BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
DOKTA mwenye D MBILI karudishwa kazini kuendelea kuangamiza watanganyika!
Asante Magufuli kwa kutufungua macho
Asante Magufuli kwa kutufungua macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe walikuchanja kalio au bega?Wewe ndiyo hujachanja
Angekuwa na D 2 unadhani WHO wangekuwa wanamtumia? Hebu shirikisha akili kama unazo kabla hujaandika pumbaDOKTA mwenye D MBILI karudishwa kazini kuendelea kuangamiza watanganyika!
Asante Magufuli kwa kutufungua macho
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemrejesha kwenye nafasi yake aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii (NPHL), Dk Nyambura Moremi aliyesimamishwa kazi Mei 4, 2020 kupisha uchunguzi.
Dk Moremi amerejeshwa ikiwa ni miaka minne, baada ya kuondolewa katika nafasi hiyo na Waziri wa Afya, baada ya Rais wa wakati huo, hayati John Magufuli kutia shaka usahihi wa vipimo vya Maabara ya Taifa vilivyothibitisha kuwapo Uviko-19 katika sampuli za wanyama na mimea.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Afya, Englibert Kayombo, Dk Moremi ameteuliwa kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa maabara hiyo, Medard Beyanga.
“Kwa kipindi chote Dk Moremi alikuwa Mkuu wa Idara ya Tafiti katika Maabara Kuu ya Taifa,” amesema Kayombo.
Dk Moremi ni miongoni mwa wabobezi katika fani ya maabara na ni mtaalamu wa magonjwa ya kuambukiza.
Pia, soma=> Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?
View attachment 2960667
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1778374400317767778?t=07CH9V1X6z4RR1t8Zfq5rw&s=19
My Take
Walinda Ligacy mnaitwa huku 🤣🤣🤣
Hivi hata waliosoma naye shule ya msingi wanaruhusiwa kujiita classmates?Hongera sana classmate...
Wabeba jeneza, hii taarifa mmeipokeaje?Chiembe 🐼
Kuna shida gani kama nimezaliwa?Na mimi narudia tena bwege alikuwa MAMAKO ALIHONGWA ANDAZI LA MIA AKAKUBALI AKUZAA WEWE
WHO wanapenda kuwatumia watu wenye maksi DUNI ili wawe watiifu kwao.Angekuwa na D 2 unadhani WHO wangekuwa wanamtumia? Hebu shirikisha akili kama unazo kabla hujaandika pumba
Huna hoja jobless mkubwa wewe.WHO wanapenda kuwatumia watu wenye maksi DUNI ili wawe watiifu kwao.
Hata wakiambiwa waseme kinyesi ni corona wanaitikia NDIO BOSII... papai ni corona NDIO BOSSIIII, kahawa ni corona NDIO BOSSIIII....
Unaona kabisa hapa chanzo ni D MBILI.
Baadaye anaamua kubong'oa adungwe machanjo ili adhihirishe utiifu wake usio na shaka.
Kwani Dr Mwigullu PhD hakuwahi kutumbuliwa na Shujaa Magufuli?Wabeba jeneza, hii taarifa mmeipokeaje?
Ya kumtumbua huyu mtaalamu wa Tiba ALIKURUPUKA. Usizifananishe na za hao wanasiasaKwani Dr Mwigullu PhD hakuwahi kutumbuliwa na Shujaa Magufuli?
CAG Kichere je?!!
We bint ni mshambamshamba sana 🐼
Wataalam wako Space 🐼Ya kumtumbua huyu mtaalamu wa Tiba ALIKURUPUKA. Usizifananishe na za hao wanasiasa
🤣🤣 Hoja anazo Dokta wako mwenye D MBILIHuna hoja jobless mkubwa wewe.
Hii nchi ni full comedy,ila sishangai kila nabii na zama zake!!DOKTA mwenye D MBILI karudishwa kazini kuendelea kuangamiza watanganyika!
Asante Magufuli kwa kutufungua macho
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemrejesha kwenye nafasi yake aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii (NPHL), Dk Nyambura Moremi aliyesimamishwa kazi Mei 4, 2020 kupisha uchunguzi.
Dk Moremi amerejeshwa ikiwa ni miaka minne, baada ya kuondolewa katika nafasi hiyo na Waziri wa Afya, baada ya Rais wa wakati huo, hayati John Magufuli kutia shaka usahihi wa vipimo vya Maabara ya Taifa vilivyothibitisha kuwapo Uviko-19 katika sampuli za wanyama na mimea.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Afya, Englibert Kayombo, Dk Moremi ameteuliwa kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa maabara hiyo, Medard Beyanga.
“Kwa kipindi chote Dk Moremi alikuwa Mkuu wa Idara ya Tafiti katika Maabara Kuu ya Taifa,” amesema Kayombo.
Dk Moremi ni miongoni mwa wabobezi katika fani ya maabara na ni mtaalamu wa magonjwa ya kuambukiza.
Pia, soma=> Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?
View attachment 2960667
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1778374400317767778?t=07CH9V1X6z4RR1t8Zfq5rw&s=19
My Take
Walinda Ligacy mnaitwa huku 🤣🤣🤣
Hivi hata waliosoma naye shule ya msingi wanaruhusiwa kujiita classmates?
Kwani alibeba bunduki yeye? yes ni katiba mbovu alitoa amri watu wakatii mamlaka lakini katiba ingekuwa nzuri asingethubutu kufanya huo ujingaKwahiyo aktiba mbovu ndiyo ilimuongoza kumpiga Lisu risasi?
Ni haki ya kila mtanzania mwenye sifaIkiwa aliondolewa kimakosa ni haki yake kurudishwa kazini.