Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

Hujui lolote. Hifadhi ya Mt Kilimanjaro hakuvunwi miti wewe. Miti kwa wingi inavunnwa Njombe naTabora huko ndiko chuo hupaswa kuwepo. Mangi usipende kufaidi kwa mitelemko
Wewe waijua tabora kweli, kwahyo chuo Cha madini kitolewe Dodoma kipelekwe Geita sio?
Justification yako ya hovyo kuliko ime base kwa ubinafsi tu ka jiwe mjenga airport maporini
 
chuo cha utafiti wa sukari kiko kibaha na si mtibwa wala kilombero. Na hata cha utafiti wa mpunga/ubwabwa kiko bagamoyo siyo mbarali kunakolimwa sana mpunga.
Maelezo yamejitosheleza
 
Huu ni mwendelezo wa chuki dhidi ya watu wa Kaskazini. Mi nashauri hata na Mlima Kilimanjaro ahamishie Songea kama itawasaidia kuwa karibu na watalii toka Malawi na Mozambique
Hakuna chuki sema unajeraha tayari ndo mana
 
Nimeelewa vyema aya ya pili toka mwisho, na no itekelezwe
Ila utangulizi ni mbovu, upo kikabila na chuki
 
Wizara ya maliasili na utalii ni wizara yenye viongozi wanaokurupuka sana.Shule za hao viongozi haijawai kuisaidia hiyo wizara.Sasa hebu ona wazo la ovyo kama hilo.Badala wawaze kupanua wigo wa chuo sehemu nyingi zaidi wao wanawaza kuhamisha chuo.bure kabisa.Tena kama huyo waziri hamna kitu hapo.
 
Sio tuu kuhamia Iringa bali Ihamie Njombe au Mafinga..huko uchagani hakuna misitu yoyote usitupigie makelele hapa
Kwahiyo na vyuo vya wanyamapori kama pasiansi na mweka vilivyoko chini ya hiyo wizara vihamie serengeti.Punguza uzwazwa.Msitu unaweza kuanzishwa popote penye ardhi.
 
Mkuu umeua

Hofu yangu mmoja wao anaweza akawa prezidaa Kama Dr stone halafu akauza nchi kabisa

Hivi yule wazir wa elimu wa Tanzania lakn n mkenya kiasili ambaye alifuta michezo mashuleni na kuunganisha masomo hivyohovyo alikuwa anaitwa Nani vile?

Nchi hii hata waziri anaweza akashauri tule mavi na mamlaka zikaafki tu
Khee ! Umesahau yule waziri wa pesa wa zamani (M*r*mba)enzi za utawala wa Mzee Mkapa,Alitoa amri kwamba watanzania wote tule nyasi kwa miaka hata 10 Ili mradi TU ndege ya kutembelea rais inunuliwe?Vituko vya watawala Ni vingi
Sana nchi hii.
 
chuo kujengwa Moshi lilikua kosa. Misitu iko Iringa chuo Moshi. Mi naona Mhe analekebisha makosa. Ili kurahisisha ujifunzaji.
Moshi hamna misitu? Kwa hiyo chuo cha sukari kibaha napo walikosea kujenga? Nyie mnaakili kuliko Nyerere? Mbona kiwanda cha madini kipo Iringa na Almas zipo Mwadui? Chuki tu itawatafuna mpaka iwamalize. Nasi na chuo cha Police kihamishiwe Tarime maana ndipo kunakopatikana askari wengi
 
Dah huyo ndio tunatoka Kijiji kimoja sina la kusema s mnamuona. Wenyewe mambo yake
Basi ni rafiki ake mkubwa mama, hahahah watu wa parangu, mdunduwalo, maposeni wanae huyo.
Na mie ni mbunge wangu huyu.
CCM YATOSHA, PERAMIHO NI JENISTA. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wizara ya maliasili na utalii ni wizara yenye viongozi wanaokurupuka sana.Shule za hao viongozi haijawai kuisaidia hiyo wizara.Sasa hebu ona wazo la ovyo kama hilo.Badala wawaze kupanua wigo wa chuo sehemu nyingi zaidi wao wanawaza kuhamisha chuo.bure kabisa.Tena kama huyo waziri hamna kitu hapo.
Kama hiyo wizara ingekuwa inapata watu smart ingetosha kutengeneza bajeti nzima ya serikali lakini watu wengi wanaoteuliwa kuongoza hiyo wizara huwa na malengo ya kunufaika binafsi na wizara yenyewe.
 
Mama ana akili ndogo ila kadumu bungeni na vyeo lukuki aisee
Tena advanced diploma, lakini wizara anayeiongoza ni lulu na tunu na tegemeo la watu wengi, ila ndio hivyo tena [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuhusu kudumu bungeni, hakna mama mafia km yule muone vile vile, mie ni mbunge wangu yule, namfaham kiukaribu fulani hivi.
 
Wewe waijua tabora kweli, kwahyo chuo Cha madini kitolewe Dodoma kipelekwe Geita sio?
Justification yako ya hovyo kuliko ime base kwa ubinafsi tu ka jiwe mjenga airport maporini
Kwa hiyo unaona sawa mikoa mingine kutokua na taasisi za umma. Chuo Cha Wanyamapori Ushirika, FITI na makumi zaidi Moshi. Mikoa mingine inachekwa tu.
 
Moshi hamna misitu? Kwa hiyo chuo cha sukari kibaha napo walikosea kujenga? Nyie mnaakili kuliko Nyerere? Mbona kiwanda cha madini kipo Iringa na Almas zipo Mwadui? Chuki tu itawatafuna mpaka iwamalize. Nasi na chuo cha Police kihamishiwe Tarime maana ndipo kunakopatikana askari wengi
Kuna mikoa haina taasisi ya umma hata mmoja. Sasa mikoa iliyorundikiwa taasisi itulie kwanza.
 
Hujui lolote. Hifadhi ya Mt Kilimanjaro hakuvunwi miti wewe. Miti kwa wingi inavunnwa Njombe naTabora huko ndiko chuo hupaswa kuwepo. Mangi usipende kufaidi kwa mitelemko
Wewe ndo hujui unaleta tu ujuaji.ata uko kilimanjaro kuna msitu mkubwa wakuvuna.nenda west kilimanjaro na rongai kaulize wakazi watakwambia.Kama ni hoja ya kujifunza unaweza ukajifunzia popote.waziri anapaswa kuja na mipango yakupanda miti kwa wingi sio mambo ya ovyo yakuhamisha chuo kwasababu zakijinga.recently Jpm alifungua mashamba ya miti biharamulo baada ya miaka michache kule kutakua ni msitu mkubwa aende akaanzishe campas kule kupanua wigo wa hayo mafunzo unayoyaongelea ila sio kuhamisha chuo ambacho tayari kuna uwekezaji umefanyika.
 
Wapi. Zama zimechenji mzee zama za kurundika taasisi za umma Moshi zimeisha. Sasa ni zama za even development. Njombe inaongoza kwa mistu East Africa lakini wajanja wakapeleka chuo kwao.
 
Khee ! Umesahau yule waziri wa pesa wa zamani (M*r*mba)enzi za utawala wa Mzee Mkapa,Alitoa amri kwamba watanzania wote tule nyasi kwa miaka hata 10 Ili mradi TU ndege ya kutembelea rais inunuliwe?Vituko vya watawala Ni vingi
Sana nchi hii.
Hivi ile ndege ilienda wapi,au bado ipo.Hii nchi bana.
 
Back
Top Bottom