Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Fanya subra kunatatizo la kiufundi limetokea, tope limejaa barabarani.Leo ni Tarehe 6 December watafiti wa TAWIRI mlio humu tuelezeni kama mmemuona makamu wa rais wa JMT.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya subra kunatatizo la kiufundi limetokea, tope limejaa barabarani.Leo ni Tarehe 6 December watafiti wa TAWIRI mlio humu tuelezeni kama mmemuona makamu wa rais wa JMT.
Mimi binafsi naamini kuwa Makamu wa Rais Dr. Mpango ni kati ya watu wanaoweza kuwa na maadui wachache sana, kama wapo. Dr. Mpango, hata ukiacha masuala ya uongozi, kwa hulka yake binafsi, ni mtu asiye na makuu, tena anayeamini, mtu kuwa kiongozi hakujabadilisha ubinadamu wake. Mtu wa namna hii, watu wamwombee mabaya kwa sababu gani?Sisi wengine siyo watu tunaopenda kuzunguzunguka, bali hupenda mambo yaliyonyoka.
Ni ukweli kuwa kumekuwa na tetesi kuwa Makamu wa Rais anaumwa sana, na wengine kusema ameenda nje ya nchi kutibiwa. Lakini baadaye Waziri Mkuu akasema kuwa Makamu wa Rais yupo Marekani kwa shughuli za kikazi. Taarifa ambayo ilitiliwa mashaka na wengi.
Na sisi wengine tulihoji, kama kweli Makamu wa Rais anaumwa kwa nini umma usiambiwe? Maana kuugua kwa mwanadamu ni jambo la kawaida, na hakuna mtu hata mmoja ambaye anaweza kusema kuwa yeye hawezi kuugua au hataugua. Ni sawa tu na kifo. Kama mtu anaumwa, kwa nini usisemwe ukweli? Hivi unajisikiaje mtu akikuficha kukudanganya juu ya habari ya kuugua kwa ndugu au rafiki yako? Kiongpzi wa nchi, katika ngazi ya Taifa ni kama kiongozi wa familia, katika ngazi ya familia. Kama kweli kiongozi wa familia anaumwa, kwa nini wanafamilia wasiambiwe ukweli? Waliokuwa wanahoji ili kuupata ukweli wana kosa gani?
Kuna watu, ambao mimi nawaita ni wajinga, wakageuza habari na kusema kuwa wanauuliza kupata uhakika juu ya taarifa za kuwa Makamu wa Rais anaumwa, eti wanamwombea mabaya Makamu wa Rais!
Huu ni uwongo mkubwa. Ni kutaka kupeleka ujumbe wa uwongo hata kwa Makamu wa Rais mwenyewe kuonesha kuwa kuna watu wanamchukia kiasi cha kumwombea mabaya. Jambo ambalo siyo kweli hata kidogo.
Mimi binafsi naamini kuwa Makamu wa Rais Dr. Mpango ni kati ya watu wanaoweza kuwa na maadui wachache sana, kama wapo. Dr. Mpango, hata ukiacha masuala ya uongozi, kwa hulka yake binafsi, ni mtu asiye na makuu, tena anayeamini, mtu kuwa kiongozi hakujabadilisha ubinadamu wake. Mtu wa namna hii, watu wamwombee mabaya kwa sababu gani?
Tumesikia Makamu wa Rais, Dr. Mpango atakuwa mgeni Rasmi leo kwenye tukio moja huko Arusha. Kama alikuwa anaumwa na sasa amepona, au amepata nafuu, au hakuwa anaumwa, naamini ni habari njema kwetu sote.
Tunajua Dr. Mpango alipitia changamoto kubwa ya kiafya wakati wa covid 19, tena wakati wa kipindi kigumu, tulichoshuhudia kuondoka kwa viongozi wengi wakubwa na baadhi ya jamaa zetu, lakini Mungu alimnusuru Dr. Mpango. Basi kwa huruma na mapenzi yake Mungu wetu wa rehema, azidi kumjalia afya njema na maisha ya furaha na amani.
UpuuziMimi binafsi naamini kuwa Makamu wa Rais Dr. Mpango ni kati ya watu wanaoweza kuwa na maadui wachache sana, kama wapo. Dr. Mpango, hata ukiacha masuala ya uongozi, kwa hulka yake binafsi, ni mtu asiye na makuu, tena anayeamini, mtu kuwa kiongozi hakujabadilisha ubinadamu wake. Mtu wa namna hii, watu wamwombee mabaya kwa sababu gani?
Na hii ndiyo sababu kuu ya kuhofia! ANAPENDWA kwa tabia yake ya upole na uadilifu. Kwenye DP world saga hakutokelezea kabisa.
Adui zake wakuu ni wanasiasa mafisadi wauza nchi!! wanaotaka kuendeleza utawala Beware
Sema nini, hatuwezi kwenda Peponi/mbinguni bila kufa hivyo ni vema kwa tunaopendana tukaombeana vifo tu ili kwenda kuipata faraja ya milele kuliko haya maisha ya Joto, mafuriko na kukosa pesa.Kila mtu duniani ana safari yake. Tusiombee watu vifo kwasababu hakuna atayeishi milele. Mtu akifa usione kana kwamba wewe umependelewa sana na Mungu kuwa hai, siku yako yaja pia.
mpuuzi anaona kila kitu ni upuuzi pole sana. Tunamtaka VP wa URT period!Upuuzi
Relax, time will tellLimewashuka wavumishaji..😅
Post No.56 nilisema "Niko paleee!! Narudia NIKO PAREEEEE!Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
View attachment 2834215
Nipo Arusha hapa bado sijamuonaMakamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
View attachment 2834215
Mficha uchi daima hazaiLimewashuka wavumishaji..[emoji28]
Nipo Arusha bado sijamtia machoniKesho tu wala sio mda mrefu masaa nane tu kutoka mda huu napost reply
Jana tumeambiwa kuwa yupo nje ya nchi anachapa kaziYeye kama mtu au ofisi ya makamu wa Raisi?
Sasa hapo ubaya uko wapi?Du ujuaji mwingine hadi mnapitiliza... pumbavu, Ofisi inaweza ikaalikwa kuwa Mgeni rasm! Kuna watu wa kuwaombea mabaya lakini sio huyu Mzee!
Nipo hapa kisongo tangu asubuhi kila mwewe akikatiza nainua shingo kama nitamuona lakini wapiiiii!Naamini kabisa hili ni tangazo la zamani!, ili kesho VP awe Mgeni rasmi kwenye hiyo event, alipaswa leo awe amerejea nchini kutoka kule kwenye yale majukumu yake ya nje ya nchi, tungemuona leo akirejea!.
Kesho atawakilishwa!.
P
Soioni sababu za kushindwa kuelezwa alipo kiongozi wa watuHata wakati wa Jiwe alitolewa kwenye oxygen na kuletwa kwa Waandishi wa habari, alikuwa anakohoa kila baada ya sekunde 2 kiasi cha kushindwa kueleweka alichokuwa anaongea (video yake imo humu JF)
Wanapewa kiapo hao kabla ya kupewa kadiHilo tangazo la siku nyingi sana...Daaah ukiwa mwana ccm buana akili sijui zinaendaga wp
Umwana wachuu abaha wa kasuuluuYaani Mzee wa watu hana baya. Nakuombea Dr. Mpango,itakuwa faraja kukusikia na kukuona.
Madhara ya Covid yatakuwa yanamsumbua .......!!Mara ya pili sasa watu wanavumisha ati mzee wa watu kavuta.