Wewe waijua tabora kweli, kwahyo chuo Cha madini kitolewe Dodoma kipelekwe Geita sio?Hujui lolote. Hifadhi ya Mt Kilimanjaro hakuvunwi miti wewe. Miti kwa wingi inavunnwa Njombe naTabora huko ndiko chuo hupaswa kuwepo. Mangi usipende kufaidi kwa mitelemko
Maelezo yamejitoshelezachuo cha utafiti wa sukari kiko kibaha na si mtibwa wala kilombero. Na hata cha utafiti wa mpunga/ubwabwa kiko bagamoyo siyo mbarali kunakolimwa sana mpunga.
Mama ana akili ndogo ila kadumu bungeni na vyeo lukuki aiseeDah huyo ndio tunatoka Kijiji kimoja sina la kusema s mnamuona. Wenyewe mambo yake
Hakuna chuki sema unajeraha tayari ndo manaHuu ni mwendelezo wa chuki dhidi ya watu wa Kaskazini. Mi nashauri hata na Mlima Kilimanjaro ahamishie Songea kama itawasaidia kuwa karibu na watalii toka Malawi na Mozambique
Hoja ya msingi iko wapi hapo?Ndumbaro ana hoja ya msingi.
Ziweke hapa hizo taratibu.Kuanzisha kipya kuna taratibu zake, kuhamisha ni rahisi zaidi.
Kwahiyo na vyuo vya wanyamapori kama pasiansi na mweka vilivyoko chini ya hiyo wizara vihamie serengeti.Punguza uzwazwa.Msitu unaweza kuanzishwa popote penye ardhi.Sio tuu kuhamia Iringa bali Ihamie Njombe au Mafinga..huko uchagani hakuna misitu yoyote usitupigie makelele hapa
Khee ! Umesahau yule waziri wa pesa wa zamani (M*r*mba)enzi za utawala wa Mzee Mkapa,Alitoa amri kwamba watanzania wote tule nyasi kwa miaka hata 10 Ili mradi TU ndege ya kutembelea rais inunuliwe?Vituko vya watawala Ni vingiMkuu umeua
Hofu yangu mmoja wao anaweza akawa prezidaa Kama Dr stone halafu akauza nchi kabisa
Hivi yule wazir wa elimu wa Tanzania lakn n mkenya kiasili ambaye alifuta michezo mashuleni na kuunganisha masomo hivyohovyo alikuwa anaitwa Nani vile?
Nchi hii hata waziri anaweza akashauri tule mavi na mamlaka zikaafki tu
Moshi hamna misitu? Kwa hiyo chuo cha sukari kibaha napo walikosea kujenga? Nyie mnaakili kuliko Nyerere? Mbona kiwanda cha madini kipo Iringa na Almas zipo Mwadui? Chuki tu itawatafuna mpaka iwamalize. Nasi na chuo cha Police kihamishiwe Tarime maana ndipo kunakopatikana askari wengichuo kujengwa Moshi lilikua kosa. Misitu iko Iringa chuo Moshi. Mi naona Mhe analekebisha makosa. Ili kurahisisha ujifunzaji.
Basi ni rafiki ake mkubwa mama, hahahah watu wa parangu, mdunduwalo, maposeni wanae huyo.Dah huyo ndio tunatoka Kijiji kimoja sina la kusema s mnamuona. Wenyewe mambo yake
Kama hiyo wizara ingekuwa inapata watu smart ingetosha kutengeneza bajeti nzima ya serikali lakini watu wengi wanaoteuliwa kuongoza hiyo wizara huwa na malengo ya kunufaika binafsi na wizara yenyewe.Wizara ya maliasili na utalii ni wizara yenye viongozi wanaokurupuka sana.Shule za hao viongozi haijawai kuisaidia hiyo wizara.Sasa hebu ona wazo la ovyo kama hilo.Badala wawaze kupanua wigo wa chuo sehemu nyingi zaidi wao wanawaza kuhamisha chuo.bure kabisa.Tena kama huyo waziri hamna kitu hapo.
Tena advanced diploma, lakini wizara anayeiongoza ni lulu na tunu na tegemeo la watu wengi, ila ndio hivyo tena [emoji23][emoji23][emoji23]Mama ana akili ndogo ila kadumu bungeni na vyeo lukuki aisee
Kwa hiyo unaona sawa mikoa mingine kutokua na taasisi za umma. Chuo Cha Wanyamapori Ushirika, FITI na makumi zaidi Moshi. Mikoa mingine inachekwa tu.Wewe waijua tabora kweli, kwahyo chuo Cha madini kitolewe Dodoma kipelekwe Geita sio?
Justification yako ya hovyo kuliko ime base kwa ubinafsi tu ka jiwe mjenga airport maporini
Kuna mikoa haina taasisi ya umma hata mmoja. Sasa mikoa iliyorundikiwa taasisi itulie kwanza.Moshi hamna misitu? Kwa hiyo chuo cha sukari kibaha napo walikosea kujenga? Nyie mnaakili kuliko Nyerere? Mbona kiwanda cha madini kipo Iringa na Almas zipo Mwadui? Chuki tu itawatafuna mpaka iwamalize. Nasi na chuo cha Police kihamishiwe Tarime maana ndipo kunakopatikana askari wengi
Wewe ndo hujui unaleta tu ujuaji.ata uko kilimanjaro kuna msitu mkubwa wakuvuna.nenda west kilimanjaro na rongai kaulize wakazi watakwambia.Kama ni hoja ya kujifunza unaweza ukajifunzia popote.waziri anapaswa kuja na mipango yakupanda miti kwa wingi sio mambo ya ovyo yakuhamisha chuo kwasababu zakijinga.recently Jpm alifungua mashamba ya miti biharamulo baada ya miaka michache kule kutakua ni msitu mkubwa aende akaanzishe campas kule kupanua wigo wa hayo mafunzo unayoyaongelea ila sio kuhamisha chuo ambacho tayari kuna uwekezaji umefanyika.Hujui lolote. Hifadhi ya Mt Kilimanjaro hakuvunwi miti wewe. Miti kwa wingi inavunnwa Njombe naTabora huko ndiko chuo hupaswa kuwepo. Mangi usipende kufaidi kwa mitelemko
Wewe ndo hujui unaleta tu ujuaji.ata uko kilimanjaro kuna msitu mkubwa wakuvuna.nenda west kilimanjaro na rongai kaulize wakazi watakwambia.Kama ni hoja ya kujifunza unaweza ukajifunzia popote.waziri anapaswa kuja na mipango yakupanda miti kwa wingi sio mambo ya ovyo yakuhamisha chuo kwasababu zakijinga.recently Jpm alifungua mashamba ya miti biharamulo baada ya miaka michache kule kutakua ni msitu mkubwa aende akaanzishe campas kule kupanua wigo wa hayo mafunzo unayoyaongelea ila sio kuhamisha chuo ambacho tayari kuna uwekezaji umefanyika.Hujui lolote. Hifadhi ya Mt Kilimanjaro hakuvunwi miti wewe. Miti kwa wingi inavunnwa Njombe naTabora huko ndiko chuo hupaswa kuwepo. Mangi usipende kufaidi kwa mitelemko
Wapi. Zama zimechenji mzee zama za kurundika taasisi za umma Moshi zimeisha. Sasa ni zama za even development. Njombe inaongoza kwa mistu East Africa lakini wajanja wakapeleka chuo kwao.Wewe ndo hujui unaleta tu ujuaji.ata uko kilimanjaro kuna msitu mkubwa wakuvuna.nenda west kilimanjaro na rongai kaulize wakazi watakwambia.Kama ni hoja ya kujifunza unaweza ukajifunzia popote.waziri anapaswa kuja na mipango yakupanda miti kwa wingi sio mambo ya ovyo yakuhamisha chuo kwasababu zakijinga.recently Jpm alifungua mashamba ya miti biharamulo baada ya miaka michache kule kutakua ni msitu mkubwa aende akaanzishe campas kule kupanua wigo wa hayo mafunzo unayoyaongelea ila sio kuhamisha chuo ambacho tayari kuna uwekezaji umefanyika.
Hivi ile ndege ilienda wapi,au bado ipo.Hii nchi bana.Khee ! Umesahau yule waziri wa pesa wa zamani (M*r*mba)enzi za utawala wa Mzee Mkapa,Alitoa amri kwamba watanzania wote tule nyasi kwa miaka hata 10 Ili mradi TU ndege ya kutembelea rais inunuliwe?Vituko vya watawala Ni vingi
Sana nchi hii.