Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Kumbe ujui kua wakili anaweza kuongezwa hapo hapo mahakamani? Hivi mlisomea ujinga eti..Katika orodha ya mawakili wa Lissu,nani anatokea Kenya?

Nani ameongezwa?Wewe ndiye punda.Unajiwazia tu kitu ambacho hakijatokea?Kumbe ujui kua wakili anaweza kuongezwa hapo hapo mahakamani? Hivi mlisomea ujinga eti..
Kwahiyo anaweza kuongezwa wakili asiye na kibali cha kufanya hiyo kazi nchini!? Punguzeni hofu na kutojiamini.Kumbe ujui kua wakili anaweza kuongezwa hapo hapo mahakamani? Hivi mlisomea ujinga eti..
KhaaaaaWaziri amehoji, Hao wanasheria kwao kunawaka moto, ndio waje wasaidie watanzania kuzima wa kwao? Huu ni unafki
Huyu ndiye Waziri wa Sheria?Kwa mujibu wa Waziri wa Sheria Dkt Ndumbaro, Utaratibu ni kuwa Ili Wakili/Mwanasheria wa kigeni aweze ku-practise au kumuwakilisha mtu kama Wakili, ni lazima kwanza aombe na kupata kibali Cha Jaji Mkuu.
Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya mawakili sura 341.
Hili lipo hata hapo Zanzibar. Wakili wa Tanzania Bara hawezi kufanya kazi ya uwakili Zanzibar bila kibali Cha Jaji Mkuu Zanzibar.
Waziri amehoji, Hao wanasheria kwao kunawaka moto, ndio waje wasaidie watanzania kuzima wa kwao? Huu ni unafki
Umepewa skript na wewe ulivyo juha umeileta bila kusoma, ona sasa AIBU unayopata hapa🤣Kwa mujibu wa Waziri wa Sheria Dkt Ndumbaro, Utaratibu ni kuwa Ili Wakili/Mwanasheria wa kigeni aweze ku-practise au kumuwakilisha mtu kama Wakili, ni lazima kwanza aombe na kupata kibali Cha Jaji Mkuu.
Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya mawakili sura 341.
Hili lipo hata hapo Zanzibar. Wakili wa Tanzania Bara hawezi kufanya kazi ya uwakili Zanzibar bila kibali Cha Jaji Mkuu Zanzibar.
Waziri amehoji, Hao wanasheria kwao kunawaka moto, ndio waje wasaidie watanzania kuzima wa kwao? Huu ni unafki
Kwa mujibu wa Waziri wa Sheria Dkt Ndumbaro, Utaratibu ni kuwa Ili Wakili/Mwanasheria wa kigeni aweze ku-practise au kumuwakilisha mtu kama Wakili, ni lazima kwanza aombe na kupata kibali Cha Jaji Mkuu.
Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya mawakili sura 341.
Hili lipo hata hapo Zanzibar. Wakili wa Tanzania Bara hawezi kufanya kazi ya uwakili Zanzibar bila kibali Cha Jaji Mkuu Zanzibar.
Waziri amehoji, Hao wanasheria kwao kunawaka moto, ndio waje wasaidie watanzania kuzima wa kwao? Huu ni unafki
🚮Kwa mujibu wa Waziri wa Sheria Dkt Ndumbaro, Utaratibu ni kuwa Ili Wakili/Mwanasheria wa kigeni aweze ku-practise au kumuwakilisha mtu kama Wakili, ni lazima kwanza aombe na kupata kibali Cha Jaji Mkuu.
Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya mawakili sura 341.
Hili lipo hata hapo Zanzibar. Wakili wa Tanzania Bara hawezi kufanya kazi ya uwakili Zanzibar bila kibali Cha Jaji Mkuu Zanzibar.
Waziri amehoji, Hao wanasheria kwao kunawaka moto, ndio waje wasaidie watanzania kuzima wa kwao? Huu ni unafki
Wapumbafu wakipewa vyeo nchi huomboleza
Daah! Aibu naona mm.We wacha tu. Imagine top four ya nchi ndiyo hii;
Rais: Form four, Katibu Masijara
Makamu PhD
Waziri Mkuu. Form four, Nwalimu Grade A.
Naibu Waziri Mkuu, Form four, Mwalimu Grade A.
No wonder Makamu ametoswa.
Procedures za Mhimili wa Mahakama zinawahusu nini watu wa Executive Branch?Kwa mujibu wa Waziri wa Sheria Dkt Ndumbaro, Utaratibu ni kuwa Ili Wakili/Mwanasheria wa kigeni aweze ku-practise au kumuwakilisha mtu kama Wakili, ni lazima kwanza aombe na kupata kibali Cha Jaji Mkuu.
Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya mawakili sura 341.
Hili lipo hata hapo Zanzibar. Wakili wa Tanzania Bara hawezi kufanya kazi ya uwakili Zanzibar bila kibali Cha Jaji Mkuu Zanzibar.
Waziri amehoji, Hao wanasheria kwao kunawaka moto, ndio waje wasaidie watanzania kuzima wa kwao? Huu ni unafki
Hako kawaziri kana ushetani mwingi sana, kuwazuia watu wakiokuja kama watazamaji na wasikilizaji tu ni aina fulani ya ushamba ujinga na mambo ya hovyo sanaKwa mujibu wa Waziri wa Sheria Dkt Ndumbaro, Utaratibu ni kuwa Ili Wakili/Mwanasheria wa kigeni aweze ku-practise au kumuwakilisha mtu kama Wakili, ni lazima kwanza aombe na kupata kibali Cha Jaji Mkuu.
Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya mawakili sura 341.
Hili lipo hata hapo Zanzibar. Wakili wa Tanzania Bara hawezi kufanya kazi ya uwakili Zanzibar bila kibali Cha Jaji Mkuu Zanzibar.
Waziri amehoji, Hao wanasheria kwao kunawaka moto, ndio waje wasaidie watanzania kuzima wa kwao? Huu ni unafki
Muambie, “Enzi zetu wachawi walikuwa wengi—tulirogwa!”😁Daah! Aibu naona mm.
Nikija kupata mjukuu halafu akaniuliza kuwa "babu ilikuwaje mkaongozwa na vilaza"? Sijui nitajibu nini.