Hii ndio ina dhihirisha wazi pasipo na mashaka kwamba tutumie kichanjio vizuri siku ya uchaguzi.Ndo mana tunapigwa left and right na wakoloni kwa mikataba ya hovyo kwa ajili ya hawa wasomi wetu!
Hii ndio ina dhihirisha wazi pasipo na mashaka kwamba tutumie kichanjio vizuri siku ya uchaguzi.Ndo mana tunapigwa left and right na wakoloni kwa mikataba ya hovyo kwa ajili ya hawa wasomi wetu!
We mngeseHuyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Wewe usichanganye wapigania uhuru na hawa wapigania ushoga, Fala wewe!Upuuzi tupu.
1. Ikiwa Watanzania tuliwasaidia watu wa ANC ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Makaburu kule nchini Afrika Kusini.
2. Ikiwa Watanzania pia tuliwasaidia watu wa ZANU ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wazungu (Waingereza) kule nchini Zimbabwe.
3. Aidha, ikiwa Watanzania vile vile pia tuliwasaidia watu wa FRELIMO ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wareno kule nchini Msumbiji.
Je, ni kwa nini basi majirani zetu wa Kenya au Uganda nao wasiwe na Haki ya kuwasaidia Wananchi wa Tanzania ili waweze kuondokana na Utawala dhalimu na usiitenda Haki wa CCM hapa nchini sawa sawa kabisa na vile ambavyo waTanzania walifanya kwa majirani zao wa Afrika Kusini, Zimbabwe na Msumbiji?
Remember:
"Injustice somewhere is a threat of justice everywhere."
By Martin Luther King Jr.
HAKI haina mipaka, wala Haki haijali mipaka ya nchi.
Good for the Jews is good for the gunners, and bad for the Jews is also bad for the gunners.
Hovyo kabisaNa ni Shemeji yake Jestina Mhagama, na Jokate ni Mtoto wa Dada yake Jestina Mhagama
Na dr raisiYah right. Sawa na Dr. MSUKUMA.
Tumbo mkuu tumbo mkuuDokta wa mavi yake, alivyo mfupi kama kikombe cha kahawa na akili yake ipo hivyo hivyo, hajui anachoongea fala huyo
Huyu waziri ndiye aliyesema kuwa usiposhangilia timu za TZ hatutakuruhusu kuingia uwanjani. Hivi huyu waziri sijui ana akili au matope?Tumbo mkuu tumbo mkuu
Kujikomba atetee ugali wake na sio watanganyikaHuyu waziri ndiye aliyesema kuwa usiposhangilia timu za TZ hatutakuruhusu kuingia uwanjani. Hivi huyu waziri sijui ana akili au matope?
Kilaza wa mama!Dr. ana argue kama kilaza daaah!!!
hayo uliyoandika yote yalifanyika hapa Tz na siyo katika nchi zao za Afrika Kusini, Mozambique, Angola na Zimbabwe.
Na wao wafanyie huko kwao Kenya
tumia akiliWewe
Ati mimi sijui kitu cho chote kile kuhusu ukombozi, haya basi tuwekee hiyo orodha ya hao waliokwenda kupigana vita.Inavyoonekana hujui kitu chochote kile kuhusiana na masuala haya. Completely an ignorant these issues.
Kwa taarifa yako, ninayo orodha ndefu ya Watu (Wanajeshi wastaafu) ambao walihusika moja kwa moja na Operesheni za kuwasaidia majirani zetu hawa katika kupigana Vita na majeshi ya Tawala za kikoloni katika Nchi za Zimbabwe na Msumbiji. Mwl. Nyerere alituma Wanajeshi wa Tz kuungana na Wapigania Uhuru waliikuwa wakiongozwa na Robert Mugabe chini ya ZANU na Samora Machel chini ya FRELIMO. Ila wewe hujui kitu chochote kile kuhusu suala hili.
Aidha, wapo Wanajeshi wengi wa Tz walikufa vitani huko Zimbabwe na Msumbiji kwenye Operesheni za Vita vya Ukombozi wa nchi hizo ili kuwaondoa Watawala dhalimu wa kikoloni