu awamu 2 nawaambieni Mapema kabisa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kesha kuwa Chawa huyo ....!!

Anatoaje angalizo kama hakuna tatizo. Huo ndiyo mosh wenyewe ..... moto bado tutauona!!
 
Tumia akili wewe, there is more than that.
Hii ni kauli tata, hasa kwa Katibu aliyeingia madarakani jana tu.
Amesema alipokuwa mwenyekiti wa UVCCM akiwa na miaka 34 alimkatalia Dr Bilal kugombea uRais wa Zanzibar Katika muhula wa pili wa Rais Karume

Ni misimamo tu!
 
Ninavyoelewa mimi vipindi viwili vya Samia havijaanza.
Anamalizia ngwe ya JPM, Halafu aanze vipindi vyake, hivyo basi 2025 ni kapu la wote, halina mwenyewe,Sandakalawe mwenye kupata na apate.
 
Lazima alipe fadhila mapema kabisa πŸ”₯πŸ”₯
 
Ninavyoelewa mimi vipindi viwili vya Samia havijaanza.
Anamalizia ngwe ya JPM, Halafu aanze vipindi vyake, hivyo basi 2025 ni kapu la wote, halina mwenyewe,Sanadakalawe mwenye kupata na apate.
Kasome Katiba ya JMT,Urais wa Samia ungekuwa chini ya miaka 3 basi hicho unachosema kingekuwa ila Kwa kuwa ni miaka 4.5 ni awamu full so imeshaanza.

Hilo kapu la wote kagombee Chadomo
 
Labda ameicha iwe kauli tata kwa makusudi
 
uzuri wa maisha mambo hujirudia, mlango walioingilia ndio watakao tokea, 2025 tuna raisi mwingine imeshapangwa hivyo na aliyewaweka hapo na ndiye atakayewatoa kama ni wabishi wakamuulize bosi wao uhuru kenyata na raila odinga …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…