Dkt. Slaa adaiwa kubadilishiwa mashtaka kutoka ya uchochezi na kuwa ya uhaini

WAMEMTUSI,KUMDHIHAKI,KUMSIMANGA,KUMTWEZA RAIS WETU KIPENZI CHETU,SIJUI KWA KUWA NI MWANAMKE,AU NI MPOLE AU SIJUI ALIZIDISHA USTAARABU,AU SIJUI KOSA LAKE KUWAWEKA HURU BAADHI YAO,AU SIJUI KUWA NA UTU NA UBINADAMU ULIOPITILIZA.

KWA KUWA MATAMSHI YAO NA KAULI ZAO TATA , KEBEHI ,MATUSI ,YAMEHIFADHIWA MUBASHARA WAKAJIELEZE TU HUKO MBELE YA SAFARI.

Mh.Rais alishaweka milango wazi kiasi hata cha kuweka appointments naye kueleza kinagaubaga cha yeyote yule lakini mliona kumtukana kwenye hadhira ndio jambo zuri kwenu,wema gani mfanyiwe viumbe nyie!
 
Hayo makosa, yanaitwa fabricated, wahuni wanayafanya kwa malengo maalum, hapo wanajua kabisa hawana ushahidi wa kuthibitisha madai yao, watakachofanya ni kuwapeleka watuhumiwa mahakamani, then kila siku iwe ile habari yao ya bado uchunguzi unaendelea...

Watuhumiwa wanarudishwa rumande, wakipelekwa mahakamani tena tarehe nyingine, itakuwa hivyo hivyo uchunguzi unaendelea, wanafanya hivyo kwasababu wanajua hilo kosa halina dhamana, ndio maana wakabadilisha kutoka uchochezi, na kupeleka kwenye uhaini.
 
Hii DiPiWeldi imekuwa matata sana...

Balozi wa Magufuli anataka kumpindua Makamu wa Rais Magufuli....

Hii nchi tukifanikiwa kwenda mbinguni tutakuwa tunalala stoo baada ya kudeki vyoo vya malaika...
Hii nchi tukifanikiwa kwenda mbinguni tutakuwa tunalala stoo baada ya kudeki vyoo vya malaika...[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadithi za kufikirika.
 
Kipenzi chenu kimetoa bandari zetu zote milele kwa wajomba zake, halafu kwa mawazo yako ya kitumwa bado unamuita kipenzi? huoni kama anawapenda waarabu zaidi ya anavyokupenda wewe?

Mjinga.
 
Ndio safi ili wakome wale jeuri yao.
 
Kipenzi chenu kimetoa bandari zetu zote milele kwa wajomba zake, halafu kwa mawazo yako ya kitumwa bado unamuita kipenzi? huoni kama anawapenda waarabu zaidi ya anavyokupenda wewe?

Mjinga.
Uelewa hafifu,ndio shida, tusonge mbele...

Ndondocha!
 
ila tanzania ni nchi ya kipumbavu sana viongozi wake.
 
Mambo mengine hutokea ili makusudi ya Mungu yapate kutimia kwa watu wake. Watawala hupigwa upofu kwa maamuzi yao ya kijinga. Ni vyema tukasoma na kujikumbusha baadhi ya nukuu zilizosheheni hekima nyingi na busara za mfalme Solomoni pale alipokuwa mtawala juu ya Israeli MITHALI 11

1 Bwana huchukia sana mizani za udanganyifu, bali vipimo sahihi ni furaha yake.

2 Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu, bali unyenyekevu huja na hekima.

3 Uadilifu wa wenye haki huwaongoza, bali wasio waaminifu huharibiwa na hila yao.

4 Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu, bali haki huokoa kutoka mautini.

5 Haki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyonyooka, bali waovu huangushwa kwa uovu wao wenyewe.

6 Haki ya wanyofu huwaokoa,
bali wasio waaminifu hunaswa na tamaa mbaya.

7 Wakati mtu mwovu anapokufa, matumaini yake hutoweka; yote aliyoyatazamia kutokana na nguvu zake huwa si kitu.

8 Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, naye mtu mwovu huingia humo badala yake.

9 Kwa kinywa chake mtu asiyemwamini Mungu humwangamiza jirani yake, bali kwa maarifa mwenye haki huokolewa.

10 Wakati mwenye haki anapofanikiwa, mji hufurahi; mwovu atowekapo, kuna kelele za furaha.

11 Kutokana na baraka ya mtu mnyofu mji hukwezwa, bali kwa kinywa cha mwovu mji huharibiwa.

12 Mtu asiye na akili humdharau jirani yake, bali mtu mwenye ufahamu huuzuia ulimi wake.

13 Masengenyo husaliti tumaini, bali mtu mwaminifu hutunza siri.

14 Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka, bali washauri wengi hufanya ushindi uwe wa hakika
 
Pamoja na mithali HII safi pia ni hekima kuheshimiana,kutunza ustaarabu kusahihishana kwa hekima asema bwana.
 
Sisi wafuasi wa Magufuli tuko na porp corn zetu tu hapa tunacheck hii movie. Maana tuliambiwa boss wetu ndio alikua Rais muovu kuliko wote duniani na huyu aliyeingia ni Chaguo la Mungu.
Tuombe azidiwe uovu,, itamgeuza kuwa malaika
 
Sema kipenzi chako. Kwa wengine, huyu kiongozi kibaraka wa waarabu, kamwe hawezi kuwa kipenzi chao.
 
Safi kabisa. Huyu mzee amekuwa akiishi kwa unafiki wa siasa. Ni msaliti ambaye alikuwa kimya wakati Lissu anapigwa risasi kwa kuwa Magufuli alimnunua kama bidhaa na kumpa ubalozi. Sasa Samia hajampa nafasi ndiyo anamsagia mavi kwa dharau. Akae anakosstahili huko huko kwenye uhaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…