kwani walikuja kufanyia uwakili?Kwa mujibu wa Waziri wa Sheria Dkt Ndumbaro, Utaratibu ni kuwa Ili Wakili/Mwanasheria wa kigeni aweze ku-practise au kumuwakilisha mtu kama Wakili, ni lazima kwanza aombe na kupata kibali Cha Jaji Mkuu.
Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya mawakili sura 341.
Hili lipo hata hapo Zanzibar. Wakili wa Tanzania Bara hawezi kufanya kazi ya uwakili Zanzibar bila kibali Cha Jaji Mkuu Zanzibar.
Waziri amehoji, Hao wanasheria kwao kunawaka moto, ndio waje wasaidie watanzania kuzima wa kwao? Huu ni unafki
Hicho kiwaziri ni mojawapo ya wale mawaziri wa hovyo sana kama yule mwenzake wa mambo ya ndani ambaye kwa sasa anaongoza kwa mambo ya hovyo kuwatuma Polisiccm kuwabambikia kesi wapinzaniWapumbafu wakipewa vyeo nchi huomboleza
Kweli kabisa mkuuKujipendekeza kwingi sana
HATA KAMA MTU HAJUI KUSOMA AMEELEWA🙌🏾Upuuzi tupu.
1. Ikiwa Watanzania tuliwasaidia watu wa ANC ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Makaburu kule nchini Afrika Kusini.
2. Ikiwa Watanzania pia tuliwasaidia watu wa ZANU ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wazungu (Waingereza) kule nchini Zimbabwe.
3. Aidha, ikiwa Watanzania vile vile pia tuliwasaidia watu wa FRELIMO ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wareno kule nchini Msumbiji.
Je, ni kwa nini basi majirani zetu wa Kenya au Uganda nao wasiwe na Haki ya kuwasaidia Wananchi wa Tanzania ili waweze kuondokana na Utawala dhalimu na usiitenda Haki wa CCM hapa nchini sawa sawa kabisa na vile ambavyo waTanzania walifanya kwa majirani zao wa Afrika Kusini, Zimbabwe na Msumbiji?
Remember:
"Injustice somewhere is a threat of justice everywhere."
By Martin Luther King Jr.
HAKI haina mipaka, wala Haki haijali mipaka ya nchi.
Good for the Jews is good for the gunners, and bad for the Jews is also bad for the gunners.
Hivi ukiwa ccm, uwezo wa kufikiri huwa unaharibiwa? Maana warusi walikuwa wanaharibu wasomi wetu enzi hizo.Bora wanyamaze kimya, rais kajibu na waziri anakuja kujibu, hii imekaaje?
Kweli kabisa, taifa limebaki la kujikomba komba kujipendekezaHivi ukiwa ccm, uwezo wa kufikiri huwa unaharibiwa? Maana warusi walikuwa wanaharibu wasomi wetu enzi hizo.
Yaani inashangaza kuona mtu mzima kabisa tena eti Dr. unaongea vitu vya aibu namna ile..Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Na huyu ni Dr!Kwa nini waziri wa sheria anajibu suala la kisheria kwa kusema "kwa uelewa wangu...".
Na kama hawana leseni ya kumtetea Tundu Lissu, kwa nini muwazuie kuingia nchini, kwa nini msiwaachie waingie nchini halafu muwakataze kumtetea Tundu Lissu?
Wapi kina Karua wamesema wanakuja kumtetea Tundu Lissu?
Are our ministers this dumb?
Na kweli huyu ni kiazi Tena mbatata!Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Hakuna rocket science hapoHuyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Pascal Mayalla ukiona mtu anaitwa profesa Tanzania kimbia umuache maana elimu yake na uwezo wake wakufikiri ni vitu 2 tofautiMmh🤔🤔🤔, hawa ndiyo CCM sasa, walioshiwa pumzi kabisa...
Tunasema mara kwa mara kuwa, hii serikali chini ya CCM ya Chura Kiziwi inakabiliwa na tatizo kubwa la kisaikolijia linaloitwa low self-esteem linalozaa tatizo jingine la fear of unknown...
Just see here, iwapo tu ulichokiripoti hapa ni sahihi
Kwamba, hapa Waziri haeleweki anatoa sababu gani specific...
1. Je, hawakuwa na leseni za uwakili
au2. Walikuja kuleta vurugu na uvunjifu wa amani...?
Kama hiyo 👆👆👆ni sababu, how exactly ilikuwa walete vurugu na uvunjivu wa amani...?
Watu hawa (serikali & CCM) wana hofu/woga ambao hata wao wakiulizwa mnaogopa nini hasa, obvious hawawezi kueleza au kuwa na majibu sahihi ya kumwambia mtu timamu akawaelewa..!
Watu wanaokabiliwa na tatizo la fear of unknown, humwona kila mtu anayekatiza mbele yao ni adui anataka kuwadhuru au kutwaa utawala wao...!
Hii ni hatari sana, kwani, watu wenye tatizo hili huishia kufanya maamuzi ya hovyo na yenye madhara kwao wenyewe na kwa wengine pia...
Mathalani;
#Sina hakika kama Martha Karua na wenzake walikuja kama "mawakili wa Tundu Lissu"
#Tunachofahamu Martha Karua na wenzake kama wanachama wa East Africa Law Society, walikuja kufuatilia kesi ya mwanachama mwenzao Tundu Lissu..
#Labda, wanahofia kilichotokea Kenya mwaka Jana huko Kenya na kutaka kuiangusha serikali ya William Ruto...
Si Rais aliwaambia wajibu wasikae kimya. Matokeo yake ndio hayo sasa tunasikia utimboBora wanyamaze kimya, rais kajibu na waziri anakuja kujibu, hii imekaaje?
Kichwa chake tu kilivyo unajua tu hapa ni 0....🤣Upuuzi tupu.
1. Ikiwa Watanzania tuliwasaidia watu wa ANC ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Makaburu kule nchini Afrika Kusini.
2. Ikiwa Watanzania pia tuliwasaidia watu wa ZANU ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wazungu (Waingereza) kule nchini Zimbabwe.
3. Aidha, ikiwa Watanzania vile vile pia tuliwasaidia watu wa FRELIMO ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wareno kule nchini Msumbiji.
Je, ni kwa nini basi majirani zetu wa Kenya au Uganda nao wasiwe na Haki ya kuwasaidia Wananchi wa Tanzania ili waweze kuondokana na Utawala dhalimu na usiitenda Haki wa CCM hapa nchini sawa sawa kabisa na vile ambavyo waTanzania walifanya kwa majirani zao wa Afrika Kusini, Zimbabwe na Msumbiji?
Remember:
"Injustice somewhere is a threat of justice everywhere."
By Martin Luther King Jr.
HAKI haina mipaka, wala Haki haijali mipaka ya nchi.
Good for the Jews is good for the gunners, and bad for the Jews is also bad for the gunners.
Watu wa namna hii ni rahis sana kudhuru watu na kudhulumu uhai....kwa sababu wao kila asiyekuwa sambamba nao wanamuona ni threat......yaan bora anyamaze....wanamuingiza mama chaka na mwisho wataaribu tz hvhvMmh🤔🤔🤔, hawa ndiyo CCM sasa, walioshiwa pumzi kabisa...
Tunasema mara kwa mara kuwa, hii serikali chini ya CCM ya Chura Kiziwi inakabiliwa na tatizo kubwa la kisaikolijia linaloitwa low self-esteem linalozaa tatizo jingine la fear of unknown...
Just see here, iwapo tu ulichokiripoti hapa ni sahihi
Kwamba, hapa Waziri haeleweki anatoa sababu gani specific...
1. Je, hawakuwa na leseni za uwakili
au2. Walikuja kuleta vurugu na uvunjifu wa amani...?
Kama hiyo 👆👆👆ni sababu, how exactly ilikuwa walete vurugu na uvunjivu wa amani...?
Watu hawa (serikali & CCM) wana hofu/woga ambao hata wao wakiulizwa mnaogopa nini hasa, obvious hawawezi kueleza au kuwa na majibu sahihi ya kumwambia mtu timamu akawaelewa..!
Watu wanaokabiliwa na tatizo la fear of unknown, humwona kila mtu anayekatiza mbele yao ni adui anataka kuwadhuru au kutwaa utawala wao...!
Hii ni hatari sana, kwani, watu wenye tatizo hili huishia kufanya maamuzi ya hovyo na yenye madhara kwao wenyewe na kwa wengine pia...
Mathalani;
#Sina hakika kama Martha Karua na wenzake walikuja kama "mawakili wa Tundu Lissu"
#Tunachofahamu Martha Karua na wenzake kama wanachama wa East Africa Law Society, walikuja kufuatilia kesi ya mwanachama mwenzao Tundu Lissu..
#Labda, wanahofia kilichotokea Kenya mwaka Jana huko Kenya na kutaka kuiangusha serikali ya William Ruto...
Wewealiyemwambia martha karua kaja kumtetea lisu mahakamani ni nani?
Kujidanganya danganya tuWaziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania.
Ndumbaro ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Mei 20, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara hiyo kwa kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita Jijini Dodoma.
Amesema walichokuwa wanakuja kukifanya hapa nchini ni uvunjifu wa sheria za Tanzania jambo ambalo halikubaliki.
"Kwa uelewa wangu wale hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania, kwa hiyo wanachokuja kukifanya ni uvunjifu wa sheria zetu lakini kwa nini waje kwetu wakati kwao yamewashinda, nyumba yako inawaka moto unataka kuuzima kwa jirani? huu ni unafiki. Na sisi Watanzania hatutaki unafiki, kwenye eneo la haki za binadamu tupo vizuri sana na naungana na Rais Samia kwenye kauli yake ya jana," amesema Ndumbaro.