Siasa zetu za kishamba sana. Mawakili ni watetezi wa haki za watu kutoka moyoni...uwakili unaendana sana na utekelezaji wa imani zetu za kidini linapokuja suala la haki. Hapo siyo mambo ya chama fulani bali utendaji haki uliotukuka. Watanzania tubadilike, tukiendekeza siasa Taifa litapotea!Naona kama Ufipa watupu.......kazi kweli kweli!
Huyu alikuwa sana kwenye vipindi vya channel ten zamani na ni very radical to the pointLawyers wakivaaga suti zao akili zinawatoka kabisa
Any way I like their life style
Mbona Huyo bwana sio maarufu?
Tls take sasa inahitaji mtu maarufu achilia mbali influence
God first
Vipi Muunga mkono juhudi Albert msando yeye hajagombea?View attachment 1064467
Hatimaye Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimempata Rais wake kwa mwaka 2019/20
Kura zilipigwa na wengi wamemchagua Dr Rugemeleza Nshala kuwa Rais wa TLS 2019/20, ambae pia alikua makamu wa rais katika uongozi wa Bi Fatma Karume.
View attachment 1064353
Kura za Urais:
President Votes
1. Dr. Nshala - 629
2. Ngwilimi - 323
3. Wasonga - 123
4. Mwananyela - 58
5. Seka - 29
Dkt. Nshala atashirikiana na,
Makamu wa urais - Wakili Mpale Mpoki
Mhazini - Nicholaus Duhia
Wajumbe saba wa kamati.
1. Angelista Nashon
2. Harold Sungusia
3. Jebra Kambole
4. Tike Mwambipile
5. Paul Kaunda
6. Baraka Mbwilo
7. Stephen Ally Mwakibolwa
Nitauweka. Ngoja nizame maktabaInformer au Petro E. Mselewa na members mnaweza kutuwekea wasifu wa huyu wakili msomi??
Unakosea sana kumuita radical...Huyu alikuwa sana kwenye vipindi vya channel ten zamani na ni very radical to the point
Okay...mkuu sasa ...sasa tusimfunganishe na Ufipa..maana ata Mtungi,Kabudi,Pole Pole na Bashiru
Usiseme Dr. Nshala kuwa sio maarufu, sema humfahamu. Dr. Nshala na Lisu ndio mawakili waliopigia kelele ukiukaji wa haki za wachimbaji wadogo kule Bulyanhulu enzi za Mkapa kupitia chama chao cha wanasheria wa mazingira (LEAT). Dr. Nshala ndiye alikuwa bosi wa Lisu.Lawyers wakivaaga suti zao akili zinawatoka kabisa
Any way I like their life style
Mbona Huyo bwana sio maarufu?
Tls take sasa inahitaji mtu maarufu achilia mbali influence
God first
Sure now we can see the TLS in its entirety competenceThis is TLS!
Lawyers wana wajibu mkubwa kwa jamii. Utawala wa sheria Tanzania unapitia kipindi kigumu. Nina imani Nshala na timu yake watatoa mchango maridhawa katika hili. Hatuhitaji mwanasheria mwenye mlengo wa Status quo kipindi hiki.
All the best!
Chama pekee cha kitaaluma kisichoburuzwa na Dola.
- Cha Pili ni Chama cha Madaktari.
Yaani hawa TLS wanawapa serikali tabu sana, kila siku wanachagua viongozi ambao Dola haiwapendi, hawaburuzwi.