Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Mimi ni mtu wa misimamo, Utamaduni wa CCM unajulikana Rais anahudumu awamu 2 nawaambieni Mapema kabisa!

Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Mimi ni mtu wa misimamo, Utamaduni wa CCM unajulikana Rais anahudumu awamu 2 nawaambieni Mapema kabisa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa

Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni Mapema kabisa tusije kuzinguana huko mbele ya safari, amesisitiza Dr Nchimbi

Mungu mbariki Dr Nchimbi

Kesha kuwa Chawa huyo ....!!

Anatoaje angalizo kama hakuna tatizo. Huo ndiyo mosh wenyewe ..... moto bado tutauona!!
 
Tumia akili wewe, there is more than that.
Hii ni kauli tata, hasa kwa Katibu aliyeingia madarakani jana tu.
Amesema alipokuwa mwenyekiti wa UVCCM akiwa na miaka 34 alimkatalia Dr Bilal kugombea uRais wa Zanzibar Katika muhula wa pili wa Rais Karume

Ni misimamo tu!
 
Nina wasiwasi na uelewa wako. Kauli kuhusu vipindi viwili vya Urais ni jambo tata ndani ya CCM. Kasema vipindi viwili kwa Rais yupi? Je, yule aliyechaguliwa na wananchi baada ya mchakato ndani ya chama au pia kwa Samia aliyeingia madarakani baada ya Rais aliyepitia huo mchakato kufariki? Usishabikie kama zuzu kabla haujaelewa, hii ni siasa.
Ninavyoelewa mimi vipindi viwili vya Samia havijaanza.
Anamalizia ngwe ya JPM, Halafu aanze vipindi vyake, hivyo basi 2025 ni kapu la wote, halina mwenyewe,Sandakalawe mwenye kupata na apate.
 
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa

Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni Mapema kabisa tusije kuzinguana huko mbele ya safari, amesisitiza Dr Nchimbi

Mungu mbariki Dr Nchimbi
Lazima alipe fadhila mapema kabisa 🔥🔥
 
Ninavyoelewa mimi vipindi viwili vya Samia havijaanza.
Anamalizia ngwe ya JPM, Halafu aanze vipindi vyake, hivyo basi 2025 ni kapu la wote, halina mwenyewe,Sanadakalawe mwenye kupata na apate.
Kasome Katiba ya JMT,Urais wa Samia ungekuwa chini ya miaka 3 basi hicho unachosema kingekuwa ila Kwa kuwa ni miaka 4.5 ni awamu full so imeshaanza.

Hilo kapu la wote kagombee Chadomo
 
Nina wasiwasi na uelewa wako. Kauli kuhusu vipindi viwili vya Urais ni jambo tata ndani ya CCM. Kasema vipindi viwili kwa Rais yupi? Je, yule aliyechaguliwa na wananchi baada ya mchakato ndani ya chama au pia kwa Samia aliyeingia madarakani baada ya Rais aliyepitia huo mchakato kufariki? Usishabikie kama zuzu kabla haujaelewa, hii ni siasa.
Labda ameicha iwe kauli tata kwa makusudi
 
uzuri wa maisha mambo hujirudia, mlango walioingilia ndio watakao tokea, 2025 tuna raisi mwingine imeshapangwa hivyo na aliyewaweka hapo na ndiye atakayewatoa kama ni wabishi wakamuulize bosi wao uhuru kenyata na raila odinga …
 
Back
Top Bottom