FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hiyo ni kwa Rais aliyechaguliwa, huyu alikuwa kiraka anaemalizia awamu ya pili ya JPM, imetosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au siyo? 2025 ni mwakani tuu ,hizi porojo mliamza kuzisema since year 1uzuri wa maisha mambo hujirudia, mlango walioingilia ndio watakao tokea, 2025 tuna raisi mwingine imeshapangwa hivyo na aliyewaweka hapo na ndiye atakayewatoa …
Nimemkumbuka ndgu IPYANA MALECELAKatibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa
Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni Mapema kabisa tusije kuzinguana huko mbele ya safari, amesisitiza Dr Nchimbi
Mungu mbariki Dr Nchimbi
Au siyo? 2025 ni mwakani tuu ,hizi porojo mliamza kuzisema since year 1
Kabisaaa yaani tukutane 2035 😂😂😂😂
Mimi naongelea katiba ya CCM imeruhusu watu kuchukua fomu na kugombea haijalishi kama aliyeko madarakani ni kipindi chake cha kwanza anataka cha pili.Katiba inasemaje? Katiba ya Chama na Katiba ya Nchi ipi Ina Nguvu? Niambie Katiba ya Nchi inasemaje?
Kwenye karatasi ya kura alikuwepo Magufuli na nani?Hiyo ni kwa Rais aliyechaguliwa, huyu alikuwa kiraka anaemalizia awamu ya pili ya JPM, imetosha
Na Mimi nakuuliza Katiba ya Nchi inasemaje kuhusu Urais wa Samia? Anamalizia au ni awamu full?Mimi naongelea katiba ya CCM imeruhusu watu kuchukua fomu na kugombea haijalishi kama aliyeko madarakani ni kipindi chake cha kwanza anataka cha pili.
Utamaduni haufuti katiba. Halafu haya masuala ya utamaduni huwa yanatumika kwa lengo la kumfavour aliyeko madarakani na kakundi fulani kenye nguvu. Kama kuna utamaduni ambao wanahisi unawabana huwezi kusikia wanautumia utasikia wanarudi kwenye katiba.
Hivi kwanza swali lako linajaribu kupinga nini eti au limelenga nini hasa? Mimi nilichosema ni kwamba waafrika huwa tunaunda katiba kisha tunaiacha na kufuata utamaduni. Kwani uongo?
Katiba ya Nchi inasemaje kuhusu Urais wa Samia?Watu wanadhani ni utani,Rais aliyepo hakuthibitishwa na tume ya uchaguzi,kilichofanyika ni kumrithi mtangulizi wake aliyefariki Dunia.
Au siyo? Ndio nasema 2025 ni mwakani tuu Wala sio mbali,mda utaamua.aliyekupa power ndiye atakayekutoa ni rahisi kihivyo tu …
Awamu inaendana na uchaguzi, Samia ni Rais wa katiba na katiba inazungumzia uchaguzi.Kasome Katiba ya JMT,Urais wa Samia ungekuwa chini ya miaka 3 basi hicho unachosema kingekuwa ila Kwa kuwa ni miaka 4.5 ni awamu full so imeshaanza.
Hilo kapu la wote kagombee Chadomo
Kwenye karatasi ya Tume ya Uchaguzi kulikuwa na picha ya Magufuli na wewe?Awamu inaendana na uchaguzi, Samia ni Rais wa katiba na katiba inazungumzia uchaguzi.
Au siyo? Ndio nasema 2025 ni mwakani tuu Wala sio mbali,mda utaamua.
Kwani hizo dynasties unazijua wewe kushinda Samia na Hawa wanaoyasema haya?utashangaa sana kitakachotokea, kuna mengi sana hamuyajii inaelekea, watawala wote huwekwa na kutolewa na same power au unafikiri ruto alikuwa na uwezo wa kushinda dynasties za kenya uhuru kenyata na raila odinga? No way ila kuna powerful forces beyond borders ambazo huamua na itakuwa hivyo …
2025 mpeleke Samia akagombee urais ZanzibarKwani hizo dynasties unazijua wewe kushinda Samia na Hawa wanaoyasema haya?
Hakuna Cha kutokea ni porojo tuu za maumivu na kujifariji Kwa makundi yaliyotaka Urais.
Kwani hizo dynasties unazijua wewe kushinda Samia na Hawa wanaoyasema haya?
Hakuna Cha kutokea ni porojo tuu za maumivu na kujifariji Kwa makundi yaliyotaka Urais.
Niko paleee nawasubiria2025 mpeleke Samia akagombee urais Zanzibar
Utajifariji sana ,2025 sio mbali,ni mwakani tuu hapo.hakuna cha makundi wala babake makundi, na makundi hayaamui chochote na raisi wa 2025 hatokani na kundi lolote lile bali imeshapangwa hivyo na wenye power duniani ni kama
Mkataba una muda wake ukiisha umeisha ukileta ubishi kitakachokupata hautaamini …