Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Mimi ni mtu wa misimamo, Utamaduni wa CCM unajulikana Rais anahudumu awamu 2 nawaambieni Mapema kabisa!

Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Mimi ni mtu wa misimamo, Utamaduni wa CCM unajulikana Rais anahudumu awamu 2 nawaambieni Mapema kabisa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
uzuri wa maisha mambo hujirudia, mlango walioingilia ndio watakao tokea, 2025 tuna raisi mwingine imeshapangwa hivyo na aliyewaweka hapo na ndiye atakayewatoa …
Au siyo? 2025 ni mwakani tuu ,hizi porojo mliamza kuzisema since year 1
 
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa

Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni Mapema kabisa tusije kuzinguana huko mbele ya safari, amesisitiza Dr Nchimbi

Mungu mbariki Dr Nchimbi
Nimemkumbuka ndgu IPYANA MALECELA
RIP
 
Katiba inasemaje? Katiba ya Chama na Katiba ya Nchi ipi Ina Nguvu? Niambie Katiba ya Nchi inasemaje?
Mimi naongelea katiba ya CCM imeruhusu watu kuchukua fomu na kugombea haijalishi kama aliyeko madarakani ni kipindi chake cha kwanza anataka cha pili.
Utamaduni haufuti katiba. Halafu haya masuala ya utamaduni huwa yanatumika kwa lengo la kumfavour aliyeko madarakani na kakundi fulani kenye nguvu. Kama kuna utamaduni ambao wanahisi unawabana huwezi kusikia wanautumia utasikia wanarudi kwenye katiba.
Hivi kwanza swali lako linajaribu kupinga nini eti au limelenga nini hasa? Mimi nilichosema ni kwamba waafrika huwa tunaunda katiba kisha tunaiacha na kufuata utamaduni. Kwani uongo?
 
Hiyo ni kwa Rais aliyechaguliwa, huyu alikuwa kiraka anaemalizia awamu ya pili ya JPM, imetosha
Kwenye karatasi ya kura alikuwepo Magufuli na nani?

Pili wakati Gari ya mkaa inapiga route Moja Garage wiki 2 nani alizunguka Nchi hii nzima kuomba kura?

Tatu Katiba ya Nchi inasema Unamalizia awamu ikiwa ni chini ya miaka mingapi na ni awamu inayojitegemea ikianzia miaka mingapi?

Inawezekana mnajisemesha vitu msivyoelewa ndio maana hii inaitwa awamu ya 6 ikimaanisha hamalizii awamu ya mtu Bali ni full awamu.

Rais akiwa wa kipindi Kimoja ni awamu na kipindi Kimoja kinaanzia miaka 4 kwenda mbele na Kwa kesi ya Samia ni miaka 4.5 maana miezi 6 ya awamu ya pili ndio Mwendazake akiongoza kabla ya kufariki.
 
Mimi naongelea katiba ya CCM imeruhusu watu kuchukua fomu na kugombea haijalishi kama aliyeko madarakani ni kipindi chake cha kwanza anataka cha pili.
Utamaduni haufuti katiba. Halafu haya masuala ya utamaduni huwa yanatumika kwa lengo la kumfavour aliyeko madarakani na kakundi fulani kenye nguvu. Kama kuna utamaduni ambao wanahisi unawabana huwezi kusikia wanautumia utasikia wanarudi kwenye katiba.
Hivi kwanza swali lako linajaribu kupinga nini eti au limelenga nini hasa? Mimi nilichosema ni kwamba waafrika huwa tunaunda katiba kisha tunaiacha na kufuata utamaduni. Kwani uongo?
Na Mimi nakuuliza Katiba ya Nchi inasemaje kuhusu Urais wa Samia? Anamalizia au ni awamu full?

Ukijibu Hilo swali Utajua maana ya Kauli ya Nchimbi.

Ndio yanatumika kumfavour maana ndio utaratibu wa Chama Cha Mapinduzi,hutaki huo utaratibu ni peleka kwenye vikao au hama chama simple tuu mbona.
 
Watu wanadhani ni utani,Rais aliyepo hakuthibitishwa na tume ya uchaguzi,kilichofanyika ni kumrithi mtangulizi wake aliyefariki Dunia.
Katiba ya Nchi inasemaje kuhusu Urais wa Samia?

Kwenye karatasi ya kura alikuwepo Magufuli na nani? Nipe jibu Ili tujue hakuthibitishwa au wewe ndio hujui unachoongea?
 
Kasome Katiba ya JMT,Urais wa Samia ungekuwa chini ya miaka 3 basi hicho unachosema kingekuwa ila Kwa kuwa ni miaka 4.5 ni awamu full so imeshaanza.

Hilo kapu la wote kagombee Chadomo
Awamu inaendana na uchaguzi, Samia ni Rais wa katiba na katiba inazungumzia uchaguzi.
 
Awamu inaendana na uchaguzi, Samia ni Rais wa katiba na katiba inazungumzia uchaguzi.
Kwenye karatasi ya Tume ya Uchaguzi kulikuwa na picha ya Magufuli na wewe?

Pili mambo ya sheria sijui awamu hayatafsiriwi Moja kwa Moja kwa kusoma article moja na kuja na conclusion.

Narudia kukwambia unaelewa Kwa nini inaitwa awamu ya 6? Katiba ya Nchi imekiukwa?
 
Au siyo? Ndio nasema 2025 ni mwakani tuu Wala sio mbali,mda utaamua.

utashangaa sana kitakachotokea, kuna mengi sana hamuyajii inaelekea, watawala wote huwekwa na kutolewa na same power au unafikiri ruto alikuwa na uwezo wa kushinda dynasties za kenya uhuru kenyata na raila odinga? No way ila kuna powerful forces beyond borders ambazo huamua na itakuwa hivyo, na hii ni dunia nzima, 2025 tuna raisi mpya …
 
utashangaa sana kitakachotokea, kuna mengi sana hamuyajii inaelekea, watawala wote huwekwa na kutolewa na same power au unafikiri ruto alikuwa na uwezo wa kushinda dynasties za kenya uhuru kenyata na raila odinga? No way ila kuna powerful forces beyond borders ambazo huamua na itakuwa hivyo …
Kwani hizo dynasties unazijua wewe kushinda Samia na Hawa wanaoyasema haya?

Hakuna Cha kutokea ni porojo tuu za maumivu na kujifariji Kwa makundi yaliyotaka Urais.
 
Kwani hizo dynasties unazijua wewe kushinda Samia na Hawa wanaoyasema haya?

Hakuna Cha kutokea ni porojo tuu za maumivu na kujifariji Kwa makundi yaliyotaka Urais.

hakuna cha makundi wala babake makundi, na makundi hayaamui chochote na raisi wa 2025 hatokani na kundi lolote lile bali imeshapangwa hivyo na wenye power duniani ni kama
Mkataba una muda wake ukiisha umeisha ukileta ubishi kitakachokupata hautaamini …
 
Utajifariji sana ,2025 sio mbali,ni mwakani tuu hapo.
 
Back
Top Bottom