Dkt. Nyambura Moremi ateuliwa tena kuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa. Aliondolewa baada ya sampuli za mimea kukutwa na UVIKO-19

Halafu Magufuli alikuwa anasemekana ana PhD ya Chemistry, lakini arguments zake zilikuwa sawa tu na za mganga wa kienyeji msoma nyota toka Sumbawanga.

Nashukuru Mungu alimfutilia mbali
Omba Mungu umsahau kabisa maana kinachoendelea sasa pamoja na huyo jamaa kufutwa ila bado hamjamsahau na hiyo inakuwa kama mtu aliyefiwa na mpenzi wake aliyekuwa akimpenda sana.
 
Omba Mungu asahaulike kabisa maana hali ilivyo sasa ni kama huyo jamaa bado yupo.
Mama kawarudisha, Jamaa msiba wa Sokoine analeta mabo ya ikulu ambayo si ya kusemea pale.
Anajibinafsishia mama yetu eti anasema ni mama yake, kolomije!
anataka Baraza la Mawazii livunjwe.
 
Omba Mungu umsahau kabisa maana kinachoendelea sasa pamoja na huyo jamaa kufutwa ila bado hamjamsahau na hiyo inakuwa kama mtu aliyefiwa na mpenzi wake aliyekuwa akimpenda sana.
Nafuu mimi kuliko nyinyi misukule ambao mlikuwa mnaishi kwa kumtegemea mwanadamu. Kufeni tu mkzikwe naye Chato
 
Kuishi kwa kumtegemea mwanadamu ndio kupi huko? Mbona sasa watu bado wanaishi? Wewe hauna unafuu kwa sababu bado una hasira na mfu na huwezi kumfanya kitu ukisikia katajwa unachafukwa na kibaya hadi sasa huyo marehemu bado anatajwa tu.
 
Mimi sina cha kumfanya lakini mchwa na minyoo wanajuwa cha kumfanya
 
Jiwe alikuwa mtemi sana.CDM wakisikia sauti yake wanajiarishia.
 
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemrejesha kwenye nafasi yake aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii (NPHL), Dk Nyambura Moremi aliyesimamishwa kazi Mei 4, 2020 kupisha uchunguzi.

Dk Moremi amerejeshwa ikiwa ni miaka minne, baada ya kuondolewa katika nafasi hiyo na Waziri wa Afya, baada ya Rais wa wakati huo, hayati John Magufuli kutia shaka usahihi wa vipimo vya Maabara ya Taifa vilivyothibitisha kuwapo Uviko-19 katika sampuli za wanyama na mimea.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Afya, Englibert Kayombo, Dk Moremi ameteuliwa kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa maabara hiyo, Medard Beyanga.

“Kwa kipindi chote Dk Moremi alikuwa Mkuu wa Idara ya Tafiti katika Maabara Kuu ya Taifa,” amesema Kayombo.

Dk Moremi ni miongoni mwa wabobezi katika fani ya maabara na ni mtaalamu wa magonjwa ya kuambukiza.

Pia, soma=> Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

View attachment 2960667

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1778374400317767778?t=07CH9V1X6z4RR1t8Zfq5rw&s=19

My Take
Walinda Ligacy mnaitwa huku 🤣🤣🤣

Mapapiiii vs uvikoo usinkumbishee mwendazake ana vista kha
 
Akikuwa ba lake mwendazake binti kakomaaa boraa niondoke kukikoi
Qq
 
Subiri mpaka hao minyoo waje wanifanye hicho kitu ndiyo uulize
Sasa nitakuuliza vp na wakati utakuwa mfu? kwanza hakuna atakaye kuwa na muda wa kukuongelea, kwani umekuwa Magufuli wewe hadi uongelewe hali ya kuwa umeshafariki?
 
Amelaaniwa amtegemeaye marehemu wa Chato
 
Back
Top Bottom