Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

Mwendazake alikuwa anaipenda kufanya kazi na majitu mapopoma kama huyu Damas Ndumbaro. Mungu anisamehe sijawahi kushawishika kuwa Ndumbaro ni PhD holder kutokana na matamshi yake. Kumbuka aliposema Chato ni Kitovu cha Utalii wa lake zone.

Kama kuna reshuffle Rais SSH atafanya kabla 2025 haiwezi kumuacha Ndumbaro na Mwigulu salama. Mark this post
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu ni mwendelezo wa chuki dhidi ya watu wa Kaskazini. Mi nashauri hata na Mlima Kilimanjaro ahamishie Songea kama itawasaidia kuwa karibu na watalii toka Malawi na Mozambique
chuo kujengwa Moshi lilikua kosa. Misitu iko Iringa chuo Moshi. Mi naona Mhe analekebisha makosa. Ili kurahisisha ujifunzaji.
 
Angeulizwa inakuwaje sugar research institute iko Kibaha badala ya mtibwa au kilombero kunakolimwa miwa.

au kwa nini taasisi ya utafiti wa mpunga/ubwabwa iko bagamoyo badala ya mbarali
 
chuo kujengwa Moshi lilikua kosa. Misitu iko Iringa chuo Moshi. Mi naona Mhe analekebisha makosa. Ili kurahisisha ujifunzaji.
Ni ujinga kufanya vitu eti kurahisisha ufundishaji sikuhizi sikuna maabara za kisasa kabisa kujifunza hata agriculture sio lazima uende kwenye majaruba ya mpunga. Hafu nchi hii kila mkoa una hifadhi zake za misitu, hebu acheni ujinga na mentality za hovyo Tena ni Bora hivo vyuo vijengwe kila Kanda na sio excuse eti hamna msitu, hivi unajua Kuna msitu wa hifadhi ya Kilimanjaro?
 
Kumbuka hata Mary Mwanjelwa alikuwa PHD holder akapigwa swali gumu sana.
Huyo Mary mwanjela sio alikuwa MD kweli?
Ka alishindwa swali rahisi basi chuoni alikuwa bingwa wa kudesa
 
Hujui lolote. Hifadhi ya Mt Kilimanjaro hakuvunwi miti wewe. Miti kwa wingi inavunnwa Njombe naTabora huko ndiko chuo hupaswa kuwepo. Mangi usipende kufaidi kwa mitelemko
 
chuo kujengwa Moshi lilikua kosa. Misitu iko Iringa chuo Moshi. Mi naona Mhe analekebisha makosa. Ili kurahisisha ujifunzaji.
chuo cha utafiti wa sukari kiko kibaha na si mtibwa wala kilombero. Na hata cha utafiti wa mpunga/ubwabwa kiko bagamoyo siyo mbarali kunakolimwa sana mpunga.
 
Mwanangu wewe kabishi ni hatari! Akipangua hizi hoja nitajua Ndumbaro ni mwanaume!πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…