TANZIA Dkt. Peter Mamiro afariki dunia zikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe(Prof. Delphina Mamiro) afariki dunia

Muda wowote kuanzia kesho tutalajie kusikia mzeebaba akifanyia kazi kutoke kijijini Chato maana hii variant ya Africa kusini haina utani kabisa
 
Sasa ni dhahiri haki sio shwari . Hii 19 , inatakiwa serikalini useme neno otherwise tunakoelekea hata SGR itakosa wa kuipanda

Serikali ipi? Hii au ya Taiwan...

Kutoa taarifa za ugonjwa Ni kosa la jinai na Ni uchochezi...
 
Changamoto za kupumua
 
Sasa ni dhahiri haki sio shwari . Hii 19 , inatakiwa serikalini useme neno otherwise tunakoelekea hata SGR itakosa wa kuipanda
Itoe neno gani kwa mfano, kwamba mjifungie ndani, kwanini msitumie akili mnataka muwe kama misukule? Huna akili kichwani au unataka neno la nini?
 
Aweke wazi kuwa mdudu yupo na siyo anaficha ficha tu. Na mdudu huyu alivo n kama kunguni vile, ukiwa pekee yako anajificha ila mkiwa wengi tena ww ndo unaongea ko wengine wamekula attention wanakutazama usoni, na kunguni ndo anajitokeza kwenye shat lako jeupe anaanza misele. Ko jamaa anajitahid kumficha huyu mdudu but mdudu anazidi kuchanja mbuga tu, wanaoumia n raia🤔
 
Akishaweka wazi kwamba yupo ndio huyo mdudu anaondoka? Nieleweshe tafadhali..
 

Inasikitisha Sana!! Poleni Ndugu , Jamaa na Marafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…