Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
hizo siku 100 ndio zipojeMgombea Mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema iwapo CCM itashinda uchaguzi wa mwezi October, Serikali ya Chama hicho itatenga shilingi Bilioni 200 na kuzitoa kama mikopo ya Vijana na Wajasiriamali Nchini.
Nchimbi amesema sambamba na hilo, pia watarasimisha shughuli za Wajasiriamali wadogo ili kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika uchumi wa Taifa.
Akizungumza akiwa katika mkutano wa kampeni Wilayani Siha, Mkoani Kilimanjaro, Dkt. Nchimbi pia ametangaza mpango wa kuanzisha mfumo wa mawasiliano kati ya Wananchi na Serikali, utakaomwezesha kila Mtanzania kufikisha kero na mahitaji yake moja kwa moja kwa Mamlaka husika.
Makende kabisa, cock sucker, ass hole!Mgombea Mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema iwapo CCM itashinda uchaguzi wa mwezi October, Serikali ya Chama hicho itatenga shilingi Bilioni 200 na kuzitoa kama mikopo ya Vijana na Wajasiriamali Nchini.
Nchimbi amesema sambamba na hilo, pia watarasimisha shughuli za Wajasiriamali wadogo ili kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika uchumi wa Taifa.
Akizungumza akiwa katika mkutano wa kampeni Wilayani Siha, Mkoani Kilimanjaro, Dkt. Nchimbi pia ametangaza mpango wa kuanzisha mfumo wa mawasiliano kati ya Wananchi na Serikali, utakaomwezesha kila Mtanzania kufikisha kero na mahitaji yake moja kwa moja kwa Mamlaka husika.
Na yeye na Bibi Chura tunawapa siku 100 za kwanza kabla hawajaanza kuparurana IkuluMgombea Mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema iwapo CCM itashinda uchaguzi wa mwezi October, Serikali ya Chama hicho itatenga shilingi Bilioni 200 na kuzitoa kama mikopo ya Vijana na Wajasiriamali Nchini.
Nchimbi amesema sambamba na hilo, pia watarasimisha shughuli za Wajasiriamali wadogo ili kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika uchumi wa Taifa.
Akizungumza akiwa katika mkutano wa kampeni Wilayani Siha, Mkoani Kilimanjaro, Dkt. Nchimbi pia ametangaza mpango wa kuanzisha mfumo wa mawasiliano kati ya Wananchi na Serikali, utakaomwezesha kila Mtanzania kufikisha kero na mahitaji yake moja kwa moja kwa Mamlaka husika.
Walinunua Rolls Royce, saa za kifahari na nyingine watoto wakawa wanachezea nyumbani.Hawa wasengee waongo na wapumbavu kabisa.
Badala ya kuzungumzia masuala makubwa ya Kitaifa, wanakuja na sera za kipuuzi puuzi.
Hizo Bilioni 100, walishindwa kuzitoa Ndani ya miaka minne?