Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania.
Ndumbaro ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Mei 20, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara hiyo kwa kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita Jijini Dodoma.
Amesema walichokuwa wanakuja kukifanya hapa nchini ni uvunjifu wa sheria za Tanzania jambo ambalo halikubaliki.
"Kwa uelewa wangu wale hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania, kwa hiyo wanachokuja kukifanya ni uvunjifu wa sheria zetu lakini kwa nini waje kwetu wakati kwao yamewashinda, nyumba yako inawaka moto unataka kuuzima kwa jirani? huu ni unafiki. Na sisi Watanzania hatutaki unafiki, kwenye eneo la haki za binadamu tupo vizuri sana na naungana na Rais Samia kwenye kauli yake ya jana," amesema Ndumbaro.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania.
Ndumbaro ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Mei 20, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara hiyo kwa kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita Jijini Dodoma.
Amesema walichokuwa wanakuja kukifanya hapa nchini ni uvunjifu wa sheria za Tanzania jambo ambalo halikubaliki.
"Kwa uelewa wangu wale hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania, kwa hiyo wanachokuja kukifanya ni uvunjifu wa sheria zetu lakini kwa nini waje kwetu wakati kwao yamewashinda, nyumba yako inawaka moto unataka kuuzima kwa jirani? huu ni unafiki. Na sisi Watanzania hatutaki unafiki, kwenye eneo la haki za binadamu tupo vizuri sana na naungana na Rais Samia kwenye kauli yake ya jana," amesema Ndumbaro.
ndumbalo, wameshindwa nini kwao? au unamfurahisha aliyeyasema, boss wako..Kenya wako vizuri kuliko hapa a milioni timeslakini kwa nini waje kwetu wakati kwao yamewashinda,
Kwa nini waziri wa sheria anajibu suala la kisheria kwa kusema "kwa uelewa wangu...".Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania.
Ndumbaro ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Mei 20, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara hiyo kwa kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita Jijini Dodoma.
Amesema walichokuwa wanakuja kukifanya hapa nchini ni uvunjifu wa sheria za Tanzania jambo ambalo halikubaliki.
"Kwa uelewa wangu wale hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania, kwa hiyo wanachokuja kukifanya ni uvunjifu wa sheria zetu lakini kwa nini waje kwetu wakati kwao yamewashinda, nyumba yako inawaka moto unataka kuuzima kwa jirani? huu ni unafiki. Na sisi Watanzania hatutaki unafiki, kwenye eneo la haki za binadamu tupo vizuri sana na naungana na Rais Samia kwenye kauli yake ya jana," amesema Ndumbaro.
Huyu mzee hana akililabda mimi sielewi saana mambo kwani wale walikuja kufanya uwakili ama kusikiiza tu kesi.
Waziri kaongea kama mfa maji anayetapatapa.labda mimi sielewi saana mambo kwani wale walikuja kufanya uwakili ama kusikiiza tu kesi.
We have so many minerals in our country, but what you presented is an extraordinary mineral, haya ndio madini, stay blessed. Nilijua tu mama amezunguukwa na tabaka la watu wanaomdanganya na huu ni mfano hai. Yeoyote mwenye facts za kwamba Karua alikua anakuja kumwakilisha Lissu Mahakamani aje na ushahidi hapa na sio kuwahadaa watanzania.Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Amejipa kazi ya mahakama, huyu mzee ni mjinga snKwa ni i wqziri wa sheria anajibu suala la kisheria kqa kusema "kwa uelewa wangu...".
Na kama hawana leseni ya kumtetea Tundu Lissu, kwa nin8 nuwazuie kuingia nchibi, kwq nini msiwaachie waingie nchini halafu muwakataze kumtetea Tundu Lissu?
Wapi kina Karua wamesema wanakuja kumtetea Tundu Lissu?
Are our ministers this dumb?
Hahaha ni dokta huyo eti daahHuyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Hawa ndiyo washauri wa maza na kwenye mikataba mikubwa ya rasilimali za nchiHawakuja kumtetea Lissu
Wamekuja kama Observers.
Kusema wamekuja kumtetea Lissu ni kupotosha umma.
Na ndiyo huwa wanatumwa na maza kwenda kuingia mikataba mikubwaHahaha ni dokta huyo eti daah
Wachezaji na makocha wa kigeni huwa wanaingia kwanza nchini then wanafanyiwa utaratibu wa vibali vya kufanya kazi wakiwa tayari Bongo.Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania.