UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kwahiyo zile chanjo alizochanja za China hazikusaidia?Magufuli alikuwa bwege sana halafu covid-19 hiyo hiyo ikaja kumpitia dadeq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo zile chanjo alizochanja za China hazikusaidia?Magufuli alikuwa bwege sana halafu covid-19 hiyo hiyo ikaja kumpitia dadeq
Omba Mungu umsahau kabisa maana kinachoendelea sasa pamoja na huyo jamaa kufutwa ila bado hamjamsahau na hiyo inakuwa kama mtu aliyefiwa na mpenzi wake aliyekuwa akimpenda sana.Halafu Magufuli alikuwa anasemekana ana PhD ya Chemistry, lakini arguments zake zilikuwa sawa tu na za mganga wa kienyeji msoma nyota toka Sumbawanga.
Nashukuru Mungu alimfutilia mbali
Omba Mungu asahaulike kabisa maana hali ilivyo sasa ni kama huyo jamaa bado yupo.Tumepitia kipindi kigumu sana naomba mungu tusirudie tena huko.
Mama kawarudisha, Jamaa msiba wa Sokoine analeta mabo ya ikulu ambayo si ya kusemea pale.Omba Mungu asahaulike kabisa maana hali ilivyo sasa ni kama huyo jamaa bado yupo.
Nafuu mimi kuliko nyinyi misukule ambao mlikuwa mnaishi kwa kumtegemea mwanadamu. Kufeni tu mkzikwe naye ChatoOmba Mungu umsahau kabisa maana kinachoendelea sasa pamoja na huyo jamaa kufutwa ila bado hamjamsahau na hiyo inakuwa kama mtu aliyefiwa na mpenzi wake aliyekuwa akimpenda sana.
Kuishi kwa kumtegemea mwanadamu ndio kupi huko? Mbona sasa watu bado wanaishi? Wewe hauna unafuu kwa sababu bado una hasira na mfu na huwezi kumfanya kitu ukisikia katajwa unachafukwa na kibaya hadi sasa huyo marehemu bado anatajwa tu.Nafuu mimi kuliko nyinyi misukule ambao mlikuwa mnaishi kwa kumtegemea mwanadamu. Kufeni tu mkzikwe naye Chato
Mimi sina cha kumfanya lakini mchwa na minyoo wanajuwa cha kumfanyaKuishi kwa kumtegemea mwanadamu ndio kupi huko? Mbona sasa watu bado wanaishi? Wewe hauna unafuu kwa sababu bado una hasira na mfu na huwezi kumfanya kitu ukisikia katajwa unachafukwa na kibaya hadi sasa huyo marehemu bado anatajwa tu.
Wanamfanya nini ambacho wewe hawatokufanya hao mchwa na minyoo? Au wewe mbaniani?Mimi sina cha kumfanya lakini mchwa na minyoo wanajuwa cha kumfanya
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemrejesha kwenye nafasi yake aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii (NPHL), Dk Nyambura Moremi aliyesimamishwa kazi Mei 4, 2020 kupisha uchunguzi.
Dk Moremi amerejeshwa ikiwa ni miaka minne, baada ya kuondolewa katika nafasi hiyo na Waziri wa Afya, baada ya Rais wa wakati huo, hayati John Magufuli kutia shaka usahihi wa vipimo vya Maabara ya Taifa vilivyothibitisha kuwapo Uviko-19 katika sampuli za wanyama na mimea.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Afya, Englibert Kayombo, Dk Moremi ameteuliwa kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa maabara hiyo, Medard Beyanga.
“Kwa kipindi chote Dk Moremi alikuwa Mkuu wa Idara ya Tafiti katika Maabara Kuu ya Taifa,” amesema Kayombo.
Dk Moremi ni miongoni mwa wabobezi katika fani ya maabara na ni mtaalamu wa magonjwa ya kuambukiza.
Pia, soma=> Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?
View attachment 2960667
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1778374400317767778?t=07CH9V1X6z4RR1t8Zfq5rw&s=19
My Take
Walinda Ligacy mnaitwa huku 🤣🤣🤣
Subiri mpaka hao minyoo waje wanifanye hicho kitu ndiyo uulizeWanamfanya nini ambacho wewe hawatokufanya hao mchwa na minyoo? Au wewe mbaniani?
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemrejesha kwenye nafasi yake aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii (NPHL), Dk Nyambura Moremi aliyesimamishwa kazi Mei 4, 2020 kupisha uchunguzi.
Dk Moremi amerejeshwa ikiwa ni miaka minne, baada ya kuondolewa katika nafasi hiyo na Waziri wa Afya, baada ya Rais wa wakati huo, hayati John Magufuli kutia shaka usahihi wa vipimo vya Maabara ya Taifa vilivyothibitisha kuwapo Uviko-19 katika sampuli za wanyama na mimea.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Afya, Englibert Kayombo, Dk Moremi ameteuliwa kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa maabara hiyo, Medard Beyanga.
“Kwa kipindi chote Dk Moremi alikuwa Mkuu wa Idara ya Tafiti katika Maabara Kuu ya Taifa,” amesema Kayombo.
Dk Moremi ni miongoni mwa wabobezi katika fani ya maabara na ni mtaalamu wa magonjwa ya kuambukiza.
Pia, soma=> Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?
View attachment 2960667
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1778374400317767778?t=07CH9V1X6z4RR1t8Zfq5rw&s=19
My Take
Walinda Ligacy mnaitwa huku 🤣🤣🤣
Sasa nitakuuliza vp na wakati utakuwa mfu? kwanza hakuna atakaye kuwa na muda wa kukuongelea, kwani umekuwa Magufuli wewe hadi uongelewe hali ya kuwa umeshafariki?Subiri mpaka hao minyoo waje wanifanye hicho kitu ndiyo uulize
Mawaziri waliiokuwa wakimtumia mshiko mange amtukane kizimkazi ni wachadema we mdada!!?Serikali Haina mda wa kuhangaika na upuuzi wa Mange,imewaachia Machadema ndio maana Rais Yuko busy na kazi zake.
Amelaaniwa amtegemeaye marehemu wa ChatoSasa nitakuuliza vp na wakati utakuwa mfu? kwanza hakuna atakaye kuwa na muda wa kukuongelea, kwani umekuwa Magufuli wewe hadi uongelewe hali ya kuwa umeshafariki?
Hakuna anayemtegemea marehemu hapa ila kuna wenye kushindana na marehemu.Amelaaniwa amtegemeaye marehemu wa Chato
Na wanaodhani marehemu atafufuka mupoHakuna anayemtegemea marehemu hapa ila kuna wenye kushindana na marehemu.
Umeona eee!Magufuli alikuwa bwege sana halafu covid-19 hiyo hiyo ikaja kumpitia dadeq
Itakuwa unamuogopa sana Magufuli kiasi cha kufikia kuhofia anaweza akafufuka.Na wanaodhani marehemu atafufuka mupo