PreGE2025 Dkt. Ndumbaro ataja sababu kuzuiwa kwa Martha Karua kutoka Kenya, na wenzake

PreGE2025 Dkt. Ndumbaro ataja sababu kuzuiwa kwa Martha Karua kutoka Kenya, na wenzake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu jirani angu, Taaluma ya sheria alisoma chuo gani? Na amesoma had level ipi?
Mbna anaongea vitu ambavyo havipo kabisaa. Lol
 
Katika majitu yasiyoeleweka hapa nchini halafu yapoyapo kwenye maamuzi ya nchi hii ni Ndumbaro na SSH. Yani hapo linajiona limeongea point ya level ya juu ya serikali. Kenya wakiwaita mbwa Koko mnakuja juu sasa hapa kwanini nisikuite msengelema mkubwa we Ndumbaro. Karua alikuja kufanya uwakili hapa Tanzania? Mbwa kweli wewe
 
Ukiona hivyo ujue hana akili kabisa

Wale ni wanachama wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki.

Hawakuwa hapa kufanya kazi ya Uwakili , walikuwa hapa kama Wanasheria ku observe shauri la Mwanachama wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki.

Ndumbaro ana shida sana kichwani kwake.
Aitwe Ndumbaro Ngumbaru.
 
labda mimi sielewi saana mambo kwani wale walikuja kufanya uwakili ama kusikiiza tu kesi.
Kwa nature ya kesi yenyewe kuelewa hutaweza .Binafsi hata Mimi sielewi kosala Lisu nini . uchunguzi upi haujakamilika, Ile video si wanayo sasa kwanini hawatumii Kama ushaidi?

URAIS anautaka Ila kushindanishwa na wengine ndo hataki ndani ya chama chake Tu kapita Kwa azimio na GE anataka apite kirahisiii
 
Kwa nini waziri wa sheria anajibu suala la kisheria kwa kusema "kwa uelewa wangu...".

Na kama hawana leseni ya kumtetea Tundu Lissu, kwa nini muwazuie kuingia nchini, kwa nini msiwaachie waingie nchini halafu muwakataze kumtetea Tundu Lissu?

Wapi kina Karua wamesema wanakuja kumtetea Tundu Lissu?

Are our ministers this dumb?
Soma hapa ndio uone matatizo yalipoanzia.

Ndio maana huwa siamini kuna kitu kinaitwa vetting Tanzania.

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania.

Ndumbaro ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Mei 20, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara hiyo kwa kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita Jijini Dodoma.

Amesema walichokuwa wanakuja kukifanya hapa nchini ni uvunjifu wa sheria za Tanzania jambo ambalo halikubaliki.

"Kwa uelewa wangu wale hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania, kwa hiyo wanachokuja kukifanya ni uvunjifu wa sheria zetu lakini kwa nini waje kwetu wakati kwao yamewashinda, nyumba yako inawaka moto unataka kuuzima kwa jirani? huu ni unafiki. Na sisi Watanzania hatutaki unafiki, kwenye eneo la haki za binadamu tupo vizuri sana na naungana na Rais Samia kwenye kauli yake ya jana," amesema Ndumbaro.

Kwani wangeachwa wakaingia na kukataliwa Mahakamani kulikuwa na tatizo gani, na hiyo kama nchi tunge pata Fedha za Malazi na chakula watakacho lipia hotelini na pia kuendeleza uhusiano mzuri na nchi Jirani. Tatu kulikuwa na Kauli ya Kwamba vyombo vya Ulinzi na usalama visi waachie watu walete uvunjifu wa Amani , sasa hapa kipi ni kipi
 
Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.

Na huyo ni waziri wetu wa katiba na sheria.
 
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania.

Ndumbaro ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Mei 20, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara hiyo kwa kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita Jijini Dodoma.

Amesema walichokuwa wanakuja kukifanya hapa nchini ni uvunjifu wa sheria za Tanzania jambo ambalo halikubaliki.

"Kwa uelewa wangu wale hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania, kwa hiyo wanachokuja kukifanya ni uvunjifu wa sheria zetu lakini kwa nini waje kwetu wakati kwao yamewashinda, nyumba yako inawaka moto unataka kuuzima kwa jirani? huu ni unafiki. Na sisi Watanzania hatutaki unafiki, kwenye eneo la haki za binadamu tupo vizuri sana na naungana na Rais Samia kwenye kauli yake ya jana," amesema Ndumbaro.

Sasa huyu ndio waziri kweli? Wale nani alisema wanakuja kumtetea TAL ? Observer ni mtetezi kweli? Hivi mashabiki wa kutoka kenya wakija kuangalia Derby ya watani watakua wametemda kosa gani? Hivi raia wakigeni akija kutazama maonesho ya sabasaba au nanenane atakua ametenda kosa gani? Kama tunakua na mawaziri wa hivi hakika hawa ndio maadui namba moja wa muheshimiwa rais wanamuharibia big time kwa ushauri wao
 
Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Anafikiria watu wote hawana uadilifu na uelewa kama yeye
 
Kwa sababu kasema hili linatokana na uelewa wake basi sawa!
Huyo ndio waziri wa katiba na sheria Tanzania 🇹🇿...
Poleni Watanzania.
Ila wakati mwingine kukaa kimya inasaidia sana....
 
Majibu yake yanachekesha Sana kiukweli inafikirisha Sana uwezo wa viongozi wetu.
 
Hivi ndo huyu akisema watz tujifinze katiba mpaka 3 ndo ibadishwe?
 
Tuna viongozi wa ajabu sana saaana labda ndomana kuna elimu inaitwa elimu ya ndumbaro... Huyu udokta aliusomea wapi?
Hawa ndiyo wameagizwa wawe wanajibu? Bora waagizwe wawe wanakaa kimya watatudhalilisha mmno tena kimataifa! Tutaonekana elimu yetu nibuure maana daktari anajibu kama std 7!
Mwanasheria unaongea ujinga mkubwa hivi Sasa wasojua Sheria watasema Nini??
Aibu sana hii Ccm dooh!!!
 
Back
Top Bottom