Dkt. Rugemeleza Nshala: Nimetishiwa maisha baada ya kutoa maoni kuhusu mkataba wa Bandari na DP World

Two possibilities:
1. Slip of a pen/tongue
2. Represents a congregation of bishops
 
Mama ameshaanza yale mambo ya Magufuli?! Ni hatari sana watanzania tusikubali mambo haya.
 
Kuna swali huwa najiulize sana I wish ningepata majibu, kwanini watu weusi huwa hatujipendi? Hatuangalii vizazi vyetu vijavyo? tunaishi kama sisi ndio watu wa mwisho kuwepo?
 
Nimesoma habari za baadhi ya watu kutishiwa kuuwawa endapo wataendelea kuupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na DPW ya Dubai.

My take: Hiki ndicho kiashiria kikubwa cha ubovu wa mkataba huu na kwamba mkataba huu umesheheni maslahi binafsi na sio kwa maslahi ya Taifa.

Watanzania tuendelee kuupinga mkataba huu wa kidhalimu.
 
Rugemeleza Nshala....2 and 9

RANKING
  • SCORES

RankName
Country/Region
No. of FTE StudentsNo. of students per staffInternational StudentsFemale:Male Ratio
1University of Oxford
United Kingdom
20,96510.642%48 : 52
2Harvard University
United States
21,8879.625%50 : 50
=3University of Cambridge
United Kingdom
20,18511.339%47 : 53
=3Stanford University
United States
16,1647.124%46 : 54
5Massachusetts Institute of Technology
United States
11,4158.233%40 : 60
6California Institute of Technology
United States
2,2376.234%37 : 63
7Princeton University
United States
8,2798.023%46 : 54
8University of California, Berkeley
United States
40,92118.424%52 : 48
9Yale University
United States
13,4825.921%52 : 48
10Imperial College London
United Kingdom
18,54511.261%40 : 60
=11Columbia University
United States
21,7814.538%n/a
=11ETH Zurich
Switzerland
21,66514.841%33 : 67
13The University of Chicago
United States
15,3666.036%47 : 53
14University of Pennsylvania
United States
21,4536.323%53 : 47
15Johns Hopkins University
United States
 
Mkuu FaizaFoxy sasa huku kutishiana maisha kwa kutoa maoni dhidi ya DP World inakuaje hapo?

Kama jambo ni la heri, kulikoni vitisho na mbinumbinu?
 
Kuna swali huwa najiulize sana I wish ningepata majibu, kwanini watu weusi huwa hatujipendi? Hatuangalii vizazi vyetu vijavyo? tunaishi kama sisi ndio watu wa mwisho kuwepo?
Tumerithi kwa mababu zetu mkuu, wao walikua wanauza watu sisi twauza vitu.
 
Awaambie waliokuwa Wana mpump kufanya upotoshaji sie wengine hatuna Cha kumsaidia..
 
Nimesoma habari za baadhi ya watu kutishiwa kuuwawa endapo wataendelea kuupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na DPW ya Dubai.


My take: Hiki ndicho kiashiria kikubwa cha ubovu wa mkataba huu na kwamba mkataba huu umesheheni maslahi binafsi na sio kwa maslahi ya Taifa.

Watanzania tuendelee kuupinga mkataba huu wa kidhalimu.
 
Wahaya bado tu tunajuwa ulikuwa USA sasa tukufanye nini? kajenge nyumbani Bukoba ulete heshima sio kujivunia vyuo onesha umefanya nini? Mtu hata uwe na degree 10 ni tabia zako mbele za watu ndio inakupa uhalisia wako, Huyo prof wako kuongea tu unamjuwa mtu maisha yamempiga anaona vipi mwanfunzi wangu kasoma hapa Dar tu leo speaker wa bunge, atakufa kwa roho mbaya yeye na yule mzee Issa miaka nenda miaka rudi wako hapohapo.
 
Huyu Mwamakula ni askofu wa CHADEMA hivyo apuuzwe. Achague kuwa askofu au mwanasiasa. Anachofanya hakikubaliki kwa Mungu wala kwa shetani. NI MNAFIKI
Maisha ni siasa,Dini ni siasa,maendeleo ni siasa,kazi ni siasa,uchumi ni siasa,elimu ni siasa,utamaduni ni siasa,jamii ni siasa,nchi ni siasa,bila siasa hakuna maisha wala maendeleo.
 
Wametudharau sana. Kwamba unaweza kuwafanyia lolote watanganyika.
 
Wajukuu zako si wajengee sasa unataka kuwa rithisha bandari au? hakuna kujibu hoja wala nini. Serikali imechaguliwa inawakalisha wewe subiri 2025 gombania ukipata nafasi fanya maamuzi. Huu ujinga kila mtu utawaambia nini wajukuu zako ni ujinga mkubwa, wajukuu zako ni wako fanya kazi uwachie mali waje kuuza wagawane kidogo watakukumbuka kwenye dua zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…