Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

This guy! Coron ilimtandika vibaya Sana, alilia kama mtoto mdogo!
To be honest, ili lijamaa halikustahili kuwa makamu wa Rais, Hana mvuto, sio, charismatic, yupo yupo tu, eneo lnalo mfaa ili kuwa kubaki kwenye academia, au technocrat wizarani
 
Mimi binafsi naamini kuwa Makamu wa Rais Dr. Mpango ni kati ya watu wanaoweza kuwa na maadui wachache sana, kama wapo. Dr. Mpango, hata ukiacha masuala ya uongozi, kwa hulka yake binafsi, ni mtu asiye na makuu, tena anayeamini, mtu kuwa kiongozi hakujabadilisha ubinadamu wake. Mtu wa namna hii, watu wamwombee mabaya kwa sababu gani?

Na hii ndiyo sababu kuu ya kuhofia! ANAPENDWA kwa tabia yake ya upole na uadilifu. Kwenye DP world saga hakutokelezea kabisa.
Adui zake wakuu ni wanasiasa mafisadi wauza nchi!! wanaotaka kuendeleza utawala Beware
 
Upuuzi
 
Kila mtu duniani ana safari yake. Tusiombee watu vifo kwasababu hakuna atayeishi milele. Mtu akifa usione kana kwamba wewe umependelewa sana na Mungu kuwa hai, siku yako yaja pia.
Sema nini, hatuwezi kwenda Peponi/mbinguni bila kufa hivyo ni vema kwa tunaopendana tukaombeana vifo tu ili kwenda kuipata faraja ya milele kuliko haya maisha ya Joto, mafuriko na kukosa pesa.
 
Naamini kabisa hili ni tangazo la zamani!, ili kesho VP awe Mgeni rasmi kwenye hiyo event, alipaswa leo awe amerejea nchini kutoka kule kwenye yale majukumu yake ya nje ya nchi, tungemuona leo akirejea!.
Kesho atawakilishwa!.
P
Nipo hapa kisongo tangu asubuhi kila mwewe akikatiza nainua shingo kama nitamuona lakini wapiiiii!
 
Kupata ugonjwa ni jambo la kawaida kwa mwanadam,Tunamuombea Mzee wetu huyu Afya njema arudi kwenye majukum yake ya kulitumikia Taifa.Ila punguzeni roho mbaya ya kuombea wenzenu mauti.Kila mja atakufa ni suala la mda.Hakuna atakayeishi milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…