TANZIA Dkt. Peter Mamiro afariki dunia zikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe(Prof. Delphina Mamiro) afariki dunia

Halafu kuna mtu anajiita Conforter in Chief anasema hakuna Corona.... bado wasukuma wenzake alowakabidhi afya wanasema barakoa ni za TB!
9415B04E-B2A9-44D1-9952-F59A6F10B3A1.jpeg
 
Sasa ni dhahiri haki sio shwari . Hii 19 , inatakiwa serikalini useme neno otherwise tunakoelekea hata SGR itakosa wa kuipanda

Serikali ipi? Hii au ya Taiwan...

Kutoa taarifa za ugonjwa Ni kosa la jinai na Ni uchochezi...
 
Habari mbaya ya kusikitisha ni kuwa Dkt. Peter Mamiro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro ikiwa zimepita siku mbili tokea msiba wa mkewe Profesa Delphina Mamiro afariki dunia. Dkt. Peter Mamiro na Profesa Delphina Mamiro walikuwa wanafundisha chuo cha kilimo Sokoine - SUA.

Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu zinasema kwamba siku chache zilizopita, Profesa Delphina alitoka Kilimanjaro kuwazika wazazi wake wawili (Mchungaji Kessy na mkewe) ambao nao vifo vyao vilifuatana.

Inadaiwa baada ya kurudi Morogoro hali ikuwa mbaya mpaka umauti unawakuta.

Mwenyezi Mungu aipe nguvu na faraja familia hii inayopitia majaribu haya yote.

Pia soma TANZIA - Profesa Delphina Mamiro wa Chuo Kikuu cha Kilimo(SUA) afariki dunia
Changamoto za kupumua
 
Sasa ni dhahiri haki sio shwari . Hii 19 , inatakiwa serikalini useme neno otherwise tunakoelekea hata SGR itakosa wa kuipanda
Itoe neno gani kwa mfano, kwamba mjifungie ndani, kwanini msitumie akili mnataka muwe kama misukule? Huna akili kichwani au unataka neno la nini?
 
Aweke wazi kuwa mdudu yupo na siyo anaficha ficha tu. Na mdudu huyu alivo n kama kunguni vile, ukiwa pekee yako anajificha ila mkiwa wengi tena ww ndo unaongea ko wengine wamekula attention wanakutazama usoni, na kunguni ndo anajitokeza kwenye shat lako jeupe anaanza misele. Ko jamaa anajitahid kumficha huyu mdudu but mdudu anazidi kuchanja mbuga tu, wanaoumia n raia🤔
 
Akishaweka wazi kwamba yupo ndio huyo mdudu anaondoka? Nieleweshe tafadhali..
 
Habari mbaya ya kusikitisha ni kuwa Dkt. Peter Mamiro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro ikiwa zimepita siku mbili tokea msiba wa mkewe Profesa Delphina Mamiro afariki dunia. Dkt. Peter Mamiro na Profesa Delphina Mamiro walikuwa wanafundisha chuo cha kilimo Sokoine - SUA.

Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu zinasema kwamba siku chache zilizopita, Profesa Delphina alitoka Kilimanjaro kuwazika wazazi wake wawili (Mchungaji Kessy na mkewe) ambao nao vifo vyao vilifuatana.

Inadaiwa baada ya kurudi Morogoro hali ikuwa mbaya mpaka umauti unawakuta.

Mwenyezi Mungu aipe nguvu na faraja familia hii inayopitia majaribu haya yote.

Pia soma TANZIA - Profesa Delphina Mamiro wa Chuo Kikuu cha Kilimo(SUA) afariki dunia

Inasikitisha Sana!! Poleni Ndugu , Jamaa na Marafiki.
 
Back
Top Bottom