Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

Mkuu PTER , kwa kweli kuna mengi sana ya kushangaa,lakini kwa kweli tumechoka kushangaa.
Yaani hayo mambo hapo juu uliyoyaorodhesha,yangesemwa na mbunge msukuma,kibajaji au vijana wa Lumumba (hawa hutolewa ubongo kabla ya kupewa kadi),tusingeshangaaa.
Ya kushangaza ni mengi sana lakini huenda tumeshachoka kushangaa tena.

Hivyo hata wakifanya jambo la ajabu tunaona kawaida tu.

Kibaya zaidi sasa hivi wananchi are no longer interested with politics anymore hivyo watawala wanafanya mengi ya kushangaza wanaoguswa personally wanaendelea kuumia kimya kimya.
 
Nimesema hivi, mada ni nzuri ya kujenga, ila haikuzingatia heshima ya kila mtu!

Elewa sana we dogo!
Umejiunga alipofariki JPM juzi unakuja kumuita bibi yako "dogo" kweli shule zifunguliwe tu.
 
Wafanye jambo la kushangaza mara ngapi ?
1. Wewe hujashangaa professor mwenye GPA ya 4.8 kuita chuo kikuu jalala ?

2. Wewe hukushangaa Dk wa sheria kutaka mtu asifunge ndoa bila cheti cha kuzaliwa.

3. Wewe hushangai Dk wa Sayansi ya siasa kusema atatumia dola kubaki madarakani na kusababisha maafa na vilema kwa watu wengi tu.

4. Wewe hushangai Dk wa uchumi kupandisha kodi ya mafuta halafu akashusha kodi kwenye bia kisa anataka kuboresha barabara za vijijini ?

5. Wewe hukushangaa Dk Kigwangalla a professional MD kuwa na msimamo A dhidi ya corona juu ya utawala wa jiwe na kuwa na msimamo B kwenye utawala wa sasa ?

6. Wewe hukushangaa Muhimbili kujenga banda la kujifukiza chini ya utawala uliopita baada ya hapo waliokwenda kujifukiza hapo wakiwemo wataalamu wa Afya kutaka livunjwe tupate chanjo ??

Kuna mengi ya kushangaza ila huwa hatutaki kushangaa tu yawezekana tumeshachoka kushangaa.
Hongera mkuu. Ume pick mambo makali sana ya kuduwaza yaliyofanywa na watu wanaosadikika kuwa ni wasomi.
 
Nakifahamu hicho chuo na nimewahi kufika hapo miaka ya 80 mpaka 90. Ni mojawapo ya vyuo bora kabisa na nimefurahi kusikia bado kipo na kinapokea wanafunzi. Ama kweli Nyerere aliona mbali sana katika kutengeneza wataalamu wetu wa ndani. Habari mbaya sana kwangu ni pale niliposikia tu Kilimanjaro Machine Tools kiwanda ambacho kingekuwa chachu ya uchumi wetu hasa wakati wa ujenzi wa uchumi wa Tanzania mpya kupitia miradi mikubwa ya umeme, reli na miundombinu mbalimbali eti kimekufa.

Kiukweli bila kupepesa Dr. Ndumbaro katoa hoja dhaifu sana ya kutaka kukihamisha hicho chuo. Nashangaa sana watu hapa wanafanya mizaha na hili jambo. Kabla ya kutangaza kuhamisha hicho chuo ni vizuri waziri akatoa ufafanuzi wa mambo yafuatayo:-
1. je waziri ameshajua ni gharama kiasi gani zitatumika kuhamisha wafanyakazi , vifaa na miundombinu yote ya hicho chuo?
2. Je ni gharama kiasi gani zinatosha kuanzisha chuo kipya kama hicho Mafinga/ Njombe/Makambako?
3. Je wanafunzi wa hizo kozi za misitu huwa wanasomea darasani kama kawaida na halafu wanaenda kwenye mafunzo kwa vitendo kwenye misitu kama wafanyavo wanafunzi wa kozi nyingine au wao wanakaa wanasomea muda wote msituni badala ya darasani?
4. Je ni muda kiasi gani wanafunzi wa hicho wanautumia darasani ukilinganishwa na muda wanautumia kwa mafunzo kwa vitendo wakiwa msituni?
5. Je uamuzi huu raisi, makamu wa raisi, waziri mkuu, baraza la mawaziri, serikali mkoa wa kilimanjaro na hata bunge lina taarifa au ni waziri tu mwenyewe kafikia maamuzi binafsi?
6. Na kama ni maamuzi binafsi nani wa kuwajibika hapo baadae iwapo taifa litaingia hasara kama ilivyowahi kutokea miaka ya nyuma pale ambapo waziri mmoja alipojiamulia tu mwenyewe kufuta masomo ya ufundi, kuchanganya chemistry na physics kuwa somo moja na kufikia mpaka kufuta michezo mashuleni. Hasara iliyochukua miaka mingi na fedha nyingi za watanzania masikini kuirekebisha.
7. Je hili suala la kukihamisha hiki chuo lipo kwenye ilani ya CCM ya 2020 - 2025 na viongozi wa CCM wakiongozwa na mwenyekilti na katibu mkuu wanalijua?

Hili suala ni zito sana lakini waziri anatoa hoja nyepesi sana kulihalisha. Na likiachwa lipite hivi hivi tusishangae siku moja akatokea waziri mwingine akasema nahamisha hospitali kuu ya wagonjwa wa akili Mirembe kuipeleka Dar es Salaam kwa kuwa Dar kuna wagonjwa wengi wa akili. Anaway akili yangu bado inaniambia kuwa waziri kaghafilika tu. Kwa sasa serikali inajitahidi kupunguza gharama na matumizi yasiyo na tija sidhani kama hili wataliruhusu kwani kitendo cha kuliruhusu lifanyike maana yake ni kuendelea kumbebesha masikini wa nchi hii mizigo asiyostahili.
 
Mpaka sasa ndumbaro amepita tu kwenye uzi hana hoja ya kujibu na nikuhakikishie ATAFELI YEYE NA GENGE LAKE, Haki ita tamalaki,
Ukinichekesha sana ulivyomhoji kwamba taaluma ya Mafuta na gesi vyuo viko bahari Liu? Hakika hawezi kupangua hizo hoja!
 
chuo kujengwa Moshi lilikua kosa. Misitu iko Iringa chuo Moshi. Mi naona Mhe analekebisha makosa. Ili kurahisisha ujifunzaji.
Hawa wtu wa moshi wanataka kila kitu kiwe kwao ni wapuuzi sana hawa. Chuo cha misitu moshi uwekezaji wa misitu mkubwa mafinga, mambo viseversa tu.
 
Moshi hamna misitu? Kwa hiyo chuo cha sukari kibaha napo walikosea kujenga? Nyie mnaakili kuliko Nyerere? Mbona kiwanda cha madini kipo Iringa na Almas zipo Mwadui? Chuki tu itawatafuna mpaka iwamalize. Nasi na chuo cha Police kihamishiwe Tarime maana ndipo kunakopatikana askari wengi
Hao walioamua hivyo zilikuwa akili za mwalimu Nyerere ili kuleta umoja mambo amabayo yaliturudisha nyuma sana.
 
Aisee kudumu kwake basi ni ngekewa na huo umafya wake una msaidia hafu ana kakimbele front flani hivi loh.
Nakumbuka send off ya Binti yake ili rushwa tbc Yani alikuwa hatulii kama mama wa Bibi harusi full kuhangaika humo ukumbini.
Sio ngekewa tyuuh ni mlozi wa kutupwa, kamaliza wazazi, baadhi ya ndugu had mume wake,

Kwenye ukimbele mbele pale ndo pake, humuonagi ktk matukio ya kitaifa? Anavokua na muhaho [emoji23][emoji23][emoji23]
Sometimes anakera na kuboa mno khaaaah.
 
Dah basi hzo ndumba zake kiboko huyu mama aisee atamaliza ukoo mzima kisa vyeo, na hata huko bungeni anakuwaga na kiherehere huyu mama.
Hivi ana undugu na Jokate huyu?
 
Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

Mnamo Julai 05, 2021 waziri wa Utalii na maliasili Mhe. Dkt. Ndumbaro [Wakili na mmiliki/Partner wa Meleta and Ndumbaro Advocates iliyopo Dar es s​
Na nyie watu wa moshi cjui mnamatatizo gani.miwa ilimwe morogoro kiwanda kijengwe songea ati kwa sababu nguvu kazi inatembea.hata hamfikirii other related costs.misitu iko iringa moshi mnang'ang'ania chuo kibaki huko,huo ni unafiki na ubinafsi uliopitiliza.kuwezi wazalendo siyo kila kitu kiwe uchagani basi undeni kingdom yenu kama mnauwezo huo.
 
na nyie watu wa moshi cjui mnamatatizo gani.miwa ilimwe morogoro kiwanda kijengwe songea ati kwa sababu nguvu kazi inatembea.hata hamfikirii other related costs.misitu iko iringa moshi mnang'ang'ania chuo kibaki huko,huo ni unafiki na ubinafsi uliopitiliza.kuwezi wazalendo siyo kila kitu kiwe uchagani basi undeni kingdom yenu kama mnauwezo huo.
Huenda huwashwi , Moshi hakuna Misitu?
upo upo tu hujui hata Chuo kinahusu nini hiki, shule zifunguliwe mkajisomee tu.
Msitu wa njoro, Rongai, West Kilimanjaro, Mweka hiyo ipo CHATO?
Umeskia hiki chuo kazi yake ni kukata miti ama kufundisha?
Hivi MATAGA mnawazaga kwa kutumia sehemu za kukalia?
 
Dah basi hzo ndumba zake kiboko huyu mama aisee atamaliza ukoo mzima kisa vyeo, na hata huko bungeni anakuwaga na kiherehere huyu mama.
Hivi ana undugu na Jokate huyu?
Wala hata hawana undugu, jokate kwao mbinga, huyu mama kwao peramiho,
Uchaguzi uliopita walienda kijijini kwetu kufanya tambiko la kumsimika kuwa kiongozi, tena kwenye mlima unaotisha hatare, anaamini San ulozi na mambo ya giza.
 
Duh kwahyo mama kwa wachawi Yuko vizuri kuliko maelezo, kwa uchawi huo atazeekea bungeni huyu.
 
Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

Mnamo Julai 05, 2021 waziri wa Utalii na maliasili Mhe. Dkt. Ndumbaro [Wakili na mmiliki/Partner wa Meleta and Ndumbaro Advocates iliyopo Dar es salaam ] alipotembelea Taasisi ya Mafunzo ya Viwanda vya Misitu (Forest Industries Training Institute FITI) iliyoko katika manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro aliitaka iwe tayari kuhamia Iringa. Uhamisho huo ndiyo mjadala wa makala hii.

poor my country, ukabila na ukanda bado vinaendelea zaidi ya miaka sitini ya uhuru, wahamishe tu lakini wajue na sisi tukipata nafasi tunaiga na tutahamisha hivyo hivyo, UBAGUZI NI MBEGU MBAYA SANA KWA TAIFA, DR. NDUMBARO ELIMU ALIYONAYO BADO HAIJAMKOMBOA
 
M
Mleta mada kiukweli bado ile hangover ya wasukuma bado inaitesa hii serikali tulivu na isiyo na mambo ya hovyo kama mtangulizi wake.
lazima ieleweke kuwa FITI imekuwa pale kwa miaka mingi na ina manufaa mengi hata kwa ustawi wa Mt Kilimanjaro.
Haya maamuzi ya kipuuzi ya viongozi wetu ni ya ajabu na ya kupigwa vita, sidhani kama mama Samia atakubali huu upuiuzi.
Huenda Ngumbaro anataka kuisogeza karibu na kwao au hajui mchezo ulio nyuma yake.
Mwenda zake alikuwa na ndoto za kuiparalize mikoa ya kaskazini kwa sababu tu hawaiungu mkono kama anavyotaka na hawa ni vijana wake aliokuwa anawapa maelekezo. MWENYEZI MUNGU UTUPIGANIE WANAWAKO
 
Hao walioamua hivyo zilikuwa akili za mwalimu Nyerere ili kuleta umoja mambo amabayo yaliturudisha nyuma sana.
Basi kuna umuhimu wa Kilimananjaro kupewa uhuru maana ndiyo himaya pekee ya kiChief ambayo kiongozi wake wa jadi (Mangi) wake alienda UN kutaka uhuru wa watu wake
 
Nakifahamu hicho chuo na nimewahi kufika hapo miaka ya 80 mpaka 90. Ni mojawapo ya vyuo bora kabisa na nimefurahi kusikia bado kipo na kinapokea wanafunzi. Ama kweli Nyerere aliona mbali sana katika kutengeneza wataalamu wetu wa ndani. Habari mbaya sana kwangu ni pale niliposikia tu Kilimanjaro Machine Tools kiwanda ambacho kingekuwa chachu ya uchumi wetu hasa wakati wa ujenzi wa uchumi wa Tanzania mpya kupitia miradi mikubwa ya umeme, reli na miundombinu mbalimbali eti kimekufa.

Kiukweli bila kupepesa Dr. Ndumbaro katoa hoja dhaifu sana ya kutaka kukihamisha hicho chuo. Nashangaa sana watu hapa wanafanya mizaha na hili jambo. Kabla ya kutangaza kuhamisha hicho chuo ni vizuri waziri akatoa ufafanuzi wa mambo yafuatayo:-
1. je waziri ameshajua ni gharama kiasi gani zitatumika kuhamisha wafanyakazi , vifaa na miundombinu yote ya hicho chuo?
2. Je ni gharama kiasi gani zinatosha kuanzisha chuo kipya kama hicho Mafinga/ Njombe/Makambako?
3. Je wanafunzi wa hizo kozi za misitu huwa wanasomea darasani kama kawaida na halafu wanaenda kwenye mafunzo kwa vitendo kwenye misitu kama wafanyavo wanafunzi wa kozi nyingine au wao wanakaa wanasomea muda wote msituni badala ya darasani?
4. Je ni muda kiasi gani wanafunzi wa hicho wanautumia darasani ukilinganishwa na muda wanautumia kwa mafunzo kwa vitendo wakiwa msituni?
5. Je uamuzi huu raisi, makamu wa raisi, waziri mkuu, baraza la mawaziri, serikali mkoa wa kilimanjaro na hata bunge lina taarifa au ni waziri tu mwenyewe kafikia maamuzi binafsi?
6. Na kama ni maamuzi binafsi nani wa kuwajibika hapo baadae iwapo taifa litaingia hasara kama ilivyowahi kutokea miaka ya nyuma pale ambapo waziri mmoja alipojiamulia tu mwenyewe kufuta masomo ya ufundi, kuchanganya chemistry na physics kuwa somo moja na kufikia mpaka kufuta michezo mashuleni. Hasara iliyochukua miaka mingi na fedha nyingi za watanzania masikini kuirekebisha.
7. Je hili suala la kukihamisha hiki chuo lipo kwenye ilani ya CCM ya 2020 - 2025 na viongozi wa CCM wakiongozwa na mwenyekilti na katibu mkuu wanalijua?

Hili suala ni zito sana lakini waziri anatoa hoja nyepesi sana kulihalisha. Na likiachwa lipite hivi hivi tusishangae siku moja akatokea waziri mwingine akasema nahamisha hospitali kuu ya wagonjwa wa akili Mirembe kuipeleka Dar es Salaam kwa kuwa Dar kuna wagonjwa wengi wa akili. Anaway akili yangu bado inaniambia kuwa waziri kaghafilika tu. Kwa sasa serikali inajitahidi kupunguza gharama na matumizi yasiyo na tija sidhani kama hili wataliruhusu kwani kitendo cha kuliruhusu lifanyike maana yake ni kuendelea kumbebesha masikini wa nchi hii mizigo asiyostahili.
KUNA BAADHI YA JAMII HAPA NCHINI ZINAAMINI WENZAO WA JAMII NYINGINE WAKIWA MASIKINI NDIYO WAO WATAKUWA WAMEENDELEA, BUSARA NI KUJENGA CHUO KINGINE HATA CHUO KIKUU CHA MISUTU MAFINGA NA KUNA UMUHIMU HUO NA SIYO KUHAMISHA CHUO SEHEMU NYINGINE, KUNA SIKU HATA SOKOINE ITAHAMISHIWA NYANDA ZA JUU KUSINI KWA SABABU NDIYO MIKOA INAYOONGOZA KWA UZALISHAJI WA CHAKULA. POOR NDUMBARO
 
Basi kuna umuhimu wa Kilimananjaro kupewa uhuru maana ndiyo himaya pekee ya kiChief ambayo kiongozi wake wa jadi (Mangi) wake alienda UN kutaka uhuru wa watu wake

..hili jambo siyo la kweli.

..maelezo yote aliyotoa Marealle mbele ya kamati ya makoloni UN yapo ktk kumbukumbu na hakuwahi kudai uhuru wa kabila lake pekee.

..Marealle alidai uhuru wa Tanganyika nzima.

..Hata Mwalimu Nyerere ktk maelezo yake UN alifurahia na kuunga mkono uwepo wa Marealle kuongezea nguvu ktk sauti ya Watanganyika kudai uhuru.

..Particularly, kamati ya makoloni UN walimuuliza Marealle kuhusu nafasi ya Machifu ktk Tanganyika huru. Jibu la Marealle au pendekezo lake ni kwamba nafasi yao ifanane na Machifu waliokuwa Ghana.

..Walioeneza uvumi kwamba Marealle alidai uhuru wa Wachaga dhidi ya Tanganyika sijui walikuwa na nia gani.
 
Back
Top Bottom