Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Wewe ni kada wa CCM?Maisha yako yote, sahau!
Kadi yako ni namba ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni kada wa CCM?Maisha yako yote, sahau!
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa
Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni Mapema kabisa tusije kuzinguana huko mbele ya safari, amesisitiza Dr Nchimbi
Mungu mbariki Dr Nchimbi
Amesema alipokuwa mwenyekiti wa UVCCM akiwa na miaka 34 alimkatalia Dr Bilal kugombea uRais wa Zanzibar Katika muhula wa pili wa Rais KarumeTumia akili wewe, there is more than that.
Hii ni kauli tata, hasa kwa Katibu aliyeingia madarakani jana tu.
Ni zaidi ya giza Ila ya Mungu ni mengi.Nikiwaza Miaka mingine mitano ya huu utawala naona Giza mbele....
What a waste of 8 years!!!
Nisahihi nchimbi kalipwa shingapi itakuwa[emoji445]Kama sio juhudi zako Nchimbi ×3 S atapita wapi [emoji444][emoji445]
Ninavyoelewa mimi vipindi viwili vya Samia havijaanza.Nina wasiwasi na uelewa wako. Kauli kuhusu vipindi viwili vya Urais ni jambo tata ndani ya CCM. Kasema vipindi viwili kwa Rais yupi? Je, yule aliyechaguliwa na wananchi baada ya mchakato ndani ya chama au pia kwa Samia aliyeingia madarakani baada ya Rais aliyepitia huo mchakato kufariki? Usishabikie kama zuzu kabla haujaelewa, hii ni siasa.
Umri unaruhusu ? Na tutakuwa hai wote mpigiwa na wapiga kura?Tena ni mihula miwili kupitia uchaguzi Mkuu.
Case closed Samia for Presidential 2025-2035.(10 years).
Lazima alipe fadhila mapema kabisa 🔥🔥Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa
Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni Mapema kabisa tusije kuzinguana huko mbele ya safari, amesisitiza Dr Nchimbi
Mungu mbariki Dr Nchimbi
Katiba inasemaje Sasa? Huyo ndio mgombea na ndio Rais wa Sasa ,wewe unaijua Katiba ya ccm kuliko wenye chama Chao?Huo ni msimamo au uduwanzi? Simamia katiba na kanuni za CCM
Saizi uko kwenye Giza gani?Nikiwaza Miaka mingine mitano ya huu utawala naona Giza mbele....
What a waste of 8 years!!!
Kabisaaa yaani tukutane 2035 😂😂😂😂Tena ni mihula miwili kupitia uchaguzi Mkuu.
Case closed Samia for Presidential 2025-2035.(10 years).
Kasome Katiba ya JMT,Urais wa Samia ungekuwa chini ya miaka 3 basi hicho unachosema kingekuwa ila Kwa kuwa ni miaka 4.5 ni awamu full so imeshaanza.Ninavyoelewa mimi vipindi viwili vya Samia havijaanza.
Anamalizia ngwe ya JPM, Halafu aanze vipindi vyake, hivyo basi 2025 ni kapu la wote, halina mwenyewe,Sanadakalawe mwenye kupata na apate.
Labda ameicha iwe kauli tata kwa makusudiNina wasiwasi na uelewa wako. Kauli kuhusu vipindi viwili vya Urais ni jambo tata ndani ya CCM. Kasema vipindi viwili kwa Rais yupi? Je, yule aliyechaguliwa na wananchi baada ya mchakato ndani ya chama au pia kwa Samia aliyeingia madarakani baada ya Rais aliyepitia huo mchakato kufariki? Usishabikie kama zuzu kabla haujaelewa, hii ni siasa.
Kwa sababu Kuna watu waduanzi walikuwa wanasema ni kapu la woteKwani sio ndio utaratibu rasmi huo? Kwani kuna nini mpaka aseme hivyo?
Katiba inasemaje? Katiba ya Chama na Katiba ya Nchi ipi Ina Nguvu? Niambie Katiba ya Nchi inasemaje?Waafrika huwa wanaunda katiba halafu wanaiacha wanafuata utamaduni... 😂😂😂