Dkt. Nyambura Moremi ateuliwa tena kuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa. Aliondolewa baada ya sampuli za mimea kukutwa na UVIKO-19

DOKTA mwenye D MBILI karudishwa kazini kuendelea kuangamiza watanganyika!

Asante Magufuli kwa kutufungua macho
 
DOKTA mwenye D MBILI karudishwa kazini kuendelea kuangamiza watanganyika!

Asante Magufuli kwa kutufungua macho
Angekuwa na D 2 unadhani WHO wangekuwa wanamtumia? Hebu shirikisha akili kama unazo kabla hujaandika pumba
 
Yule mbwa alikuwa muonevu sana, ngoja wabeba jeneza waje
 
Angekuwa na D 2 unadhani WHO wangekuwa wanamtumia? Hebu shirikisha akili kama unazo kabla hujaandika pumba
WHO wanapenda kuwatumia watu wenye maksi DUNI ili wawe watiifu kwao.

Hata wakiambiwa waseme kinyesi ni corona wanaitikia NDIO BOSII... papai ni corona NDIO BOSSIIII, kahawa ni corona NDIO BOSSIIII....

Unaona kabisa hapa chanzo ni D MBILI.

Baadaye anaamua kubong'oa adungwe machanjo ili adhihirishe utiifu wake usio na shaka.
 
Huna hoja jobless mkubwa wewe.
 
Kwani Dr Mwigullu PhD hakuwahi kutumbuliwa na Shujaa Magufuli?

CAG Kichere je?!!

We bint ni mshambamshamba sana 🐼
Ya kumtumbua huyu mtaalamu wa Tiba ALIKURUPUKA. Usizifananishe na za hao wanasiasa
 
Waliokua wawakilishi kwenye njama ya uviko wanarudishwa kila kona. Kuna wale walipangwa kupewa tenda kulisha wananchi kwenye karantini wao labda watawapa tenda zingine. Yaani fisadi wanajua ku take care of each other. Pia wanahangaika kuonesha magu hakua sahihi. Sasa kama alipimwa kware, mbuzi, bata ikaoneshwa ana covid vipi sasa kumrudisha mpimaji kama huyo.😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…