Dkt. Slaa aachiwa kwa Dhamana kituo cha Polisi Oysterbay

Halafu kesho aseme Tundu Lisu kupigwa risasi ni tukio la kawaida na Ulaya huwa yanatokea! Akasema tena kuwa Chadema wanatekana na upuuzi mwingi tu.

Amejifunza ukubwani kuwa tukemee ubaya hata kama unanufaika na ubaya wa magufuli (ubalozi).
Kumalizia Dr. Slaa ni mpuuzi mkubwa aliyoyasema na kufanya alipo defect to CCM
 
Mtu yyt muungwana hawezi kutetea CCM abadan.
Ndani ya CCM kuna viongozi majambazi, wahuni, wabadhilifu wa mali ya umma na wezi wakubwa.

Muungwana atampa sifa kiongozi mmoja mmoja ambae Anaonyesha uzalendo na upendo wa nchi yake na watu wake wazi wazi.
Na mfano mzuri ni Rais wa nchi mama yetu Samia Suluhu Hassan.
Huyu Rais kawaachia wahuni toka jela kwa huruma zake leo wahuni hao hao wanamtukana na bado hajawatia adabu. Sababu anaangalia maslahi ya nchi bila kujali hisia zake.
Huruma ya namna hio anayo kiongozi muungwana mwenye hekma sana.
Angekuwa ni magufuli hapa huyo Slaa angekuwa historia tu.
Shukuruni sana kwa Mungu Mama Samia yuko madarakani
 
Chatu hawezi kumeza mtu au mnyama kama kuna keleleza watu. Atakachofanya ni kuachia au hata kutapika windo lake ili ajinasue asije akauawa. Ndicho kinachotokea kwa Dkt. Slaa, Mwabukusi na Mdude. Wanapikwa wazima "Askofu"
 
Aibu nyingine tena kwa Taifa.......
 
Sahihi ✔️
 
Ninachoamini mimi hii nchi inaongozwa na watu wenye upeo mdogo mno. Nina hakika hata mtoto wa darasa la saba anaweza akawa kiongozi bora kuliko huu uozo tulio nao sasa.
Wewe hukatazwi kuamini chochote hapa.
Uliamini kuwa kikombe cga babu kinatibu ukimwi.
Leo tutashangaa nini ukiamini chochote ?
Raid Samia Suluhu Hassan ni kiongozi Tz haijawahi kuona.
Huenda umezaliwa juzi kwahio siwezi kukulaumu sana.
 
Wewe hukatazwi kuamini chochote hapa.
hapo palipaswa pawe ukomo wa comment yako. Kuniambia mambo ya UKIMWI wako uliokuwa nao na mambo ya Samia ambae hata hajatajwa nakuhisi ni kama mfa maji unaetapatapa.

Ikiwa nyie wafuasi maandazi mnajishuku kiasi cha kuona kila linaloandikwa linamuhusu Samia, yeye mwenyewe atakuwa na hali gani.
 
Angekuwa ni magufuli hapa huyo Slaa angekuwa historia tu.
Shukuruni sana kwa Mungu Mama Samia yuko madarakani
Sikubaliani naww katika hili 👆👆. Kwanza kbs JPM ambacho hakutaka ni kukosolewa kiujumla ushindan wa kisiasa kwa hoja hakulitaka abadan that's why alikua vile, na dunia ya leo Mzee huez kwepa wapinzani wako kwa hoja utaishia aidha kutaka kuwamaliza kitu ambacho hakikusaidii. Dunia yenyew ndio hii tunapita tu. Haya kiko wapi? NB: Ukikubali kuingia siasani kubali na game zote za politics unless otherwise achana na siasa!! Over
 
kwahiyo wamemtenganisha na akina mwabukusi na mdude kwakuiogopa vatican
 
Chatu hawezi kumeza mtu au mnyama kama kuna keleleza watu. Atakachofanya ni kuachia au hata kutapika windo lake ili ajinasue asije akauawa. Ndicho kinachotokea kwa Dkt. Slaa, Mwabukusi na Mdude. Wanapikwa wazima

Na Mimi naongezea kutoka kwa baba Askofu mwamakula,
Ukiona unatembea ulimwengu unaguna,uwe mwangalifu na hatua zako fahamu hauko mbali na anguko,tizama nyuma urejee kabla haijawa mbali.
Wale wajinga wangu humu mlio shangilia huku wengine wakiguna bado mna hamu ya kutoka nje na kutabasamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…