PreGE2025 Dkt. Ndumbaro ataja sababu kuzuiwa kwa Martha Karua kutoka Kenya, na wenzake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania.

Ndumbaro ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Mei 20, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara hiyo kwa kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita Jijini Dodoma.

Amesema walichokuwa wanakuja kukifanya hapa nchini ni uvunjifu wa sheria za Tanzania jambo ambalo halikubaliki.

"Kwa uelewa wangu wale hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania, kwa hiyo wanachokuja kukifanya ni uvunjifu wa sheria zetu lakini kwa nini waje kwetu wakati kwao yamewashinda, nyumba yako inawaka moto unataka kuuzima kwa jirani? huu ni unafiki. Na sisi Watanzania hatutaki unafiki, kwenye eneo la haki za binadamu tupo vizuri sana na naungana na Rais Samia kwenye kauli yake ya jana," amesema Ndumbaro.

Kumbe amekubali hata huku kwetu kuna Moto kwanini wakenya wanakimbilia kuuzima wakwetu..
 
Tukisema Tanzania inaongozwa na viazi muwe mnaelewa. Hivi Daktari akitoka Uganda kuja kumsalimia rafiki yake aliyelazwa Muhimbili mtamzuia Kwa sababu Hana leseni ya Udaktari wa Tanzania?
 
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania.

Ndumbaro ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Mei 20, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara hiyo kwa kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita Jijini Dodoma.

Amesema walichokuwa wanakuja kukifanya hapa nchini ni uvunjifu wa sheria za Tanzania jambo ambalo halikubaliki.

"Kwa uelewa wangu wale hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania, kwa hiyo wanachokuja kukifanya ni uvunjifu wa sheria zetu lakini kwa nini waje kwetu wakati kwao yamewashinda, nyumba yako inawaka moto unataka kuuzima kwa jirani? huu ni unafiki. Na sisi Watanzania hatutaki unafiki, kwenye eneo la haki za binadamu tupo vizuri sana na naungana na Rais Samia kwenye kauli yake ya jana," amesema Ndumbaro.

Bora hata wasingejieleza
 
Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Inategemea uwanjani walisema wanakula kufanya nini
 
Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Mwambaaa umenifurahisha jamaa pimbi kabisa..nimemsikia nikajua kuna pimbi nyingi hapa nchini.
 
Mpuuzi kabisa huyu, ni aibu hata kuwa waziri hafai.

Martha Karua ni nchi moja tu ndio aliomba temporary practicing licence kwenye kesi ya Besigye pekeyake na sababu ya kwenda kumpambania ni kutokana na kumualika kwenye uzinduzi wa kitabu chake na akatekwa na wahuni wa Uganda na kupewa kesi ya uhaini na umiliki wa silaha kinyume na sheria.

Martha Karua hakuja kupractice kama wakili kwenye kesi ya Lissu bali kama muangalizi na member wa EALS na si vinginevyo pale airport mtu anakaguliwa walimkuta na silaha au kifaa chochote hatarishi jibu ni hapana tulijua tu wangemletea mizengwe maana baada ya mara ya kwanza alipokuja na kutoa maoni wasiyotaka kuyasikia walimtuma Wasira amjibu kwa kebehi.

Ndumbaro aache kutuona wote wajinga na ndio mambo kama haya leo mitandao inadukuliwa msemaji mkuu wa serikali anatudanganya kuwa ni watu walifungua page zinazofanana majina na page za serikali.

TRA pekeyao walau wamekua na weledi kwa kupandisha post kuelezea ukweli ila naona wamepigwa mkwara mzito na ile post imefutwa.

Huu ni wakati wa digital wajinga wa 1970 wamepungua kwa 95% Ndumbaro rudi kwenye mstari ujue watu unaowaambia hayo mambo wana ufahamu na uwezo wa kutafuta taarifa katika vyanzo vingi.

Ukweli ni huu Martha Karua hakuomba kupractice mahakamani katika kesi ya Lissu na hao uhamiaji sio kazi yao kushughulika na hayo mambo ya licence , hata leo kaenda Uganda sababu kule anayo temporary practicing licence aliyopewa January mwaka huu.

Upuuzi tupu.

1. Ikiwa Watanzania tuliwasaidia watu wa ANC ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Makaburu kule nchini Afrika Kusini.
2. Ikiwa Watanzania pia tuliwasaidia watu wa ZANU ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wazungu (Waingereza) kule nchini Zimbabwe.
3. Aidha, ikiwa Watanzania vile vile pia tuliwasaidia watu wa FRELIMO ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wareno kule nchini Msumbiji.

Je, ni kwa nini basi majirani zetu wa Kenya au Uganda nao wasiwe na Haki ya kuwasaidia Wananchi wa Tanzania ili waweze kuondokana na Utawala dhalimu na usiitenda Haki wa CCM hapa nchini sawa sawa kabisa na vile ambavyo waTanzania walifanya kwa majirani zao wa Afrika Kusini, Zimbabwe na Msumbiji?

Remember:
"Injustice somewhere is a threat of justice everywhere."
By Martin Luther King Jr.

HAKI haina mipaka, wala Haki haijali mipaka ya nchi.

Good for the Jews is good for the gunners, and bad for the Jews is also bad for the gunners.
Tofautisha,.

Tanzania ilisaidia vyama hivyo kama serikal

Hayo mapoyoyo menzako ya kenya ambayo hayajatumwa na serikal yao yamekuja kusiidia sisimizi mmoja mtukutu sio ya serikal.

Uwe na akili nyepesi kuelewa au we mzee.....?????
 
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania.

Ndumbaro ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Mei 20, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara hiyo kwa kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita Jijini Dodoma.

Amesema walichokuwa wanakuja kukifanya hapa nchini ni uvunjifu wa sheria za Tanzania jambo ambalo halikubaliki.

"Kwa uelewa wangu wale hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania, kwa hiyo wanachokuja kukifanya ni uvunjifu wa sheria zetu lakini kwa nini waje kwetu wakati kwao yamewashinda, nyumba yako inawaka moto unataka kuuzima kwa jirani? huu ni unafiki. Na sisi Watanzania hatutaki unafiki, kwenye eneo la haki za binadamu tupo vizuri sana na naungana na Rais Samia kwenye kauli yake ya jana," amesema Ndumbaro.

Duh. Huyu waziri mbona kiazi sana. Kwahiyo uhamiaji na mapolisi uchwara kazi yao ni kukagua leseni ya uwakili?
 
Ni kwanini mara nyingi kila rais amalizapo kuzungumza mbele ya Umma watu hawa uja na kumafanya marejeo na ufafanuzi, ninkwamba rais hajitosherezi kujieleze au niaje?
 
I caught that one, too.

Halafu kasema mwenyewe kitaaluma ni mwanasheria.

Inakufanya mtu ujiulize baadhi ya hawa watu walifikaje chuo kikuu na waliwezaje kufaulu huko chuoni.
Alafu imagine huyo ni Daktari wa Philosophia kwenye Sheria??

Hii nchi acha tu tuendelee kuwa masikini kama hawa ndo Viongozi wetu.
 
Back
Top Bottom