Dkt. Slaa aachiwa kwa Dhamana kituo cha Polisi Oysterbay

Dkt. Slaa aachiwa kwa Dhamana kituo cha Polisi Oysterbay

Halafu kesho aseme Tundu Lisu kupigwa risasi ni tukio la kawaida na Ulaya huwa yanatokea! Akasema tena kuwa Chadema wanatekana na upuuzi mwingi tu.

Amejifunza ukubwani kuwa tukemee ubaya hata kama unanufaika na ubaya wa magufuli (ubalozi).
Kumalizia Dr. Slaa ni mpuuzi mkubwa aliyoyasema na kufanya alipo defect to CCM
 
Ila nyie uvccm kiukwel bila unafiki nyie ndio bure kbs kati ya vijana weny dhamana ya utawala hakika nyie ni wajinga ila samahan kwa maneno yang makali but huo ndio ukwerii!! Mitandaon sehem nying hua hamna upeo wa kujibu hoja ili kuitetea serikali ya CCM hata kdg!!
Mtu yyt muungwana hawezi kutetea CCM abadan.
Ndani ya CCM kuna viongozi majambazi, wahuni, wabadhilifu wa mali ya umma na wezi wakubwa.

Muungwana atampa sifa kiongozi mmoja mmoja ambae Anaonyesha uzalendo na upendo wa nchi yake na watu wake wazi wazi.
Na mfano mzuri ni Rais wa nchi mama yetu Samia Suluhu Hassan.
Huyu Rais kawaachia wahuni toka jela kwa huruma zake leo wahuni hao hao wanamtukana na bado hajawatia adabu. Sababu anaangalia maslahi ya nchi bila kujali hisia zake.
Huruma ya namna hio anayo kiongozi muungwana mwenye hekma sana.
Angekuwa ni magufuli hapa huyo Slaa angekuwa historia tu.
Shukuruni sana kwa Mungu Mama Samia yuko madarakani
 
Chatu hawezi kumeza mtu au mnyama kama kuna keleleza watu. Atakachofanya ni kuachia au hata kutapika windo lake ili ajinasue asije akauawa. Ndicho kinachotokea kwa Dkt. Slaa, Mwabukusi na Mdude. Wanapikwa wazima "Askofu"
 
Mwanasiasa mkongwe na Mwanadiplomasia hapa Tanzania Dkt. Wilbroad Slaa ameachiwa kwa dhamana masaa machache yaliyopita ikiwa ni siku chache baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa makosa ya uhaini.

Taarifa za kuachiliwa kwa Dkt. Slaa zimekuja ndani ya masaa 24 baada ya jopo la Mawakili wanaomtetea yeye na wenzake watatu kufungua kesi dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mwendesha Mashtaka Mkuu, Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mbeya na Mkuu wa Polisi Kituo Kikuu cha Mbeya Mjini kwa kuendelea kuwashikilia wateja wao kinyume na taratibu za kisheria.

Pia soma
- Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana
Aibu nyingine tena kwa Taifa.......
 
Ni ajabu sana. lakini ukiangalia hii nchi ni kama rais ni Mmarekani, Polisi ni North Korea, Mahakama ni Wacuba, Wananchi ni wavietnam.....network hazisomani kabisa. mambo ya kulifedhehesha taifa yanaendelea mchana kweupe na hakuna mtu wa kuwajibishwa.
Sahihi ✔️
 
Ninachoamini mimi hii nchi inaongozwa na watu wenye upeo mdogo mno. Nina hakika hata mtoto wa darasa la saba anaweza akawa kiongozi bora kuliko huu uozo tulio nao sasa.
Wewe hukatazwi kuamini chochote hapa.
Uliamini kuwa kikombe cga babu kinatibu ukimwi.
Leo tutashangaa nini ukiamini chochote ?
Raid Samia Suluhu Hassan ni kiongozi Tz haijawahi kuona.
Huenda umezaliwa juzi kwahio siwezi kukulaumu sana.
 
Wewe hukatazwi kuamini chochote hapa.
hapo palipaswa pawe ukomo wa comment yako. Kuniambia mambo ya UKIMWI wako uliokuwa nao na mambo ya Samia ambae hata hajatajwa nakuhisi ni kama mfa maji unaetapatapa.

Ikiwa nyie wafuasi maandazi mnajishuku kiasi cha kuona kila linaloandikwa linamuhusu Samia, yeye mwenyewe atakuwa na hali gani.
 
Angekuwa ni magufuli hapa huyo Slaa angekuwa historia tu.
Shukuruni sana kwa Mungu Mama Samia yuko madarakani
Sikubaliani naww katika hili 👆👆. Kwanza kbs JPM ambacho hakutaka ni kukosolewa kiujumla ushindan wa kisiasa kwa hoja hakulitaka abadan that's why alikua vile, na dunia ya leo Mzee huez kwepa wapinzani wako kwa hoja utaishia aidha kutaka kuwamaliza kitu ambacho hakikusaidii. Dunia yenyew ndio hii tunapita tu. Haya kiko wapi? NB: Ukikubali kuingia siasani kubali na game zote za politics unless otherwise achana na siasa!! Over
 
Mwanasiasa mkongwe na Mwanadiplomasia hapa Tanzania Dkt. Wilbroad Slaa ameachiwa kwa dhamana masaa machache yaliyopita ikiwa ni siku chache baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa makosa ya uhaini.

Taarifa za kuachiliwa kwa Dkt. Slaa zimekuja ndani ya masaa 24 baada ya jopo la Mawakili wanaomtetea yeye na wenzake watatu kufungua kesi dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mwendesha Mashtaka Mkuu, Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mbeya na Mkuu wa Polisi Kituo Kikuu cha Mbeya Mjini kwa kuendelea kuwashikilia wateja wao kinyume na taratibu za kisheria.

Pia soma
- Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana
kwahiyo wamemtenganisha na akina mwabukusi na mdude kwakuiogopa vatican
 
Chatu hawezi kumeza mtu au mnyama kama kuna keleleza watu. Atakachofanya ni kuachia au hata kutapika windo lake ili ajinasue asije akauawa. Ndicho kinachotokea kwa Dkt. Slaa, Mwabukusi na Mdude. Wanapikwa wazima

Na Mimi naongezea kutoka kwa baba Askofu mwamakula,
Ukiona unatembea ulimwengu unaguna,uwe mwangalifu na hatua zako fahamu hauko mbali na anguko,tizama nyuma urejee kabla haijawa mbali.
Wale wajinga wangu humu mlio shangilia huku wengine wakiguna bado mna hamu ya kutoka nje na kutabasamu?
 
Back
Top Bottom