Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

Mwendazake alikuwa anaipenda kufanya kazi na majitu mapopoma kama huyu Damas Ndumbaro. Mungu anisamehe sijawahi kushawishika kuwa Ndumbaro ni PhD holder kutokana na matamshi yake. Kumbuka aliposema Chato ni Kitovu cha Utalii wa lake zone.

Kama kuna reshuffle Rais SSH atafanya kabla 2025 haiwezi kumuacha Ndumbaro na Mwigulu salama. Mark this post
 
Wafanye jambo la kushangaza mara ngapi ?
1. Wewe hujashangaa professor mwenye GPA ya 4.8 kuita chuo kikuu jalala ?

2. Wewe hukushangaa Dk wa sheria kutaka mtu asifunge ndoa bila cheti cha kuzaliwa.

3. Wewe hushangai Dk wa Sayansi ya siasa kusema atatumia dola kubaki madarakani na kusababisha maafa na vilema kwa watu wengi tu.

4. Wewe hushangai Dk wa uchumi kupandisha kodi ya mafuta halafu akashusha kodi kwenye bia kisa anataka kuboresha barabara za vijijini ?

5. Wewe hukushangaa Dk Kigwangalla a professional MD kuwa na msimamo A dhidi ya corona juu ya utawala wa jiwe na kuwa na msimamo B kwenye utawala wa sasa ?

6. Wewe hukushangaa Muhimbili kujenga banda la kujifukiza chini ya utawala uliopita baada ya hapo waliokwenda kujifukiza hapo wakiwemo wataalamu wa Afya kutaka livunjwe tupate chanjo ??

Kuna mengi ya kushangaza ila huwa hatutaki kushangaa tu yawezekana tumeshachoka kushangaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umeua

Hofu yangu mmoja wao anaweza akawa prezidaa Kama Dr stone halafu akauza nchi kabisa

Hivi yule wazir wa elimu wa Tanzania lakn n mkenya kiasili ambaye alifuta michezo mashuleni na kuunganisha masomo hivyohovyo alikuwa anaitwa Nani vile?

Nchi hii hata waziri anaweza akashauri tule mavi na mamlaka zikaafki tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu ni mwendelezo wa chuki dhidi ya watu wa Kaskazini. Mi nashauri hata na Mlima Kilimanjaro ahamishie Songea kama itawasaidia kuwa karibu na watalii toka Malawi na Mozambique
chuo kujengwa Moshi lilikua kosa. Misitu iko Iringa chuo Moshi. Mi naona Mhe analekebisha makosa. Ili kurahisisha ujifunzaji.
 
Angeulizwa inakuwaje sugar research institute iko Kibaha badala ya mtibwa au kilombero kunakolimwa miwa.

au kwa nini taasisi ya utafiti wa mpunga/ubwabwa iko bagamoyo badala ya mbarali
 
chuo kujengwa Moshi lilikua kosa. Misitu iko Iringa chuo Moshi. Mi naona Mhe analekebisha makosa. Ili kurahisisha ujifunzaji.
Ni ujinga kufanya vitu eti kurahisisha ufundishaji sikuhizi sikuna maabara za kisasa kabisa kujifunza hata agriculture sio lazima uende kwenye majaruba ya mpunga. Hafu nchi hii kila mkoa una hifadhi zake za misitu, hebu acheni ujinga na mentality za hovyo Tena ni Bora hivo vyuo vijengwe kila Kanda na sio excuse eti hamna msitu, hivi unajua Kuna msitu wa hifadhi ya Kilimanjaro?
 
Kumbuka hata Mary Mwanjelwa alikuwa PHD holder akapigwa swali gumu sana.
Huyo Mary mwanjela sio alikuwa MD kweli?
Ka alishindwa swali rahisi basi chuoni alikuwa bingwa wa kudesa
 
Ni ujinga kufanya vitu eti kurahisisha ufundishaji sikuhizi sikuna maabara za kisasa kabisa kujifunza hata agriculture sio lazima uende kwenye majaruba ya mpunga. Hafu nchi hii kila mkoa una hifadhi zake za misitu, hebu acheni ujinga na mentality za hovyo Tena ni Bora hivo vyuo vijengwe kila Kanda na sio excuse eti hamna msitu, hivi unajua Kuna msitu wa hifadhi ya Kilimanjaro?
Hujui lolote. Hifadhi ya Mt Kilimanjaro hakuvunwi miti wewe. Miti kwa wingi inavunnwa Njombe naTabora huko ndiko chuo hupaswa kuwepo. Mangi usipende kufaidi kwa mitelemko
 
chuo kujengwa Moshi lilikua kosa. Misitu iko Iringa chuo Moshi. Mi naona Mhe analekebisha makosa. Ili kurahisisha ujifunzaji.
chuo cha utafiti wa sukari kiko kibaha na si mtibwa wala kilombero. Na hata cha utafiti wa mpunga/ubwabwa kiko bagamoyo siyo mbarali kunakolimwa sana mpunga.
 
Hoja hii inataka kutuaminisha mafunzo kwa vitendo hayawezekani hadi chuo kihamie Mafinga. Je, vyuo vya madini viko migodini? (mfano Cho cha Madini Dodoma). Taaluma ya mafuta na gesi, vyuo viko bahari kuu? Taasisi ya Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP- Dodoma) iko Vijijini? Vyuo vya Mafunzo ya Fedha vingapi viko benki? Taasisi ya FITI kuwa Moshi tatizo nini hadi ihamishwe?
Mwanangu wewe kabishi ni hatari! Akipangua hizi hoja nitajua Ndumbaro ni mwanaume!😁😁😂😂
 
Back
Top Bottom